Why we are a Nation?

Shayu

Platinum Member
May 24, 2011
608
1,653
This is the soul searching question

Why we are a nation?

And we come together for what purpose?

And do we fulfil that purpose? Or we become a nation accidentally and we need to search for our purpose?

Is our purpose is to eliminate poverty? Ikiondoka je uwepo wetu umeondoka?
 
Nawaza iwapo miaka 50 mbele kutakuwa na mataifa kama yalivyo leo? Miaka kama 70 iliyopita mataifa hayakuwa hivi yalivyo leo. Nikiwaza hivyo huwa naona utaifa na uzalendo ni ubatili mtupu.

Nashauri tuvunje mataifa kadri inavyowezaekana.
 
Kwanini unasema ni ubatili mtupu? Aina za maisha na njia za maisha watu wanazotaka kuchukua ndio huwatenga. Naamini hakuna ukuaji bila utaifa na uzalendo. maendeleo ya watu binafsi yamepatikana sababu ya watu kuishi kwenye mataifa.
 
Ni ubatili kwasababu miaka kama sabini iliyopiata mataifa hayakuwa kama. yalivyo leo. Nina imani kuwa baada ya miaka 30-50 ijayo hakutakuwa na taifa linaitwa Tanzania. Haya mataifa ni vitu vya kupita, ten haraka. Nina amini kwa asilimia kubwa kuwa taifa la Nigeria halitoboi 20 yrs mbele.

Pia utaifa na uzalendo ndiyo vilituletea WWI na WWII.

Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Utaifa na Uzalendo huleta utengano. Brexit ni mfano mmoja wapo.
 
So we unataka watu waishije? Do you think watu wanaweza kuishi bila serikali au kuwa na serikali moja ya dunia ukizingatia ana tamaduni, mila na desturi tofauti?
 
Back
Top Bottom