WikiLeaks mtusaidie kuwajua wamiliki wa kampuni ya Simba Trust

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
37,582
2,000
Naiomba hii Taasisi itusaidie kuwafichua wamiliki wa hii kampuni maana kwa sisi wazawa naona hili jambo kila mtu analigwaya ingawa nakumbuka kuna mdau mmoja aliwahi lileta hapa mtandaoni siku za nyuma.

Ikiwezekana hata wale waliochota mabilioni pale bank ya Stanbic kwa mifuko ya sandarusi orodha yao nayo muiweke hadharani maana sisi hiyo kazi imetushinda na kilio chetu kimekuwa ni sawa na kilio cha samaki.

Nasema hivi kwasababu naamini Kama mmeweza kufichua ufisadi wa matajiri/viongozi kutoka mataifa makubwa na yenye nguvu duniani, sioni ni nini kitawashinda kufichua taarifa za watu kutoka nchi masikini hizi za ulimwengu wa tatu.

Nachojiuliza hapa ni watu hawa wana nguvu gani kuwashinda mabwana wakubwa wa huko ulaya na Marekani?

Watanzania mlio ndani na nje ya nchi na wenye access na kampuni hii ya WikiLeaks,fanyeni mawasiliano nao juu ya hili jambo watusaidie maana sisi ni wazi limetushinda ingawa tatizo huenda ni watu kukosa ujasiri tu ila data zote wanazo.
 
nkobanks

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
686
500
Ukienda brella utapata kila k2 japokuwa cku iz hata mmiliki hewa anawekwa tu we angalia mfano rostam aziz amekiri kuwa new habari ni kampuni yake lakin umiliki hamna jina lake ndio inaweza ikawa pia kwenye simba trust
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
37,582
2,000
Ukienda brella utapata kila k2 japokuwa cku iz hata mmiliki hewa anawekwa tu we angalia mfano rostam aziz amekiri kuwa new habari ni kampuni yake lakin umiliki hamna jina lake ndio inaweza ikawa pia kwenye simba trust
Hawa huwa wanazama ndani na kuanika kila kitu bila woga.
 
Kiyawi

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
1,676
2,000
Naiomba hii Taasisi itusaidie kuwafichua wamiliki wa hii kampuni maana kwa sisi wazawa naona hili jambo kila mtu analigwaya ingawa nakumbuka kuna mdau mmoja aliwahi lileta hapa mtandaoni siku za nyuma.

Nasema hivi kwasababu naamini Kama mmeweza kufichua ufisadi wa matajiri/viongozi kutoka mataifa makubwa na yenye nguvu duniani, sioni ni nini kitawashinda kufichua taarifa za watu kutoka nchi masikini hizi za ulimwengu wa tatu.

Nachojiuliza hapa ni watu hawa wana nguvu gani kuwashinda mabwana wakubwa wa huko ulaya?

Watanzania mlio ndani na nje ya nchi na wenye access na kampuni hii ya WikiLeaks,fanyeni mawasiliano nao juu ya hili jambo watusaidie maana sisi ni wazi limetushinda ingawa tatizo huenda ni watu kukosa ujasiri tu ila data zote wanazo.
Hela ya Tegeta-Escrow ilienda huko au vipi --------yaani mkondo kutoka Stanbic! watapatikana tu mbele ya Magufuli Dr Rais anayedhamini wanyonge.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,211
2,000
Yericko Nyerere habari za leo. Hivi utaratibu wa kupata visa ya Australia na namna ya kupata "apartment" kule ukoje. ? Alisikika mmoja wa wadau wa Mwamini Simba (Simba Trust )akihoji. Kwenye vijiwe vya kahawa kuna mambo! !!!
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
20,163
2,000
Hili nalo ni la kuomba msaada kweli? Tena toka ulaya,? Bavicha mnatabu sana!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
98,432
2,000
Mkuu kina Kikwete hawamo kweli humu?

Top Bottom