Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

Mbona kwenye uislam kuomba siyo lazma uchome udi/ubani na kukera majirani ni dhambi haijalishi ni wa dini gan ila uislam umekataza kuwakera majirani, mm ni muislam lakin udi/ubani unanikera na huwa siupendi.
 
Nyie bana huwa mnashangaza vya kwenu mnataka wote wavikubali ila vya wenzenu haramu hamvitaki hata kama ni wapangaji tu eg kupika kitimoto mnakereka na kulalamika
 
Ohoooooooooo
 
Kwa hesabu zangu za harakaharaka wewe Ni mpiga ramli chonganishi mzuri Sana...
Lkn pia una dalili za mtu katili
 
Nyie bana huwa mnashangaza vya kwenu mnataka wote wavikubali ila vya wenzenu haramu hamvitaki hata kama ni wapangaji tu eg kupika kitimoto mnakereka na kulalamika
Sio wote
 
Hosea 2:18
18 Nami siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mashamba kwa ajili yao, tena na ndege wa angani, tena na wadudu wa nchi; nami nitavivunja upinde na upanga na silaha vitoke katika nchi, nami nitawalalisha salama salimini.

Hosea 2:13
13 Nami nitamwadhibu kwa sababu ya siku za Mabaali, aliowafukizia uvumba; hapo alipojipamba kwa pete masikioni mwake, na kwa vito asema Bwana.

Ninafikiri ulimaanisha Hosea 4:6 ambayo inasema:

6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
 
Huyu jamaa tunamuombea Allah amuongeze, Uislam wake umechanganyika na elements nyingi za ushirikina, imani yake kwenye mizimu hua inanitia mashaka sana na huo uislamu anaojinasibisha nao.
Tunamuombea kwa Allah ampe hidaya na amsamehe yeye na sisi pia katika makosa yetu.
Amiiin...
 
Mkiitwa Waswahili mnakasirika😄😄 ...yaani Kuna watu wa dini na madhehebu Fulani hata wasome vipi ,hawabadiliki!
Majuzi nilikutana na Bint moja ...Hotelini ,et7 hataki kula kwa kijiko😜
Anakwambia kila kwa mkono ni Sunna
Mambo mengine yanshangaza Sana!
 
Back
Top Bottom