BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,818
- 11,001
Hatimaye 5,000 imeonekana wakati wife anafua.
Miaka ya nyuma ilikua wakati wa kufua masalia ya hela yanaonekana mtu anapokagua kabla hajafua.
Kwa Mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015. Hela sasa imeanza kuonekana sio siri.
Kwa upande wangu kwa miaka 5 kun'guta na toa mifuko ilikua hukuti masalia ya hela wakati wa kufua.
Hatimaye leo 5,000 imeonekana.