Wiki ya 4 Sasa Toka mke wangu mpya kutoka bukoba nipo nae (mtwara) masasi dah kuoa kumbe ndo raha hivi

Usisahau Kutupa Mrejesho Baada ya Miaka Miwili Kupita Maana Huo Ndio Muda Sahihi wa Kujua Mapungufu Juu Ya Mtu Ulie Nae.
 
Wakuu nimemaliza chuo mwaka Jana mwezi wa 8 dhamira yangu nikimaliza chuo nioe fasta Maana kukaa kitaa bachelor sikupenda.

Nilidet na muhaya Toka mwaka Jana Leo hii wiki ya 4 Toka nimemsafirisha nipo nae kusini huku.. Najisikia raha Sana nawashauri vijana wenzangu msiogope kuoa ndo hatua yenyewe ya kuanza safari yako ya mafanikio endapo utapata mtu sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikipita miezi 3 usisahau kuleta mrejesho..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Kwanza nataka nimtaght kila idara hawezi fanya lolote najikubali Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwenzio alirubuni kabinti baada ya form 6 akakaoa kabisa na kukazalisha mtoto. Kamekuja kuanza first year kana mtoto mdogo.

Baada ya binti kufika mwaka wa pili stress kali sana akaanza kutoa mbwa nje, wahuni kibao wamepasua pamoja na kwamba ana pete yake kidoleni. Siongei kukutisha ila ndio uhalisia, utapooa binti kabla hajakomaa atapofikia ile age amekomaa kiakili ataanza kuangalia aina ya mwanaume ambaye angependa kuwa nae.

Too bad binti atajikuta kashatiwa katika kifungo na mtu ambaye anaona sio type ambayo angependa kuspend nae rest of her life. Hapo ndipo utamu ufakapoanza. 21 yrs old girl bado ni light headed haja mature sawa sawa kufanya maamuzi makubwa kiasi hiko hasa wale ambao hawakuwa exposed sana na maisha.

Probability ni wewe umem drag katika fantasies za ndoa na kumfanya ahisi kuwa ni jambo jepesi jepesi tu ili umpate kusitiri nyege zako. Sasa akili yake ikishachemka vyema akagundua wewe sio mtu wa ndoto zake jiandae tu. About 2 years ahead!
 
Wakuu nimemaliza chuo mwaka Jana mwezi wa 8 dhamira yangu nikimaliza chuo nioe fasta Maana kukaa kitaa bachelor sikupenda.

Nilidet na muhaya Toka mwaka Jana Leo hii wiki ya 4 Toka nimemsafirisha nipo nae kusini huku.. Najisikia raha Sana nawashauri vijana wenzangu msiogope kuoa ndo hatua yenyewe ya kuanza safari yako ya mafanikio endapo utapata mtu sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app

Unapotueleza una mke mpya maana yake kuna mke wa zamani uliepata kuwa nae. Sasa hii yako ni experience ya kuoa mke mpya au ya ndoa?
 
Hahaha dah jamaa wewe uniafurahisha Sana of course hii ipo common Sana, na inafahamika nafahamu pia.. Miaka 21 kwa mtoto wa kike ming Sana.. Kwanza huyu mlimbwende wangu sijamwokota kihuni huni mtoto nimempata mazingira flani amazing Sana..
Ndio Maana nakuambia huyu Kwanza Hana reference na mwanaume yeyote koz ndo nimetoka kutengeneza njia wiki mbili nyuma.. Alfu haiba yake huyu ya ajabu Sana.. Sijawai ona..

Tuliza povu dogo nipo nae Labda niamue mimi tu

Back
Top Bottom