Why Muslims fear Islamic Sharia and run away from their own countries?

Kwani Maqadiani ni Waislamu kaka ? Mnatuchanganya ujue ?

Ukadiani ni zao la Waingereza fatilia historia ya Mirza Gulam Ahmad na itikadi zake,ni ukafiri mtupu.

Shia na Uislamu wapi na wapi ? Ismailia ni pote katiak mapote ya Mashia. Muwe mnafatilia kikamilifu haya mambo.

Hapo waondoe Mashia,Makadiani wabakize Masuni.

Watakwmabia nini wakati wewe mjinga tena mjuaji ? Wajinga huwa wanapuuzwa.

Unao ushahidi juu ya kauli yako hii ?

Kwani Uislamu unaruhusu watu kujitoa Muhanga au watu kuuwa wenzao kwa dhulma ? Kuna Uislamu na kuna Waislamu,kadhalika Makafiri magaidi wapo.

Huwezi Muislamu bila kushika nguzo za Uislamu.

Mafunzo ya Uislamu juu ya kuishi na wasi kuwa Waislamu yako wazi sana,na tumehimizwa kuwatendea haki na tusiwadhulumu na kama wanaupiga vita Uislamu pia tumeusiwa kuwapiga vile vile. Ila vigezo na masharti lazima vizingatiwe

Shia una ushahidi wanashika nguzo tano za Uislamu ?

Onyesha shida iliyopo katika nguzo tano za Uislamu ?

Ukiweza kunithibitishia ya kuwa Ahmadiya ni Waislamu na mimi nakuwa Ahmadiya.

Kila kitu kipo wazi kwanini hamsomi vijana mkaujua ukweli mnakuja kupayuka payuka tu humu...?
Kwahiyo Shia sio Waislamu.

Ahamadiya (sio quadian, huo ni mji wa india) nao sio waislamu,

Ismailiya sio waislamu pia.

Answalisuna nao sio waislamu,

Wahabi (sarafi) sio waislamu.

Shafi sio waislamu.

Sufi sio waislamu

Hanafi sio waislamua.

Ibadi (washika swala maarufu) sio waislamu.

Al-Qaeda sio waislamu

Nadhani wewe bado maamuma wa Dini Shehe.
Anza moja Madrasa
 
Kwahyo bora gaidi kuliko shoga?
Unamwuliza Gaidi kuhusu lengo lake la uhalifu dhidi ya watu unategemea jibu gani tena ndugu.

Huyo ndio muislamu kamili huwezi kutenganisha na imani yake la kusimika Dola la Kiislamu kwa upanga.

Waislamu wema ni Ahamadiya na wachache sana miongoni mwa madhebu mengine ndio maana wanachiwa sana na Magaidi

Mwulize kama hataki dola la kiislamu yaani ISIS kutawala dunia uone atakavyo kujibu.
 
Alikuambia Roho Mtakatifu wa kanisa lenu ?

Sasa tuambie biblia gani unatumia Na kanisa lipi unalokwenda?
Sio mimi niliye kuambia wewe sio muislamu.
Ni mwislamu safi mulwanaka, ndiye aliyekuambia.
Soma post namba 339 hapo juu.

Kwahiyo huna mamlaka ya kachangia chochote kuhusu dini ya Kiislamu.

Ndio maana nakuwambia kuwa unatupotezea muda bure.
 
Kwani wewe unatumia biblia ipi Na kanisa lako ni lipi?
 
Sasa kwasababu umeshindwa kujibu swali simple kama Hilo kumtetea mtume wako...ngoja nizame kwenye hadith nifuatilie kama alikuwa Na Marinda huyo jamaa
Hivi bado unatafuta mtu akumwagie marinda humu jf?
 
Kwahiyo Shia sio Waislamu.

Ahamadiya (sio quadian, huo ni mji wa india) nao sio waislamu,

Ismailiya sio waislamu pia.

Answalisuna nao sio waislamu,

Wahabi (sarafi) sio waislamu.

Shafi sio waislamu.

Sufi sio waislamu

Hanafi sio waislamua.

Ibadi (washika swala maarufu) sio waislamu.

Al-Qaeda sio waislamu

Nadhani wewe bado maamuma wa Dini Shehe.
Anza moja Madrasa
Hao wote ni waislamu wanaamini na wana Aqeedah ya uislamu, wote ni Ahlus-Sunnah wal jamaal manaake wanafuata sunna za mutume na Quran tu, ila tafaseeri zao ndo sinatafautiana kulingana na ma imamu wai

Ila Qadiani sio waislamu wala sio wa fuasi wa Ahlus-Sunnah, hawana Aqeedah ya Uislamu na Imani yao ni tofauti na waislamu wote, wanafuata Nabbi batili Mirza Ghulam Qadiani, hawamini hawaamini kwamba Muhammad saw ndo mtume wa mwisho na Uislamu umesha kamilika, Maqadiani/Ahmadiyya wanaamini kwamba Essa (as) alikufa nakuzikwa Kashimir India jambo ambalo ni kinyume na Quran, kwa ufupi Qadiani sio waislamu ni makafiir wanao jificha kwenye uislamu kupotosha waislamu wasio kua na elimu.
 
Maswala ya kuwaita watu wengine makafiri ndio yanafanya tuwaone hamfai, mnaleta utengano na makundi ya kigaidi kwenye jamii
 
Maswala ya kuwaita watu wengine makafiri ndio yanafanya tuwaone hamfai, mnaleta utengano na makundi ya kigaidi kwenye jamii
Hao tunawaita makafiiri sio kwasabb hatukubaliane nao isipo kua waposha watu makusudi, viongizi wao wahindi wanajua kwa 99% kwamba Mirza ni muongo Nabbi Batili ila wanatafuta tu pesa na utajili tu kutoka kwa wafuasi .....Qadiani kazi yao ni ku-edit vitabu vya Uisilamu na kuweka majina yao lengo lao ni kupoteza wa Africa, baada ya ku fukunzwa makwao Pakistan na kugunduliwa kwamba wana ajenda za siri za kugawa uislamu na kuleta Nabbi wao vatili, hao watu ni hatari bora wa kuristu kuliko hao madajjal, kwasbb wakuristu Iman yao iko open sana mtu anaiingia kwa hiari, hao wanaficha Imani yao paka uingie ndo ujue kwamba sio waislamu.
 
Jibu swali

Hivi bado unatafuta mtu akumwagie marinda humu jf?
wewe kama unataka kumwaga marinda yako sema...mbona wa kuyatatua wapo wengi.
Achana na story za mimi au wewe hazina faida,,,turudi kwenye mada ya story za mtume wetu mohammad, marinda alikuwa nayo kweli?
 
Kwahiyo Shia sio Waislamu.
Siyo Waislamu.
Ahamadiya (sio quadian, huo ni mji wa india) nao sio waislamu,
Siyo Waislamu,Qadian kuwa mji haimaanishi hakuna Udakiani.
Ismailiya sio waislamu pia.
Ismailia ni katika kundi la Mashia.
Answalisuna nao sio waislamu,

Wahabi (sarafi) sio waislamu.

Shafi sio waislamu.

Sufi sio waislamu

Hanafi sio waislamua.

Ibadi (washika swala maarufu) sio waislamu.

Al-Qaeda sio waislam
Hawa Waislamu.
Nadhani wewe bado maamuma wa Dini Shehe.
Duuh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom