Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 4,912
- 12,988
Mwaka jana show ni kama hazikuwepo ukichanganya na uchaguzi na Corona.
Hata Wasafi festival na Fiesta hazikufanyika. Hata Zuchu show alizofanya ni za kutambulisha Wasafi fm na za uchaguzi.
Ni kama tu huyo Ibraah alivyokuwa akishiriki shows za Sayona na uchaguzi.
Nambie ni show gani watu walilipa kwenda kumwona Zuchu ?
Yote hayo yalikuwa matamasha ya BURE.
Zuchu alifanya show mlimani city
Alifanya show tanga nakumbuka alikua na mwana FA
Alifanya show mwanza
Alifanya show za harusi hizi private Kama 2 hivi