Wife kafumania sms za mchepuko msaada jamani ushauri nifanyaje kimenuka

Not fair mkeo akichepuka ungemfanyaje?????ungemtia majeraha ya maana,ungemuacha,ungemzalilisha.lakini wewe ****** baridi mbwa wewe umechepuka huko mshenzi type.mwana kulaaniwa bata wewe mxiuuuu umeniuzi ningekuwa nakujua ningekutumia boko haramu kunguni wewe
hakuna binadamu aliyekamilika ni mapungufu tu mkuu ya kidunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuwa mpole tu,kubali yote.mi ilinitokea nilipigwaje makofi?nikawa navumilia tu,yaani mnaweza kuwa mmelala anaamka usiku na kuanza kunipa mabanzi ya ukweli,sometimes nilikuwa nastuka usingizini nikidhani majambazi washaingia ndani na wamenipiga bapa za panga kumbe makofi ya waifu tu,nilivumilia ndani ya mwezi yakaisha.

Ni muda wa kuwa mpole tu jombaa,hakuna namna
Dah wanawake wakikutait na kosa,ni shida mkuu
mkuu yaani hapa nilipo nimepoa yaan sijielewi afadhali nipo jf hapa nafarijika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko hivi nimeweka simu kwenye chaji kumbe hajarock wife akaitime kasoma kila kitu yaan nipo hapa home hakupikiki wala hakuliki hapakaliki ushauri wa haraka unahitatajika kuokoa ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe jibu moja reasonable focus siku ambayo yy anahic alikukera halafu mkaushie huwa wepesi kusamehe ila wagumu kusahau, reason ikiwa nzuri yy ndo anajiona mwenye makosa hata kama ni ww
 
Wakati mnakulana na huyo mchepuko mbona hukuja kuomba ushauri humu,mteme mkeo oa mchepuko

Ova
 
Iko hivi nimeweka simu kwenye chaji kumbe hajarock wife akaitime kasoma kila kitu yaan nipo hapa home hakupikiki wala hakuliki hapakaliki ushauri wa haraka unahitatajika kuokoa ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee utawadhe na usali uombe toba kwa Mwenyezi Mungu.Ukimaliza Mkabili mke wako umuombe msamaha na ujute na usirudie kuchepuka.Mwenyezi Mungu ni msamehevu ukimuomba na ukajuta na ukaahidi kutorudia na ukachukia ki=urudia.
 
Mkuu mbona hukutushirikisha kabla ya kuamua kuchepuka, labda ungefundishwa na mbinu za kuchepuka, ahahahaha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom