Why sitaki .xx.tz domains na badala yake nataka .com au .in

Inshort hizo domain ni gharama sana kulinganisha na nyingine, wakati .com inauzwa 22,500 basi .co.tz inauzwa 30,000. Ni dhahiri mtu atanunua .com tu

hapana mkuu, .tz domain ni 25,000/- tu hao wanauza zaidi ya hapo wanakosea na wanapaswa kuripotiwa.
 
Nadhani faida ya kuwa na domain ya .COM ni kwamba watumiaji wengi wa internet huwa wana-assume kwanza kuwa web address ni .COM. Hata kama ukiwaambia ni .TZ or .co.tz bado kutakuwa na baadhi ya watu watakaosahau kwa kuzoea .COM.

Wapo wanaosema Google inapenda zaidi sites zenye .COM lakini sidhani kama ni kweli. Zipo faida za kutumia regional and country domains hasa kama site ina-deal na niche market. Lakini kuna mtindo wa baadhi ya site owners ambao wana-backlink non-.COM domains and the buzz is that Google is looking at cracking down on sites that backlink to these domains purely for pagerank purposes.

Google wamejaribu kuelezea faida na hasara za kutumia gTLDs na ccTLDs : Multi-regional and multilingual sites - Webmaster Tools Help
 
Back
Top Bottom