Wife material?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
8c734ada06ad97362afaeefa664e7639.jpg
 
Unaona huyu mama anavyo pambana na maisha na kujenga familia - ikisha unakuta mfanyakazi serikalini anaekula kodi za huyu mama na hana hana anachofanya analia hajapata nyongeza ya mshahara !!!
 
Huwezi jua, usikute anawatoto kibao na kila Mtoto na babake!
Na anapambana kivyake kimaisha!
Wife material sio mchezo kuna vigezo vingi sana!
 
Back
Top Bottom