WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

Mleta mada hawezi kubadilisha maamuzi ya wananchi ambao salsa wanafahamu viongozi wengi Wa chama na serial I ni walarushwa wakubwa kuliko huyo MTU mmoja.Labda Mungu aingilie kati kwani hata vikikini wananchi wengi wameamua
Nyaraka zimetolewa wikileaks, jamaa ame-attach mwishoni au wame-hack website ya wikileaks
 
Waafrika akili zetu tunazijua wenyewe. Hizi ni akili za Waafrika waliosoma kwa ambao hawajasoma, viongozi kwa waongozwa

Tumekuwa chanzo kikuu cha matatizo yetu wenyewe. Tumekuwa chanzo kikuu cha maendeleo yetu duni wenyewe.

Ukitaka kujua sisi akili zetu ni ndogo Hebu angalia wenzetu wanavyo mtaka lowasa kuliko magufuli.

Wanao mtaka lowasa wanasema anafaa kwasababu ni mzur, mahaba, anatoka maeneo ya kwao, Anatoka upinzani na madudu kama hayo.

Lakin hebu angalia. Hivyo ndivyo vigezo sahihi vya kumchagua rais wa nchi? Hatuangalii afya yake kama ataweza kutimiza majukumu yake ipasavyo. Hatuangalii uadilifu wake. Hatuna mtizamo wa kitaifa kwa wengine lengo ni kupata rais kutoka upinzani tu au atokae maeneo ya kwao.

Kwa mwendo huu tu tasubir sana maendeleo ya nchi kama nchi
 
Mkuu umeongea maneno mazito kabisa. Mpaka Sasa naumiza kichwa kufikiria, kuwa nini hasa wazalendo wenzetu kinachowafanya wawe mstari wa mbele kumpigia Chapuo juu ya kashfa zote zinazomkabili.

Ni hii kauli ya maamuzi magumu tu ndio ndio inayowafanya watu wapapatike au kuna kingine?!, kama kuna kingine watuambie wafuasi wake.
Mi mpaka sasa naona anaandamwa na madhambi tu.

Sijaona kitu chochote cha maana alichofanya cha kutufanya sisi Kama wananchi tumpigie chapuo. Ni mtu ambae kwa wenzetu walio serious na mambo yao, alipaswa ama awe Jela au awe keshauwawa.
Wazungu wanaposemaga waafrika tuna matatizo kwenye vichwa vyetu ya kufikiri hata siwalaumu.
Je ni kwa nini hajawekwa mbaroni wakati aakina Mramba wapo ndani?
 
Waafrika akili zetu tunazijua wenyewe. Hizi ni akili za Waafrika waliosoma kwa ambao hawajasoma, viongozi kwa waongozwa

Tumekuwa chanzo kikuu cha matatizo yetu wenyewe. Tumekuwa chanzo kikuu cha maendeleo yetu duni wenyewe.

Ukitaka kujua sisi akili zetu ni ndogo Hebu angalia wenzetu wanavyo mtaka lowasa kuliko magufuli.

Wanao mtaka lowasa wanasema anafaa kwasababu ni mzur, mahaba, anatoka maeneo ya kwao, Anatoka upinzani na madudu kama hayo.

Lakin hebu angalia. Hivyo ndivyo vigezo sahihi vya kumchagua rais wa nchi? Hatuangalii afya yake kama ataweza kutimiza majukumu yake ipasavyo. Hatuangalii uadilifu wake. Hatuna mtizamo wa kitaifa kwa wengine lengo ni kupata rais kutoka upinzani tu au atokae maeneo ya kwao.

Kwa mwendo huu tu tasubir sana maendeleo ya nchi kama nchi
Watanzania hawaitaki CCM kuliko wanavyomtaka Magufuli.
 
Mbona naona jna moja tu la lowasa washrka wake wakowap kama n yy mwnyw mbn hachukuliw hatua ana kinga gan au mnasema tu kujifurahsha nyie watanzania achen ulofa wa mawazo Lowasa sio mhusika kama mnavyofkr na mtoa mada una cpy uongo na kuegemea upand mmoja lowasa n nan hata asifunguliwe kes
 
Waafrika akili zetu tunazijua wenyewe. Hizi ni akili za Waafrika waliosoma kwa ambao hawajasoma, viongozi kwa waongozwa

Tumekuwa chanzo kikuu cha matatizo yetu wenyewe. Tumekuwa chanzo kikuu cha maendeleo yetu duni wenyewe.

Ukitaka kujua sisi akili zetu ni ndogo Hebu angalia wenzetu wanavyo mtaka lowasa kuliko magufuli.

Wanao mtaka lowasa wanasema anafaa kwasababu ni mzur, mahaba, anatoka maeneo ya kwao, Anatoka upinzani na madudu kama hayo.

Lakin hebu angalia. Hivyo ndivyo vigezo sahihi vya kumchagua rais wa nchi? Hatuangalii afya yake kama ataweza kutimiza majukumu yake ipasavyo. Hatuangalii uadilifu wake. Hatuna mtizamo wa kitaifa kwa wengine lengo ni kupata rais kutoka upinzani tu au atokae maeneo ya kwao.

Kwa mwendo huu tu tasubir sana maendeleo ya nchi kama nchi

Je unaamini maraisi wa awamu zilizopita walikua na sifa hizo ulizozitaja? Kama tuliwachagua kwa sifa hizo wapime wewe mwenyewe walivyoingia na walivyotoka alafu tafakari.
 
Duh nchi za wenzetu waliotangulia kuona maendeleo kabla ukiwa fisadi hawana muda wa kucheka na wewe wanakuanika kweupeee sisi huku ukiwa fisadi unatumia fedha ulizonufaikanazo kujisafisha na kufanya kampeni.

Wenzetu China wakikukamata wanakunyonga,Tanzania unakuwa mgombea uRais mwenye nguvu kuliko wenzako wote tena wanajitokeza watu wakubwa,wanene wanakusifia wewe ndio jembe hiyo ndio tofauti na wenzetu.

Sahihi kabisa Mkuu
 
Kwa uzi huu,Lowasa anatakiwa kujitoa mara moja.Japo mimi nipo na Dr.Slaa mwanzo mwisho,ila sitaki kuona fisadi ikitamba kwa mihela yake.
Lowassa anapaswa kuwa jela.Hata Nyerere alizembea kumtia adabu ya vile viboko 12.

Anaendelea kutamba mpaka leo kwa mihela yake
 
Mkuu wangu...Taifa hili ni letu sote na tunajukumu la kulilinda. Natimiza wajibu wangu tu. Lowassa anapima upepo kwa kutuhadaa Watanzania. Hatatuweza.

Na hii ni sehemu moja tu.Sehemu ya pili tutaweka ushahidi namna gani Lowassa amekuwa akitumia pesa kujijengea mizizi ya kisiasa ndani ya kanisa la KKKT. Kwa msio fahamu nickname ya Lowassa katika siasa za kanisa la KKKT ni "Jackson's Child"

Hii sehemu ya pili ya Jackson's Child utaiweka lini?
 
Back
Top Bottom