Why?

Samahani.

Why does a hooker make more money than a drug dealer?
 
This is debatable depending on market penetration and level of business on both ends, obviously a crackhead hooker cannot compete with an organized crime family boss.

Likewise a foot soldier cannot compete with a high class madam.

But all things remaining equal, I would think the clientelle for a hooker's merchanidise is extremely larger than that of a drug dealer.
 
Mmhhh...I'm not sure I agree....

Ever heard of Big Meech and the Black Mafia Family?
 
Hii kitu ungeifafanua zaidi..

Kwa jinsi nijuavyo mimi drug dealer wengine huwa wanashindwa hata kuhesabu hela zao jinsi zilivyo nyingi, huwa wanakodisha watu wakuhesabu..

Dope boys go and make it rain in the strip clubs...they get all the strippers and ******....
 
Last edited:
Unazungumzia real drug dealers au small time peddlers/pushers ambao nao mwisho wa siku wanatakiwa wareport mauzo kwa mtu mwingine?

Kwa US high-end hooker anaweza kuingiza mpaka $ 5,000 a client na hawa high end call girls mara nyingi wanakuwa na si zaidi ya wateja watatu kwa wiki lakini kumbuka wengi wao wanakuwa chini ya kampuni.
Hookers wa kawaida ambao wanakuwa na wateja kuanzia mmoja mpaka watano au zaidi kwa usiku wanapata anywhere mpka $ 1,000 kwa usiku wakishatoa hela ya pimp/madame wanaweza kubakiwa na chochote kuanzia $ 100-600.

Guess wateja wakubwa wa hookers ni hao hao drug dealers.
 
Back
Top Bottom