Wife kaniroga naogopa kumwambia.

Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.

mkuu hata ukipiga masta kitu haisimami?
 
dah hizi speed governor noma kweli ila bora unapata aibu kwa demu mmoja kuliko angekufanyia yale mambo ya kunasana
 
Tafuta wa kukuagua bwana mambo gani hayo!ss Akifa ww utakuwaje!!Kha heri nusu shari i see.
 
Safi sana mkuu naomba namba ya mke wako, anaweza kulisaidia taifa kupunguza maambukiz mapya ya UKIMWI
 
Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.

Dawa ni moja.
Tafuta beberu, yale yanayonuka akushugulikie, itasimama ghafla.
Kuanzia apo demu yeyote unagonga.
Hiyo dawa pia hunasua waliogandana.
 
Mke mshirikina + mume mzinzi = makao makuu ya shetani! Unaogopa kumwambia kwa kuwa mikono yako michafu. Huwezi kutaka haki wakati hutendi haki. Nyote mtubu ili msonge mbele.
 
Hahahaaa wife wa namna hiyo safi sana..mpe pongezi zangu!! Natamani dawa hiyo kila mwanamke awe nayo tuone vidume tutafanyaje!!
USHAURI: Dont do anything bad to ur wife

Huyo wife ni mpuuzi kwani yeye alipo huku watu hawamfilimbi??? Usikute hata kabang anafilimbwa halafu anamuwekea mtoto wa mwenzake dawa!!
 
mkuu USIKUFURU wewe! hee! mke km huyo ndio MJANJA anakuepusha na MENGI!
 
na wewe kwa nini unataka kutoka nje ya ndoa basi mkeo aligundua toka awali kuwa wewe utatoka ndio mana akakufanyia hvyo lakin usije ukamdhuru mkeoooo
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom