Wikileaks: Asemavyo Kikwete juu ya Museveni

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,303
In December 2005 meeting with AFP Assistant Secretary Frazer President Kikwete spoke confidently of MUSEVENI

7. (C) A/S Frazer praised Tanzania as a model for handing power from leader to leader, in contrast to Uganda,s President Yoweri Museveni. A/S Frazer said that while integration is critical for the economy and that increasing trade among Kenya, Uganda and Tanzania is important, it should not be a reason for staying in power. Kikwete agreed that Museveni is making the wrong decision and commented that to die in office and leave people vying for office does a disservice. Kikwete said Ugandans had asked both himself and former president Mkapa for help and that the historicals (a group of people who were with Museveni in the bush) have tried to impress upon Museveni that he is making the wrong decision and that it is better to help make a transition.

8. (C) Kikwete described Museveni,s decision to remain in power as his "not opposing those who want him to continue" and offered three reasons for this: to oversee the implementation of Uganda,s comprehensive industrialization strategy; distrust of Sudan,s President Omar Bashir; and the desire to be in power to see East African integration. Kikwete rejected these reasons for staying in power stating that industrialization is a process that may take fifty to one hundred years, asking how Museveni can be the guarantor of the process in another country, and explaining that East African integration will be a long process.

9. (C) Kikwete cited Museveni as saying he would stay in office until 2013, and added that Museveni then may move to the East African presidency. However, Kikwete is not sure East Africans will accept him because of his record and his reputation of not caring for the opinions of others. "It,s not a matter of seniority," added Kikwete.

10. (C) A/S Frazer said the USG anticipates Uganda may be going through some trouble. Kikwete agreed that Uganda may experience a period of instability and alluded to future violence, saying there is great animosity and both sides have former generals. Though Kikwete hopes there is not another civil war, he described the situation as precarious.
 
Hii naona haijakaa vibaya sana. Sijui Museven atasemaje lakini Kikwete anaonekana kumjua vizuri jirani yake.
 
Kagera mjiandae, Mu7 akisoma hii vita vya Kagera vimerudi. Uganda itatupa kichapo tena
 
Hapa JK kasema sawasawa Museveni ana uchu wa kuwa Rais wa EAC itakapokuwa federation, na sisi hatutaki hilo, nasema sisi kama watanzania hata kama hawajanituma kuwawakilisha. Hapa Salva usihangaike nalo hili kulikanusha walau kwa hili mkweere yuko sahihi kabisaa
 
Yeah, M7 achana nae kabisa, hakawiii kuleta tifu. Ni juzi tu wameya concilliate na Pres. Kagame,kulikuwa na kajibifu kati yao kiasi kwamba raia wa Rwanda hasa watumishi serikalini wanaotua uwanja wa ndege Entebbe wakitokea nchi tofauti walikuwa hawaruhusiwi (by order) kulala kampala ilikuwa lazima wajitahidi kufanya connection ya flight to Kigali the same day (kuna flight mbili kwa siku). ikishindikana wanalala palepale entebbe chini ya uratibu maalum wa atachee aliyepo pale. Jamaa alipiga marufuku hadi ndege zinazobeba wanajeshi kwenda ulinzi wa amani Sudan kupita anga la Uganda. lkn sasa wamesettle!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Museveni ni kibaraka wetu, hawezi kusema "kwi" kwa Watanzania, sisi ndio tulimuweka na sisi ndio tutaamuwa nani awe Rais mwingine wa Uganda.
 
Kagera mjiandae, Mu7 akisoma hii vita vya Kagera vimerudi. Uganda itatupa kichapo tena
Hakuna taifa kusini mwa jangwa la sahara litaloweza kuipa kichapo Tanzania.
Hiyo ni sawa na kupigana na Tanzania+FRELIMO+UNITA+Umkhonto we Sizwe.....very very bad mofos!!!
 
Wanao sema wikileaks ni uzushi waseme na hili nalo ni uongo,hapa Kikwete alichosema ndio ukweli wenyewe kwa huyu jamaa,uzuri aliwekwa na Watanzania hivyo pamoja na kuwa senior kwa Kikwete lakini bado ni full respect kuwa JK ni baba mdogo mwenye umri mdogo bado atapewa heshima ya ubaba mdogo kwa kuwa ameshikiia mafaili yote ya jinsi gani ataliunda mpaka kuliunda upya Taifa la Uganda.Japo najua anatamani sana awe Rais wa East Africa lakini hakika kaa la moto ni Tanzania pekee.Naona uwa anatamani sana apate mtu wa kumsupport aweze kutimiza ndoto yake lakini ndio hivyo Tanzania kwake kama ni kijana basi ni yule kijana kauzu.

Kuna wakati aliwaweka karibu sana wamarekani labda kwa kutegemea support kutimiza ndoto yake,lakini wale jamaa kwa jinsi walivyo smart walipoona amengangania madarakani wakaona ni bora watambae kimya kimya.
 
Museveni ni kibaraka wetu, hawezi kusema "kwi" kwa Watanzania, sisi ndio tulimuweka na sisi ndio tutaamuwa nani awe Rais mwingine wa Uganda.

FaizaFoxy, je, unafikiri nasi Mh. Rais wetu anaweza kuwa kibaraka wa watu fulani hivi, humu humu ndani au nje ya nchi??!!
 
Huenda hii haitokanushwa na kina Salva!...........na nitawashangaa wakikaa kimya bila kusema chochote!
 
Wanao sema wikileaks ni uzushi waseme na hili nalo ni uongo,hapa Kikwete alichosema ndio ukweli wenyewe kwa huyu jamaa,uzuri aliwekwa na Watanzania hivyo pamoja na kuwa senior kwa Kikwete lakini bado ni full respect kuwa JK ni baba mdogo mwenye umri mdogo bado atapewa heshima ya ubaba mdogo kwa kuwa ameshikiia mafaili yote ya jinsi gani ataliunda mpaka kuliunda upya Taifa la Uganda.Japo najua anatamani sana awe Rais wa East Africa lakini hakika kaa la moto ni Tanzania pekee.Naona uwa anatamani sana apate mtu wa kumsupport aweze kutimiza ndoto yake lakini ndio hivyo Tanzania kwake kama ni kijana basi ni yule kijana kauzu.

Kuna wakati aliwaweka karibu sana wamarekani labda kwa kutegemea support kutimiza ndoto yake,lakini wale jamaa kwa jinsi walivyo smart walipoona amengangania madarakani wakaona ni bora watambae kimya kimya.

Tatizo kubwa la wikileakes ni kutangaza habari ambazo zilizungumza private. Kila mmoja anakubali kua kuna mambo ni lazima yawe private vinginevyo yanaweza kuvuruga amani.
 
Hii haiwezi kukanushwa kwa kuwa inamwonesa JK kama star akibonga na wazungu!!
 
Aliyoyasema JK ni kweli kabisa.. The question is, Salva atakuja tena kuyakataa hata haya maana wikileaks waongo!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom