Why some women can’t keep their legs together!?

Entrepreneur

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
1,087
620
My friend got carried away by a woman (you can call her a girl if you like), akajikuta kwenye mahusiano. Mahusiano yao yalizalisha ndoto, ndoto ya kuja kuwa Mr.&Mrs. Uhusiano wao ulikuwa unaenda vizuri na hata mtu wa nje ilikuwa ni rahisi kulitambua hilo. Mwanamme alijitahidi kumpatia mwanamke wake kila kilichokuwa ndani ya uwezo wake. His assumption was if you provide for the woman or open a business for her she will keep her legs together. Sasa wakati mchakato wa ndoa unakaribia mwishoni, ndipo rafiki yangu alipogundua kuwa mkewe mtarajiwa ana mahusiano nje, akaamua kuwawekea mtego, mtego ambao ulizalisha fumanizi la aibu .

Rafiki yangu akaamua kumpiga chini regardless gharama alizokwisha ingia. Kwa kutambua urafiki uliopo baina yetu, Mwanamke akanifuata akinisihi nikamwombee msamaha kwani bado anampenda, and this is what I told her; A girl is like a tin of coffee; you remember the one which had a foil inside. The first time you let a man touch your breasts or your private parts, then you have opened the lid. The moment you lose your virginity, the foil is gone. After that, every time you have sex (na watu tofauti) , the coffee gets depleted. If you are not careful the rightful owner will find there is nothing left for him".

Jaman, what in hell make a woman spread her legs katika mazingira kama haya?
 
Haya sasa ma2c ina maana wanaoshindwa kukeep their legs together ni wanawake peke yao? wanakeep apart na nani kama si wanaume?

Mwanajamiione , umenichekesha na unachokisema ni sahihi. Lakin je mwanamke anayehudumiwa vizuri na mumewe naye anastahili kufanya hivyo na mtu wa nje? Je aliyechumbiwa naye anastahili kufanya hivyo na mtu wa nje?
 
Nashangaa!!

Sasa Amyner unashanga nini tena? I bet you know how those in relationship view sex; they view it as the special thing that should be shared only by your partner. Unless a woman is a prostitute, kwa sababu hao ndio hawana heshima na hili suala. It becomes just another resource.
 
what on earth makes a sensible man screw a bride to be?!
And a woman who spreads her legs for another man in that situation has "unresolved issues" with her husband to be..its just not normal! Uhusiano wao lazima una hitilafu somewhere!
 
Mwanajamiione , umenichekesha na unachokisema ni sahihi. Lakin je mwanamke anayehudumiwa vizuri na mumewe naye anastahili kufanya hivyo na mtu wa nje? Je aliyechumbiwa naye anastahili kufanya hivyo na mtu wa nje?

Hii sasa ni case tofauti na alivyoiweka hapo. Hastahili kufanya hivyo na mwingine.
 
what on earth makes a sensible man screw a bride to be?!
And a woman who spreads her legs for another man in that situation has "unresolved issues" with her husband to be..its just not normal! Uhusiano wao lazima una hitilafu somewhere!
there you goo ma gal! ur very correct!
kuna hitilafu kbs hapo si bure,
hayo mambo yapo si wa kwanza wala hatakuwa wa mwisho, ajipange tu sawasawa!
ajijue yeye ni nani, kama anatujiproblems au lah na anataka mwanamke wa aina gan!
 
what on earth makes a sensible man screw a bride to be?!
And a woman who spreads her legs for another man in that situation has "unresolved issues" with her husband to be..its just not normal! Uhusiano wao lazima una hitilafu somewhere!

Kuna Jamaa anasema, among the major contributors to the so called pleasure of sex is the fact that sex is 'sin' (the wrong' thing) . When the sin element of sex is removed it becomes another biological exercise like eating. In marriage the sin factor is contributed by trying to hide it from children and house keepers.

But after sometime that fails to provide the adrenaline rush to spark the excitement in sex; that is when people start to cheat.
Do you think so Amy?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom