Bilgate Mtoto
New Member
- Nov 27, 2007
- 3
- 0
Nimefanya majaribio kadhaa kwenye computer yangu yenye windows Xp.
-Nimeinstall windows XP SP 2 kwenye laptop yenye specs zifuatazo (Intel Centrino Duo core 2 1.86,2gb Memory na 120Gb hard disk)
-Nimeinstall updated patches zote za microsoft na nimeset auto update.
-Nimeinstall Antivirus (McAfee v 8.5i,McAfee Antispyware,McAfee Patch 3 na updated DAT) , pia nimeset autoupdate ya DAT
Kwa ujumla laptop mpaka hapo iko up to date kila mahala.
Lakushangaza ni kwamba baada ya kuitumia kwa miezi kama 6 nimegundua inapunguza speed ya mchakato wa data, sasa nashangaa kwanini?
Je windows XP inazeeka kadri unavyoitumia? na ni jinsi gani ya kuukimbia uzee wa XP?
mpaka sasa laptop iko slow sana na antivirus iko up to date, MS patches zote na hakuna virus wa aina yeyote.
Ndugu naomba msaada wa dhati.