Wifi anasema anampenda daktari aliyemsaidia kujifungua

itakuwa imechangiwa na kauli nzuri za daktari wakati anamhudumia, dk alitanguliza upendo wa hali ya juu ambapo pengine huyo wifiyo hakuwahi kuuonja kwa kaka yako kwa muda mrefu kidogo
 
Habari za siku wadau,mwenzenu hivi nimepata kibarua kigumu cha kuuguza mzazi. Nina wifi yangu kiumri ni kama anamiaka 25 huyu amejifungua kama ana siku 14 hivi,alisaidiwa na dr mmoja mkaka na amejifungua kwa njia ya kawaida.

Kinachonishangaza ni pale anapoamua kusema anavyojiskia ,alianza kulia nikambembeleza aniambie akasema ntakwambia ila usimwambie mchumba wangu,nampenda Dr alienizalisha nampenda sana sina jinsi ya kumwambia ila naumia wifi nampenda.

Anasema yupo radhi kwa lolote simuelewi hataa.
Naomba ushauri maana sina pa kuanzia hata.
ana kichaa cha mimba hahahahaha
 
wanawake bana. Wanakoroga mambo akiachwa anaanza kulalamika
Hiv huwa mnajisikia raha kuzaa kila mtoto baba yake?
Mwambie atulie atakosa vyote.
kila mtoto na baba yake unapata United Colours of benetton
upload_2016-6-27_12-8-25.jpeg
 
wanawake wengi huwa wanakuwa hawapo sawa mapema baada ya kujifungua, wengine huwa na hisia za chuki mno, wengine kulia bila sababu, hasira na mengineyo.
hivyo basi mshauri huyo wifiyo asubiri baada ya siku 40 kisha mtaliongelea hilo swala.
nina uhakika hatokuwa tena na hisia hizo baada ya hizo siku.


Ha ha ha, najua hili hauna uhakika nalo
 
Labda dokta alimsugua sugua kule kwenye bean mpaka akajojoa katika process ya kumzalisha. Muhoji vizuri, huenda hilo ndilo lililomdatisha.
 
Asubiri ka baby kakue
LIKE,LIKE,LIKE.LIKE...........................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
 
Muambie aache ujinga wake!!! Hiyo fantasy yake itampeleka kubaya asipojiangalia. Au amepata puerperal psychosis nini? Of course hiyo ni rare mental health condition but it is a possibility. Atakuwa okay eventually...
Mania
 
Nasikia kuwa mwanamke akijifungua na akafanya kituko chochote ndani ya miezi mitatu ya mwanzo hawezi kupewa mashitaka. Kisa ni 'ukichaa' wa mimba. Na huyo mvutie pumzi kwanza hadi miezi mitatu ipite. Akiendelea ndio umtolee uvivu rasmi
 
Back
Top Bottom