Wife anataka kunigeuza sex machine

Kama huwezi kumaliza haja zake ni wazi kabisa mizani imegoma kubalance, tena kwenye hitaji nyeti

Mwa 2:18 BWANA Mungu akasema, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

Tafakari, Chukua hatua!
 
Ni aibu kubwa kwa mwanaume kamili kusema nimechoka wakati wa kufanya mapenzi"
Na maji kuita mma..
 
Nikwambie kitu..mara nying nikiwa faragha na bibie...baada ya tendo anakuwaga kama anaumwa...atalala siku nzima..atasema mwil u amuuma..miguu haina nguvu etc...

Na hataman hyo kitu mawik na mawik..mim pia hiwa sitaman..ila huwa nataman mwanamke mpya

So nifupishe tu ...

Ni kwamba..ukiona mwanamke anataka mara kwa mara ujue humfikish kunakotakiwa ndomana hamu haiishi..

So raise ua game kaka....usilaumu mkeo
 

Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom