Wi-Fi

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
988
Habari zenyu wakuu na heri ya chrissmass na mwaka mpya

Samahani nahitaji mtu/kampuni awezaye kufuma au kuunda wi-fi katika eneo nilipo, kama yupo humu basi aniambie gharama zipoje.

Shukrani.
 
Mkuu Fadhili Paulo labda ungaelezea kidogo hiyo wifi unayotaka ufanyiwe installation ni kwa ajili ya matumizi gani labda mfano kampuni, organisation, office, internet cafe au kwa matumizi ya n yumbani tu? Maana kufanya installation lazima mtu ajue mahitaji yako ndo akupangie gharama, saa nyingene labda hata wewe unaweza kufanya installation kama utaelekezwa cha kufanya kulingana mahitaji yako
 
Mfano kama unahitaji kwa ajili ya internet connection au LAN , unanunua tu router yenye uwezo wa wi-fi halafu unaendelea kutumia tu na watu wako.
 
Mkuu Fadhili Paulo labda ungaelezea kidogo hiyo wifi unayotaka ufanyiwe installation ni kwa ajili ya matumizi gani labda mfano kampuni, organisation, office, internet cafe au kwa matumizi ya n yumbani tu? Maana kufanya installation lazima mtu ajue mahitaji yako ndo akupangie gharama, saa nyingene labda hata wewe unaweza kufanya installation kama utaelekezwa cha kufanya kulingana mahitaji yako

Nina hotel ndogo maeneo fulani nahitaji wageni wakiwepo hapo basi wenye pc zao waweze kutumia bure.
 
Hi Fadhili,
Mimi ni mtaalam wa wireless networks, nauza WiFi outdoor access points na kuzifunga.

ninazo equipments nzuri, zenye nguvu tena kwa bei nafuu.

Call me on 0767659145, 0787659145
Email: alphonce@alphonce.net

Habari zenyu wakuu na heri ya chrissmass na mwaka mpya

Samahani nahitaji mtu/kampuni awezaye kufuma au kuunda wi-fi katika eneo nilipo, kama yupo humu basi aniambie gharama zipoje.

Shukrani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom