Wifi anasema anampenda daktari aliyemsaidia kujifungua

Habari za siku wadau,

Mwenzenu hivi nimepata kibarua kigumu cha kuuguza mzazi. Nina wifi yangu kiumri ni kama anamiaka 25 huyu amejifungua kama ana siku 14 hivi,alisaidiwa na Dr mmoja mkaka na amejifungua kwa njia ya kawaida.

Kinachonishangaza ni pale anapoamua kusema anavyojiskia ,alianza kulia nikambembeleza aniambie akasema ntakwambia ila usimwambie mchumba wangu,nampenda Dr alienizalisha nampenda sana sina jinsi ya kumwambia ila naumia wifi nampenda.Anasema yupo radhi kwa lolote simuelewi hataa.

Naomba ushauri maana sina pa kuanzia hata.

Amwambie
 
Huyo pepo sio buree
 
kuna wanawake nyege huwa zinawaongezeka wakiwa wajawazito. anapopimwa njia anakuwa anatekenywa unakuta anakata viuno. wengine huwa wanafikwa na mshindo kabisa
 
mmmm Makubwa........kwanza hata hisia ya mwanamme inakuwepo? sijui wenzangu mie nakua hata time sina
nakua busy na mwanangu na kuumwa na zaidi nikifikira yale maji ya moto na mi supu nakua sina hamu ya mume wala
nini.......
 
Asanteni kwa ushauri,ila namuangalia tu muda huo upite nione ni wazimu wa kudumu au vipi,yani sijawahi sikia wala ona
 
hahah nimejarabu kufkiria matatzo ya huyu wifi yako lol nomaa kweli.. tatzo ni hawa madaktar wadgo wadgo sina iman nao kabsaa sio bure hz PV Examination mmh labda katumia Tongue
 
Back
Top Bottom