wikileaks in TZ

Nimesoma hii leak ya BAE kwenye website ya Guardian la UK.
Oh,nilifiri kuwa Tanzania ina AIRFORCE!!!!!!!Kumbe hatuna,ila corrupt govt officials na wadosi wao waliweza kununua radar!!!!

Huko Ngerengere kuna nini ?
 
Ngerengere kuna airforce, ila wana ndege za zamani zinazofanyakazi kama kawa.
 
Back
Top Bottom