Wife Material

Ukisubiria kumpata wa sifa zote hizo utakua babu na hautampata. Ww angalia awe nazo hata nusu ya hizo. Otherwise ukweli ndo huo hapo hizo ndo sifa anazotakiwa wife material awe nazo.
ni kweli si wote wenye sifa hizo ila kama anazo hata chache,,, utakazo ridhika nazo ,, nyingine mtarekebishana,,, ila usiombe umpate mke ,, mwenye iman za kishirikiana , gubu,, afu ajishuhurishi na chochote,, ujue umepotea. mkuu
 
Humu ndani JF hakuna wife material hata 1,mengi yao ni MAPOPOMA ya kuyakaza na kuyaacha
 
Mwanamke anayejitambua na kutambua majukumu yake kama mwanamke.
 
Back
Top Bottom