Wife kakuta 5,000 mfukoni wakati anafua, mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
Hatimaye 5,000 imeonekana wakati wife anafua.

Miaka ya nyuma ilikua wakati wa kufua masalia ya hela yanaonekana mtu anapokagua kabla hajafua.

Kwa Mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015. Hela sasa imeanza kuonekana sio siri.

Kwa upande wangu kwa miaka 5 kun'guta na toa mifuko ilikua hukuti masalia ya hela wakati wa kufua.

Hatimaye leo 5,000 imeonekana.
 
Angalau ukiondoa hili janga la covid III mama kwakweli anakwenda vizuri na mitaani zimeanza kuonekana kidogokidogo na juzi niliona anarudisha leseni za wenye maduka ya kubadili fedha.

Hakika huyu tumuombee kwa mwenyezi mungu azidi kumuongoza ktk majukumu yake mazito na hasa katika kuturudisha kwenya maisha
 
Mama anaupiga mwingi sana.
 
Nadhani wewe ndo utakuwa mwanamke mwanaume hawezi andika upumbavu kama huu. Mambo mengine mwishowe tunakuja onekana wote tunaokaa Dar ni nyumbu kama wewe. Kichwa usiwe unafugia nywele tu
Ulimbukeni wa Dar! Dar kuna nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom