wiki ya nne nchi bila serikali!

mutisya mutambu

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
208
82
nashangazwa sana na mambo jinsi yanavyokwenda na nashidwa kuelewa nini maana yake.utakumbuka toka uchaguzi tar 31 ni wiki ya nne sasa,lakini yaliyofanyika hayaendani kabisa na muda wenyewe.mambo yanapelekwa polepole,tukio moja leo lingine baada ya wiki kupita.kinachomfanya asitangaze serikali muda wote huu waanze kazi mapema ni nini? watu wake aliorudi nao ni walewale sasa hawafahamu,au ni kuspend tu mpaka atakapojisikia.au anafikiri miaka mitano ni mingi kivile mkumbusheni kwamba ndio imeanza kujihesabia vile awe makini vijana wa sasa ni wengi na hawana mchezo wanafatilia mambo kwa karibu sana,namtakia kila laheri,tunategemea serikali ya maana isiyo mzigo kwa serikali
 
Naona hamasa yako iko juu.Utajisikiaje wakirudi mawaziri wabovu walewale Ngeleja,Membe,Chiligati,Sofia Simba,Prof Magembe...teh teh teh
 
Mutisya mi sijui Waafrika nani katuloga!!Nakumbuka Marekani baada yakumchagua Obama Kenya(Kibaki)alitangaza kesho yake kuwa siku ya Mapumziko Kitaifa kwamba Mjaluo mwenzao kashinda,Obama mwenyewe hakupumzika Kenya wanasherekea Kitaifa ye Obama siku hiyo ameingia Ofisini nakuanza kuchapa kazi.Mi nadhani kuna haja kabisa kwa hawa viongozi wetu kupimwa akili zao kabla yakuwapa idhini yakutuongoza haingii akilini hata kidogo hasara iliyotokea kwakutumia Gharama kubwa sana katika Kampeni afu Mtu bado anapoteza muda tu bila sababu za Msingi tutacompasate vipi hii Loss!!.
Just imagine kuna walimu wa Diploma waligraduate mwezi wa5 nawalitakiwa waanze kazi kati ya Julai na Septemba lakini hadi leo hawajapingiwa vituo vyao vya kazi na hawajui hatma yao afu still bado Mtu anapoteza muda.
 
nadhani mkwere na familia yake wanataka wawe serikali kwa muda then ndo atafikiria kutangaza serikali mpya
 
Nilisema kitambo nchi inaendeshwa na wafu mbona hamuelewiiiiiii?????????? ccm bana ilimradi liende..kinachomzuia mkulu kutangaza baraza la mawaziri ni nini au anasubiri kesi ya rada itajwe kuwa mhusika hana hatia halafu amweke chenge waziri wa fedha hahhahaha moto huo wa kuuzima sijui atakuwa nani??? Mkulu tangaza baraza bana acha kutuzingua. swali la kiuzushi wajameni 'katiba inasema nini kuhusu kutangazwa baraza la mawaziri??? ni baada ya muda gani baada ya 'rahiiiiiiiisi' kuapishwa oops nimesahau how to spell presidaaa kwa lugha ya kiswahili
 
Back
Top Bottom