Maeneo ninayoyajua kwa sasa ni Chako-Ni-Chako bar, Younique Pub, Rose Garden Bar.

yaani kuna maeneo mengine ya kula bata zaidi ya hayo? Nina wiki 6 tu hapa.

yaani kuna maeneo mengine ya kula bata zaidi ya hayo? Nina wiki 6 tu hapa.

Saba-Saba si huwa wanauza mitumba au unamaanisha Mnadani?
iko karibu na booking office za kampuni ya hood

Maisha club iko pande zipi mkuu?

mpwapwa.

iko karibu na booking office za kampuni ya hood

kumbe Mpwapwa kuna bata?