wikiendi ukweni!...

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,332
1,250
kwi kwi kwi asilimia 90% ya wanaume / kaka zetu humu JF wameonjeshwa au kulishwa limbwata wallahi .. kila mtu mke mke .. mtoto je . . nyie mmeshakula maisha mpeni mtoto nafasi naye ... mimi huniambii chochote bwana namuokoa mwanangu ...

si ndo maana mie mwanzoni nikasema it shows hw wanaume twapenda wake zetu lakini shida yenu tukiwapenda ndo kama hivyo mwaanza sema tumelishwa limbwata!!!

so kwenu nyie wanawake mtoto ni bora zaidi ya mumeo!!

i once heard wanawake wengi soon after kuzaa mtoto she cares de less abt wewe mumewe n upendo mwingi wahamia kwa watoto na ndio hapo ukikutana na wanaume wakware nao upendo waanza hamia nyumba ndogo mwisho wake wooote mwaoanana kama vinyago ndani ya nyumba!
 
WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,461
0

Mtaalam,
Upembuzi wako umenikuna.... sasa kama mwanamke anahamishia mapenzi kwa mtoto... atayahamishiaje tena kwa "nyumba ndogo"? ..wote si ni wanaume... na kama anae mwanaume ndani na amemweka pending.... inakuwaje atafute nyumba ndogo?? ya nini?? au kuna kitu hujamalizia kukisema katika upembuzi wako?..
Mwaga sera zaidi
 
NaimaOmari

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
801
195

hapa ongeza chachandu tu .. jifunze kulea nawewe mathalan kuamka usiku mtoto akilia msaidie mwenzio kumbembeleza siyo kuhama chumba ... na kulalamika ... kitoto kila lia kama nini mimi siwezi nahama kesho naenda kazini ... jifunze kuchenji diapers za mtoto na hata kumpa feeding bottle mtoto .... halafu utaona kama mapenzi yatakuwaje...
 
NANOO

Member
Jun 9, 2008
27
0
...NANOO karibu bibie, hujambo weye?

jibu lako marhaba kabisa, ndio maana nikawaambia 'wenzangu' upande wa pili wa shilingi umuhimu ni tofauti...

Karibu kwenye mdahalo!

sijambo na ahsante nishakaribia mchongoma

mume mwache ende na maji na wazee wake lakini mwanangu no way simwachi:)
 
NANOO

Member
Jun 9, 2008
27
0
hapa ongeza chachandu tu .. jifunze kulea nawewe mathalan kuamka usiku mtoto akilia msaidie mwenzio kumbembeleza siyo kuhama chumba ... na kulalamika ... kitoto kila lia kama nini mimi siwezi nahama kesho naenda kazini ... jifunze kuchenji diapers za mtoto na hata kumpa feeding bottle mtoto .... halafu utaona kama mapenzi yatakuwaje...

well said naima:)
 
Typical

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
392
250
inategemeana na mtoto ana umri gani kwanza
kama ni "kamalaika" i mean hawezi kujisaidia mwenyewe, no ways jamani yeye atakuwa wa kwanza.
Ila kama ni mkubwa mkubwa mwenye uwezo basi namuokoa mama.hao wengine kila mtu atajisaidia kutokana na mipango ya mungu
 
Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,338
2,000
kiukweliii, kina mama wengi kwa moyo mweupe tutaenda kwa mtot sio kwa kuwa tunampenda zaidi ila kwa kuwa ni dhaifu zaidi.
wanawake tunamentality ya kuguswa sana na udhaifu. ndio akili inaenda huko. Ingekuwa baba ni asiyejiweza, mama angapata shida sana kuchagua.
 
Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,332
1,250
Mtaalam,
Upembuzi wako umenikuna.... sasa kama mwanamke anahamishia mapenzi kwa mtoto... atayahamishiaje tena kwa "nyumba ndogo"? ..wote si ni wanaume... na kama anae mwanaume ndani na amemweka pending.... inakuwaje atafute nyumba ndogo?? ya nini?? au kuna kitu hujamalizia kukisema katika upembuzi wako?..
Mwaga sera zaidi

hukunipata vyema mwanawane...
wat i meant is pindi kina mama mkisha jifungua watoto wenu ol over sudden mwathamini mtoto zaidi kuliko hata mnavyojithamini nyie wenyewe ukiachilia mbali waume zenu,na upendo mwingi,attention kubwa zaidi yawa kwa watoto...in which ndio nikasema ukikuta sasa na mumeo ni mkware au mhuni ambaye hawezi vumilia for long ndio wengi huishia kuona ni kero kuwemo ndani ya nyumba na wake zao as wakirudi kwanza wanapata less attention ukilinganisha na zamani enzi za kurudi na kupokelewa na mabusu kem kem,instead ukirdui wasikia baba nanihiii hebu mbadilishe nepi mtoto!!!sasa ku avoid such things wantafuta sehemu mbadalaz za kupata attention ambako wallahi kuna nyumba ndogo zingine ukiangukia ..... yawa ni ngumu kutoka humo!!

but i don mean to say kuwa wanaume wasihelp wake zao,nop i have always been thinkin n kukuzwa kuamini kumhelp mkeo is more romantic n yakuza mapendo baina yenu as wote ni binadamu na wote mwachoka so kazi za ndani as long ni ndani kwenu u have to help each other whenever it is possible lakini hayo ni possible kama mama naye ndani ya nyumba shows some respect n upendo wa kweli maana kuna wengine wakisaidiwa leo,kesho yuko kwa majirani....ehhh baba nanihiii nimemuweka kiganjani!
 
Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,332
1,250
hapa ongeza chachandu tu .. jifunze kulea nawewe mathalan kuamka usiku mtoto akilia msaidie mwenzio kumbembeleza siyo kuhama chumba ... na kulalamika ... kitoto kila lia kama nini mimi siwezi nahama kesho naenda kazini ... jifunze kuchenji diapers za mtoto na hata kumpa feeding bottle mtoto .... halafu utaona kama mapenzi yatakuwaje...

waweja sana.....umenena mama lakini ukumbuke hayo yoote mwanaume atayatenda kutokana na behaviou za mkewe ndani ya nyumba...if ni mwanamke wa we baba nanihiii ndo nini hata hunisaidii kulea mtoto kwani ni toto langu peke yangu,we ulikua waona raha ku........hapo mwanaume anaweza hata juta kuzaa na huyo mwanamke
lakini kama ni mke wa type ya baba nanihii unajua baby wetu anapendeza sana akibadilishwa nepi na baba yake,waonaje baba nanihii nawe ukamlisha mwanetu mpendwa leo....wallahi naweza hata kukuambia from dat day chakula cha usiku nitakua ni kibarua changu!!
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,749
2,000
hapa ongeza chachandu tu .. jifunze kulea nawewe mathalan kuamka usiku mtoto akilia msaidie mwenzio kumbembeleza siyo kuhama chumba ... na kulalamika ... kitoto kila lia kama nini mimi siwezi nahama kesho naenda kazini ... jifunze kuchenji diapers za mtoto na hata kumpa feeding bottle mtoto .... halafu utaona kama mapenzi yatakuwaje...

...sasa kama anataka nyonyo nitafanyaje mie?...

nakuunga mkono kubadilisha diapers/nepi, kumlisha mtoto, kumbembeleza, hata kumkogesha yote ni muhimu kwa mwanaume kujifunza na kuyatekeleza katika kusaidiana ulezi! ...na kama kuna mwanaume humu anachangia 'mjadala' lakini hajawahi yafanya hayo kwa mwanawe, shame on you my bro!
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,749
2,000
kiukweliii, kina mama wengi kwa moyo mweupe tutaenda kwa mtot sio kwa kuwa tunampenda zaidi ila kwa kuwa ni dhaifu zaidi.
wanawake tunamentality ya kuguswa sana na udhaifu. ndio akili inaenda huko...

...
mume mwache ende na maji na wazee wake lakini mwanangu no way simwachi:)

kwi kwi kwi asilimia 90% ya wanaume / kaka zetu humu JF wameonjeshwa au kulishwa limbwata wallahi .. kila mtu mke mke .. mtoto je . . nyie mmeshakula maisha mpeni mtoto nafasi naye ... mimi huniambii chochote bwana namuokoa mwanangu ...

...Interesting! :rolleyes:

...kwahiyo, 'huenda' mwanaume anachokimbilia kuokoa sio mke as mke ila ile 'raha raha' inayotokana na mke! Huyo mke akienda na maji raha yote ya maisha nayo ndio inaishia hapo...!

...or my 'observation' is a bit controversial?

:D
 
Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,332
1,250
...Interesting! :rolleyes:

...kwahiyo, 'huenda' mwanaume anachokimbilia kuokoa sio mke as mke ila ile 'raha raha' inayotokana na mke! Huyo mke akienda na maji raha yote ya maisha nayo ndio inaishia hapo...!

au my observation is a bit controversial?

:D

hapana banaa kwani wataka niambia hiyo raha mke haipati na kuitaka??!
besides kama shida ni raha tu siwaeza ipata bucha zingine za jirani maana nyama zoote si ni sawa tu tofauti huja kwenye kuandaliwa kwake?!
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,749
2,000
hapana banaa kwani wataka niambia hiyo raha mke haipati na kuitaka??!
besides kama shida ni raha tu siwaeza ipata bucha zingine za jirani maana nyama zoote si ni sawa tu tofauti huja kwenye kuandaliwa kwake?!

:D

...wewe na utaalamu wako wote mbona ulisema utamuokoa mke!? si ungemuacha 'aende' na maji ujipatie steak mpya bucha?

...mtaalamu wengine 'nahisi' wamesema 'MKE' kwakuwa ni mfano wa ukweni huo, keshabandikwa swali, jibu la haraka haraka lilomjia kaona hilo!!!... asijekosa mke!!!

:D
 
Ipole

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
295
0

...umeenda ukweni kuchumbia rasmi,

baada ya utambulisho na wenyeji kuwapa muda 'mjisikie mpo nyumbani' , Baba mkwe anakutupia swali la papo kwa papo; ..." eti kijana, iwapo tumepata ajali majini, na uwezo wako kumuoka mtu mmoja tu, utamuokoa nani kati yangu, mama mkwe, mkeo au mwanao?"

Ingelikuwa weye ungejibu nini?

Hilo swali linafanana na swali walilowahi kuuliza bendi ya MSONDO zamani tofauti yake ni kwamba huo wimbo wa MSONDO aliokuwa akisafiri nao ni wazazi wake siyo wakwe zake bendi ya POLISI walijibu kama ifuatavyo ambayo kwa mawazo yangu ndiyo sahihi EPUKANA NA LAWAMA YA KUMOKOA MMOJA KATI YA WAZAZI KAZA MOYO MUOKOE MKEO MTOTO UTAZAA MWINGINE
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,749
2,000
Hilo swali linafanana na swali walilowahi kuuliza bendi ya MSONDO zamani tofauti yake ni kwamba huo wimbo wa MSONDO aliokuwa akisafiri nao ni wazazi wake siyo wakwe zake bendi ya POLISI walijibu kama ifuatavyo ambayo kwa mawazo yangu ndiyo sahihi EPUKANA NA LAWAMA YA KUMOKOA MMOJA KATI YA WAZAZI KAZA MOYO MUOKOE MKEO MTOTO UTAZAA MWINGINE

...Ipole naukumbuka huo wimbo, enz hizo za Redio Tanzania! ha ha...

anyway,....lawama itakujaje nao weshakuwa marehemu? au 'unaogopa' maneno ya wafiwa?

Tukirudi kwenye swali,
...iwapo umeulizwa swali hili ukweni, (sio baada ya ajali), ungejibu hivyo hivyo? ...Vipi 'Ba Mkwe mtarajiwa' akikuongezea swali, "mimi je?, ndio utaniacha nizame?!"

Interesting eeh?

;)
 
Nsololi

JF-Expert Member
Mar 8, 2007
298
225
Nitamuokoa mtoto kwanza, kwani ni ndugu wangu wa damu pia nikimpoteza mtoto sitaweza kumreplace. Lakini mke ni rafiki wa mkataba, na any time anaweza kuniacha na akaolewa na mwingine, na hata akichukuliwa na maji naweza kuoa mwigune hata ndani ya mwaka mmoja.Vivyo hivo kwa mke, nikiaga dunia atapata mme mwigine wa kuchukua nafasi yangu na ataliwazwa.

NB: Mke siyo ndugu ila ni rafiki wa mkataba unaoweza kuvunjika any time.
 
Last edited:

...Kweli Nsololi,...

It' s all about trust, asilimia kubwa ya wenye experience mbaya kwenye relationship ukimwuuliza swali hili atakwambia 'nitamuokoa mtoto', why? kwanini?

au ndio; "1st marriage is the triumph of imagination over intelligence, whilst the 2nd marriage is the triumph of hope over experience?"
 
WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,461
0
hukunipata vyema mwanawane...
wat i meant is pindi kina mama mkisha jifungua watoto wenu ol over sudden mwathamini mtoto zaidi kuliko hata mnavyojithamini nyie wenyewe ukiachilia mbali waume zenu,na upendo mwingi,attention kubwa zaidi yawa kwa watoto...in which ndio nikasema ukikuta sasa na mumeo ni mkware au mhuni ambaye hawezi vumilia for long ndio wengi huishia kuona ni kero kuwemo ndani ya nyumba na wake zao as wakirudi kwanza wanapata less attention ukilinganisha na zamani enzi za kurudi na kupokelewa na mabusu kem kem,instead ukirdui wasikia baba nanihiii hebu mbadilishe nepi mtoto!!!sasa ku avoid such things wantafuta sehemu mbadalaz za kupata attention ambako wallahi kuna nyumba ndogo zingine ukiangukia ..... yawa ni ngumu kutoka humo!!

but i don mean to say kuwa wanaume wasihelp wake zao,nop i have always been thinkin n kukuzwa kuamini kumhelp mkeo is more romantic n yakuza mapendo baina yenu as wote ni binadamu na wote mwachoka so kazi za ndani as long ni ndani kwenu u have to help each other whenever it is possible lakini hayo ni possible kama mama naye ndani ya nyumba shows some respect n upendo wa kweli maana kuna wengine wakisaidiwa leo,kesho yuko kwa majirani....ehhh baba nanihiii nimemuweka kiganjani!

Nimekupata kaka!!
You have a point
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom