wife anapokulalamikia rafiki yako anamtaka....

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
kuna ka mtihani kananiumiza kichwa kidogo...
kuna jamaa amehamia hapa mtaani kama mwezi mmoja hivi.
baada ya wiki wife akaniambia huyu jamaa anamsumbua kwa kumpigia simu za kumtaka...
nikamwambia aachane nae.
sasa jana nimeshika simu ya wife nimekuta kuna sms za kumtukana jamaa. sasa nipo sielewi nimuadhibu wife kwa kuendelea kuwasiliana na jamaa au nimuadhibu jamaa kwa kutaka kuharibu nyumba yangu.
NIPO NJIA PANDA
 
Wife kamtukana jamaa kwamba asimsumbue au kamtukana kwa sababu ipi? Lakini pambana na mkeo tu hapo in any case
 
Huyo kwa vile umemjua, anatongozwa na wangapi na pengine anawakubalia na huwajui?? mwanamke hatoacha kutongozwa, mweke mkeo sawa na mtunze kisawasawa...! na watch out,mara nyingi wale wanaume anaokuambia wamemtongoza pengine hawana kitu kinachomvutia au pengine yeye ndo kajipeleka...tumia hekima, ww deal na mkeo!
 
anamwambia asimsumbue yupo na mume wake, lakini si nilimwambia aachane nae?!
 
Huyo kwa vile umemjua, anatongozwa na wangapi na pengine anawakubalia na huwajui?? mwanamke hatoacha kutongozwa, mweke mkeo sawa na mtunze kisawasawa...! na watch out,mara nyingi wale wanaume anaokuambia wamemtongoza pengine hawana kitu kinachomvutia au pengine yeye ndo kajipeleka...tumia hekima, ww deal na mkeo!

nimekielewa ila nahisi wewe hujanielewa
 
au wametibuana ndo akaanza kumtukana?
Kama humtaki wala huna wazo nae hata kumtukana is a favor.
 
kuna ka mtihani kananiumiza kichwa kidogo...
kuna jamaa amehamia hapa mtaani kama mwezi mmoja hivi.
baada ya wiki wife akaniambia huyu jamaa anamsumbua kwa kumpigia simu za kumtaka...
nikamwambia aachane nae.
sasa jana nimeshika simu ya wife nimekuta kuna sms za kumtukana jamaa. sasa nipo sielewi nimuadhibu wife kwa kuendelea kuwasiliana na jamaa au nimuadhibu jamaa kwa kutaka kuharibu nyumba yangu.
NIPO NJIA PANDA

Mkeo ndio mtuhumiwa # 1. Kwa nini alitoa namba ya simu kwa mtu anayemtongoza?
 
Huyo kwa vile umemjua, anatongozwa na wangapi na pengine anawakubalia na huwajui?? mwanamke hatoacha kutongozwa, mweke mkeo sawa na mtunze kisawasawa...! na watch out,mara nyingi wale wanaume anaokuambia wamemtongoza pengine hawana kitu kinachomvutia au pengine yeye ndo kajipeleka...tumia hekima, ww deal na mkeo!
Na pia ajitume
 
huyo jamaa alipataje namba ya mkeo? Isije ikawa walikua wanajuana kbl jamaa hajahamia hapo kitaa na baada ya mke kuona jamaa kahamia mtaani akajua ishu itajulikana akaamua kujihami mapema kwa kukwambia kuwa jamaa anamtongoza! TAFAKARI KWA MAKINI SANA KABLA HUJACHUKUA HATUA YOYOTE
 
Back
Top Bottom