Wiki end/siku yako haikwenda poa? cheka hapa na kisa cha ndoa iliyodumu siku 2.

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Wanandoa wameoana siku ya pili tu wamepelekana kwa padri...akawauliza nini tena?

MKE AKSEMA: Nilifikiri iko hivi ===========>

ama hivi =====>

kumbe hivi ==>

bora talaka,

MUME NAE KASEMA:

nilifikiri hivi ()

ama hivi ( )

kumbe hivi ( )

bora talaka ichukue nafasi yake

wewe kama padre/mchungaji ungetoa ushauri gani?

NB: wanandoa hawa hawakukutana kimwili mpaka siku ya harusi yao.
 
Ningekuwa padre ningemwita mwanamke chumbani nihakikisha kama ni kweli iko ( ) au ( ) au () alafu ningemshauri mwanaume jinsi ya kufanya
 
Ningekuwa padre ningemwita mwanamke chumbani nihakikisha kama ni kweli iko ( ) au ( ) au () alafu ningemshauri mwanaume jinsi ya kufanya

Mkubwa we uchungaji haukufai ungeonja wake za watu wote.....
 
Ningekuwa padre ningemwita mwanamke chumbani nihakikisha kama ni kweli iko ( ) au ( ) au () alafu ningemshauri mwanaume jinsi ya kufanya

Heheheee, Pamoja mkuu.

Mkubwa we uchungaji haukufai ungeonja wake za watu wote.....

Mkuu kazi ya mchungaji ni kuhakikisha kuwa kondoo wa Bwana hawaparaganyiki kwa namna yoyote ile.
 
hahahahaaaaaaaa

ningewatoa baruti

kwanza ninge waambia haya mambo ya vipimo kumbe mnyajua na ni kipi kina staili kwa kila upande hili kikamilishe kazi yake. Hivyo kuna ujuzi wa haya mambo pande zote ikiwa nyie watu wazima kwanini amkuya hakikisha haya kabla ya ndoa.
 
hahaaaaaaaaa

Hawakuwahi hata kupapasana?? Ama ndo ile mchumba Kigoma wewe Dar.mawasiliano kwa simu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom