Wi-Fi technologia kibiashara

fundiumemedar

Member
Aug 9, 2015
22
9
Habari, wana JamiiForums,

Naomba wataalamu wanisaidie, mawazo, natakana kusuplly wi-fi, katika eneo lenyemsongamano mkubwa wa watu, hasa wanafunzi.

Lengo kuu ni biashara, mfumo nataka uwe hivi;

Mtu analipia kiasi kwa njia ya Mpesa, Tigo pesa, ama paypoint, maxmalipo,
akishalipia atapewa user & password, unique, na hiyo password ataitumia kulog in kwenye wifi, yangu, pia itamuunganisha kwa muuda kulingana na kiasi ya pesa alicholipia, eg. 200 for 1 hr, baada ya muda kuisha toka alog in, itakata automatikally na itaanza kuhesabu pale tu atakapokuwa amelog in,
time with money not MB with money.
 
  • Thanks
Reactions: kas
hiyo changamoto naitambua kaka , msingi ni mfumo uwe vizuri , hasa hapa naitaji mtaalamu amabye atanitengenezea huo mfumo , ili mimi niufanyie kazi ,

sifa
internent yangu itakuwa ya kasi ,
bei itakuwa rafiki ,
na itawahusu watu serious ,
Ongea na Zantel wanaiweza hiyo kazi
 
kila kitu unachotaka kufanya kinawezekana ila changamoto kuu ni moja, huwezi compete na ISP waliopo yani kifupi sahau kuhusu faida, kwasababu utanunua packages kwao kwa bei kubwa na unahitaji dedicated connection hivyo gharama kupanda, bado uje kukimbizana na vifurushi vya chuo vya mitandao mingine.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom