Wife hanijali mimi kabisa wala lolote ninalofanya

Kwema wakuu?

Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion.

Kwa upande wangu, nikiishaondoka asubuhi home wife hana habari na mimi kabisa labda itokee tu emergency ndio anaweza kunitafuta. Yaani mimi naweza hata kukaa nje ya nyumbani mpaka usiku wa manane na wife wala hata asipige kuniulizia.

So nawaza, hapa napendwa au ni bora tu siku ziende?

Tofauti yako na huyo jamaa ni hela
 
Nitakutakia mema kuanzia mwaka 2025, kwa sasa teseka teseka kidogo.
Shindwa pepo,shindwa wewe fire fire fireeeeeeee baba uwa Leta Moto ulao baba piga vunja baba fire fire fireeeeeeee.
 
Raha ya hayo maswali yawe unajisikia kula nini, chukua hela au nakutumia ukanunue ule.....

Sio umekula nini umekula nini umekula nini kavu nyauuu nmekula majani
Asante kwa ufafanuzi wa kina ES.

Kuna namna unaweza kuulizwa hili Swali umekula nini kwa vitendo.
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ‘†πŸ‘†πŸ‘ŠπŸΏπŸ‘ŠπŸΏπŸ‘ŠπŸΏπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom