Why people who do well academically in schools do not always do well financially in the real world?

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,197
2,024
Why people do well academically in schools do not always do well financially in the real world?Funguka
 
Kwa sababu hujidai ni wajuaji wa kila kitu na hawataki kushauriwa mfano Yohana wetu
 
Kila mtu na karama yake,akina Sir Issac Newton,Faraday,Galileo Galilei wangeng'ang'ania kuwa vizuri financially leo hii Dunia ingekuwa wapi???......Kitu kingine ambacho unapaswa kujua kuanzia leo ni kwamba lengo la watu kusoma halipaswi kuwa ni kupata hela!!......unatakiwa usome so as to make the earth a better place to live for the future generations kama walivyofanya akina Sir Issac Newton!!
 
Magenius wengi hawapimi mafanikio kwa financial indicators Bali wao kufanikisha ni kuandika papers nyingi na kufikia highest level of academic achievement eg. Akiwa Professor hata Kama Hana hela kwake hiyo inampa satisfaction na kuburi na kuona kutafuta hela ni kazi ya watu ambao hawajaenda shule. Mf. Tafuta maprofessor au ma Dokta(PhD) wenye biashara kubwa unipe idadi yao
 
Kuna watu hawajali kabisa pesa, wanatumia taaluma zao kutengeneza vitu vinavyokuwa msaada mkubwa kwa jamii.
 
Magenius wengi hawapimi mafanikio kwa financial indicators Bali wao kufanikisha ni kuandika papers nyingi na kufikia highest level of academic achievement eg. Akiwa Professor hata Kama Hana hela kwake hiyo inampa satisfaction na kuburi na kuona kutafuta hela ni kazi ya watu ambao hawajaenda shule. Mf. Tafuta maprofessor au ma Dokta(PhD) wenye biashara kubwa unipe idadi yao
Hii ni kweli kabisa....namjua mzee mmoja Arusha ni Auditor, huyu mzee ana degree zaidi ya 7, kila mwaka anasomaga tu....alivyofanikiwa kupata CPA tu...akaanza na kusoma mengine mengine mpaka namshangaa....niliwahi kuwa mfanyakazi wake...he only cares about service not money....ana maisha ya kawaida mno....ana degree ya Accountancy, Law, Risk analysis, marketing, na akafika mpaka PHD ila haachi kusoma soma.....na kutoa huduma za bure bure
 
Nadha mungu hakupi vyote, kuna wale ambao shule walikuwa wanakimbiza kinoma noma, mpaka kuwatabiria utajiri ila sasa hivi in real life unawatupa mbaaaliii najiulizaga
 
Kila mtu na karama yake,akina Sir Issac Newton,Faraday,Galileo Galilei wangeng'ang'ania kuwa vizuri financially leo hii Dunia ingekuwa wapi???......Kitu kingine ambacho unapaswa kujua kuanzia leo ni kwamba lengo la watu kusoma halipaswi kuwa ni kupata hela!!......unatakiwa usome so as to make the earth a better place to live for the future generations kama walivyofanya akina Sir Issac Newton!!
Mkuu labda huko ulaya sio Tanzania hii ya bodi ya mikopo
 
fikra zime tofautiana mkuu ,,,mfana wengine wanasoma ili wa ajiriwe kwenye big company lakin wengine wanasoma ili wa inunuwe hizo big company,,,na wengine wanapenda tuu kusoma
 
huku kwetu kinacholipa ni siasa tu..we komaa na pcb yako then kakomae na MD miaka mitano MUHAS ukimaliza wanasiasa wanakuona huna maana yyte
 
Only because of superiority complexity which was built by getting good grades and despising others thinking they are failures.

Hence, when it comes to real life if this niqqa gets employed they think the pay is very low for em, if they are adviced to do some bussines them dumbasses tell you "niqqa this is for average and poor people"

One thing they forget is

TIME NEVER WAITS FOR YOU
 
Back
Top Bottom