Why Muslims fear Islamic Sharia and run away from their own countries?

Huyu kiongozi wenu alikibia kesi kule Pakistan ya kumnajisi mtoto, mnamo mwaka 1993, inakua je mtu kama huyu awe kiongozi wa Dini ya kiislamu? au na hiyo chini ni photshop? hapo ndo wakati anatoka gerezeni mwaka 1993 Kabla ya kukimbilia Uingereza kwa ma shoga wenzie .....Eti sasa hivi ni khalifa!!!! nyie wapumbavu wa kubwa khalifa gani mwenye historia ya kunajisi watoto wadogo acheni Mzaha na Uislamu, Qadian/Ahmadiyya acha kupotosha Ummah ya Uislamu tangazeni Dini yenu bila kujihusisha na Uislamu kama wenzenu Bahai wanavo fanya.View attachment 1981137
Kwani Muhamad hakumnajisi aisha?
 
Just for laughs

images (3).jpeg

images (6).jpeg

images (4).jpeg

images (1).jpeg

images (2).jpeg

images (5).jpeg

images (7).jpeg
 
To begin, Just go through the website and enter in the search engine this Question; "What is Ahmadiyya??"
Chagamoto kubwa kwenye website ya ma Qadiani/Ahmadiyya wanafanya editing ya baadhi ya vitabu kwa lugha ya kiingereza na vile original kwenye lugha ya ki urudu (india) vina ondolewa, hi inatokea kwasbb wanacho ongea sio wanacho tenda na kuamini, wana sura mbili hao Mirza anaseme vingine wenyewe eti wana msafisha kwa ku edit na kuficha vitabu vyake na kuweka vyakoa walivyo badili ntakupa mfano moja tu hapa, kuonyesha uongo wa hao watu.
 
To begin, Just go through the website and enter in the search engine this Question; "What is Ahmadiyya??"
Katika kitabu chake(Mirza Qadian) shahadat Quran p27, 28 Roohani khazain volume 6 page 323, 324, Azala Auhaam p31)

Mirza ghulam Qadiani anaeleza hivi: "Mtume wetu ndo wa mwisho na haiwezekani nabbi mgine kujitokeza baada yake"

Mirza wrote this, I sincerely sought for a serious explanation:
"Our prophet is the seal of the prophets and there cannot come another prophet after him."

Kitabu kama hicho huwezi kukikuta kwenye website yao watakua wamesha ki edit au kukiondowa kwasabb Mirza alikata kwamba yeye sio Nabbi muhammad (saw ) ndo Mtume wa mwisho.....sasa maQadiani wanalazimisha kumita nabbi, ili waendelee kuchanganya uislamu na kumdhoifisha Mtume wetu (saw)
 
1---Wewe elimu yako ni ndogo sana katika dini ya Uisilamu na hiyo ni kasoro uliyonayo , kwanza jifunze dini ndipo uingie kilingeni kuhoji mambo mengine.

2----Roohan khazain ni nini??---- Roohan khazain (Hazina za Roho) ni majalada (volumes) yaliyokusanya vitabu 82 alivyotunga Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as). Vitabu vyake vingi vimeandikwa kwa lugha ya kiurdu, Kiajemi na baadhi katika kiarabu.

3-----umenukuu unayoiita tafsiri ya maneno ya Hadhrat Ahmad (as) kutoka katika au vitabu ulivyovitaja hapo juu, cha kushangaza hujaleta maneno halisi ya tafsiri hiyo katika lugha yake ya asili ili tuone kama unavyodai yamenyofolewa au laa au ni ujanja wenu wa KIJAHILI wa kuficha haki, kupotosha na kuwapakazia Waahmadiyya, juu ya yote tuchukue hiyo tafsiri yako (for the sake of discussion) ili tuijengee hoja; umeandika (BILA SHAKA KWA KUNUKUU WAPINZANI WA AHMADIYYA) kwamba Hadhrat Ahmad (as) ameandika:--

" I sincerely sought for serious explanation our prophet is the seak of the prophets and there cannot come another prophet"

Swali ni hili; kama Hadhrat Ahmad (as) yupo sahihi anaposema; " ----there cannot come another prophet after him" (yaani hawezi kuja mtume mwingine baada yake mtume Muhammad saw), je huyo nabii Isa (as) kwa imani yenu akishuka duniani kutoka mbinguni atashuka kama nani ??.

4---Ili kuyaelewa Maneno ya wachamungu mtu anahitaji unyenyekevu mbele ya Allah na sio kiburi na majivuno, marakadhaa Hadhrat Ahmad (as) anaposema haji nabii mwingine maana yake ni kwamba haji nabii mwingine mwenye Sheria mpya minghairi ya Qur'an tukufu kwani Allah mwenyewe anasema ndani ya Qur'an tukufu kwamba watakuja MITUME kusoma/kufundisha aya za Qur'an, sasa wewe huoni kwamba tukichukua hiyo maana yako potofu ya "cannot come another prophet after him" Hadhrat Ahmad (as) atakuwa kaikengeuka Qur'an ??--- kitu ambacho hakiwezekani aslan.

Angalia aya hizi mbili japo zipo nyingi zinazoonyesha Utume unaendelea katika umma wa kiisilamu;
يابنى ادم اما ياتينكم رسل منكم يكصون عليكم ايتي فمن ا تقى و اصلح فلا خوف عليهم و لا هم يحزنون

Yaani; Enyi Wanadamu bila shaka watawafikieni mitume kutoka miongoni mwenu watawaelezeni aya zangu. Basi atakayeogopa na kufanya wema haitakuwa hofu juu yao, wala hawatahuzunika. (7:35)

و من يطغ الله و الرسول فاولءك مع الذين انعم الله عليهم من النبين و الصديقين و السهدء و الصلهين و حسن اولءك رفيقا ذلك الفضل من الله و كفى با الله عليما

Yaani; Na mwenye kumtii Allah na MTUME , basi hao ni miongoni mwa wale aliowaneemesha Allah--- Manabii na masadiki na mashahidi na masalihi ba hao ni marafiki wema. Hivyo ni fadhili itokayo kwa Allah na Allah anatosha kuwa mjuzi. (4:69-70).

Hayo ni madaraja ya kiroho ambayo waisilamu wanaweza kuyapata hapa duniani kwa kumtii Allah na Mtume wake (saw) madaraja hayo ni 1--Unabii, 2--- Usidiq, 3--- Ushahid, 4--- Uswalih. Unabii likiwa daraja #1.

Sasa tuangalie katika kitabu cha Hadhrat Ahmad (as) mwenyewe kilichotafsiriwa katika kiswahili anasemaje, yeye ni nabii au si nabii/mtume??--- hicho kitabu alikiandika mwaka 1905 katika lugha ya kiurdu Title page yake transliteration yake ya kiswahili ni hii; Aiik Ghalati ka Izalah yaani kuondoa kosa moja kipo katika Roohan khazain ya volume 18., kosa lenyewe ni jinsi watu walivyokuwa hawauelewi unabii/utume wake, naye anasema;

"----Naapa kwa yule Mungu aliyenituma, ambaye kumtungia uongo ni kazi ya waliolaaniwa, kwamba Yeye amenituma akinifanya niwe masihi aliyeahidiwa; nami kama ninavyoziamini aya za Qur'an tukufu ndivyo hivyo niuaminivyo bila tofauti hata chembe Wahyi waziwazi wa Mungu ulioniteremkia ambao ukweli wake umeshanidhihirikia kwa bishara zake mfululizo . Nami naweza kuapa kwa kusimama katika kaaba ya kuwa Wahyi mtakatifu uniteremkiao ndio maneno ya Huyu Huyu Mungu aliyewashushia maneno yake Hadhrat Musa na Hadhrat Isa na Hadhrat Muhammad Mteule (saw). Ardhi ikashuhudia kwa ajili yangu na mbingu pia ; kwa ajili hii mbingu ikazungumza kwa ajili yangu na pia ardhi ya kwamba.mimi ni khalifa wa Mwenyezi mungu. Lakini ilikuwa imelazimu kuwa ningekataliwa kwa mujibu wa bishara. Hivyo basi wenye pazia juu ya nyoyo zao hawanikubali, Nami najua kuwa Mwenyezi mungu lazima atanisaidia kama vile alivyoendekea kuwanusuru mitume wake siku zote. Wala hakuna yeyote awezaye kunishinda mimi, kwakuwa hao hawana msaada wa mwenyezi mungu pamoja nao.

Nami popote nilipokana unabii wangu au utume wangu, ni katika maana hiyo tu ya kwamba mimi sikuleta sheria yoyote mpya wala mimi siye nabii wa kujitegemea.

Lakini kwa njia hii ya kuwa nimepata habari za ghaibu kutoka kwa Mwenyezi mungu nikijipatia fadhili za kiroho kutoka kwa mtume wangu nimfuataye --- Muhammad (saw) --- na kwa kupata jina lake na kwasababu ya Wasila wake, mimi ni MTUME na NABII, lakini bila sheria yoyote mpya, Nami sitakana kamwe kuitwa Nabii wa namna hii bali katika maana hiyohiyo Mungu ameniita Nabii na Mtume; wala sikatai hata sasa kuwa kwangu Nabii na Mtume katika maana hii. Na usemi wangu huu:

من نيستم رسول و نياورده ام كتاب

Mimi siye mtume wala sikuleta kitabu, una maana hiyo tu kuwa mimi siye mwenye kuleta sheria mpya.------"

( kitabu "Kuondoa kosa moja" uk 14-15).

Hayo ni sehemu ya tafsiri ya maneno ya Hadhrat Ahmad (as) mwenyewe juu ya unabii na utume wake.

Kitabu hicho kimetafsiriwa katika lugha mbalimbali kuu za dunia.
 
Yaani ndg yangu unatoa gazeti kwa kujibu challenge moja, duh!!!. Nakuambia njia ya muongo ni fupi!!, unachanganya Mada kama10 katika swali moja kwangu huponi lbda huwaze matusi au ukimbie tu :

1.umeshindwa kudhibitisha kwamba hayo maandishi sio ya Mirza khazab, leta hiyo page ya kitabu hicho .

2.unaleta aya za Quran tukufu ambazo ziko general hazimtaji Mirza wenu fake kua Nabbi. Na ku-challenge tena leta aya yoyote kutoka Quran ambao Mirza kutajwa kua Nabbi wa Allah.

3.Unaleta vitabu vya kiswahili mlivo edit tayari mahususi kurubuuni/kutapeli/ kulagai Watznia kwasabb hawajui lugha ya ki-urdu, nyie ni matapeli wakubwa wa Dini kwa sabb ya maslahi yenu binafsi

4. Umeanza mambo ya kijinga eti unahitaji mwoyo mtukufu kuelewa maandishi ya unabbi, wewe boya kweli Nabbi atumwe kwa watu alafu hasieleweke paka umwamini ndo umuelewa wakati Allah kasema: "we have simplified Qur'an easy to understand it" acha kupotosha.

"We have made the Qur’an easy in your language so that they may take heed it." Quran 44:58. Inakua je maandishi ya Mirza ya sieleweke kama Quran anaeleweka?????

5. Qadiani/Ahmadiyya nyie wa uongo mna lenga kupotosha wa Islamu wenye elimu duni, na mtashindwa na wahindi wenu kazi yenu ni ku-edit vitabu vya waislamu na kuweka jina lenu tuseme ni vya kwenu nyie wezi kubwa mna edit ata Quran kuweka aya zenu.
 
Mtume Muhammad (saw) na ma Nabbi wengine yeye nikama tofali la mwisho katika jengo zuri na kubwa(Ummah ya Uislam) .
ili lina dhibitushwa kutoka kwenye Hadeeth sahihi ya bukhali.

Hazrat Abu Hurerah (Razi-Allah-ho-Anhu) narrates, the holly prophet (P.B.U.H) said

“My example and example of other prophets is like the one who constructed the great, grant and beautiful place but left place of a brick in one of the corners. People came to see and went around it. They praised its beauty and grand ness very much. Besides they said this is one brick has not been fixed.”
The holly prophet P.B.U.H said, “I am that brick and I am the last.

Sasa hapo Mirza Ghulam Qadiani anakuja kufanya nini kwenye jengo lilio kamilika?? Uislamu ulisha kamilika hauitaji Nabbi yoyote tena, 5:3, Quran, Mirza Ghulam wa India ni muongo sio Nabbi, labda awe Nabbi kwa wa Hindi wenzie kwenye dini zao.
 
Yaani ndg yangu unatoa gazeti kwa kujibu challenge moja, duh!!!. Nakuambia njia ya muongo ni fupi!!, unachanganya Mada kama10 katika swali moja kwangu huponi lbda huwaze matusi au ukimbie tu :

1.umeshindwa kudhibitisha kwamba hayo maandishi sio ya Mirza khazab, leta hiyo page ya kitabu hicho .

2.unaleta aya za Quran tukufu ambazo ziko general hazimtaji Mirza wenu fake kua Nabbi. Na ku-challenge tena leta aya yoyote kutoka Quran ambao Mirza kutajwa kua Nabbi wa Allah.

3.Unaleta vitabu vya kiswahili mlivo edit tayari mahususi kurubuuni/kutapeli/ kulagai Watznia kwasabb hawajui lugha ya ki-urdu, nyie ni matapeli wakubwa wa Dini kwa sabb ya maslahi yenu binafsi

4. Umeanza mambo ya kijinga eti unahitaji mwoyo mtukufu kuelewa maandishi ya unabbi, wewe boya kweli Nabbi atumwe kwa watu alafu hasieleweke paka umwamini ndo umuelewa wakati Allah kasema: "we have simplified Qur'an easy to understand it" acha kupotosha

5. Qadiani/Ahmadiyya nyie wa uongo mna lenga kupotosha wa Islamu wenye elimu duni, na mtashindwa na wahindi wenu kazi yenu ni ku-edit vitabu vya waislamu na kuweka jina lenu tuseme ni vya kwenu nyie wezi kubwa mna edit ata Quran kuweka aya zenu.

Wewe umesema vitabu vimekuwa edited sasa ni juu yako kuthibitisha kwa kuonyesha ORIGINAL SCRIPTS ya mahali ambapo ni edited, original scripts bila shaka itakuwa katika lugha ya URDU sasa lete hapa hizi scripts na uonyeshe hizo edition unazodai tumezifanya na sio kuleta tafsiri uliziokota huko kwa wapinzani waliokutuma, kwani Hadhrat Ahmad (as) alitunga kitabu kwa kiingereza???

Hiyo ndiyo shida ya Copy pasting hovyo bila kutumia akili yako, mimi ninakushika wewe tu, lete Kwanza original scripts unazosema tumezi edit na tuone ili tujue kama kweli Waahmadiyya huwa tunafanya Edit ya vitabu vya Hadhrat Ahmad (as)

Halafu wewe ni mtu wa ajabu sana, unasema Hadhrat Ahmad ni "kazaab" (Muongo) wakati huo huo unasema sisi ndio tume edit vitabu vyake ili aonekane ni nabii ila yeye kadai hatakuja mtume mwingine baada ya mtukufu ntume (saw)!!, wewe huoni kwamba unajikanganya???

Nimeleta nukuu ya tafsiri ya maneno kutoka katika kitabu chake Mwenyewe (Aiik Ghakati ka Izala) "kuondoa kosa moja" ili umsikie yeye mwenyewe Hadhrat Ahmad (as) anasemaje juu ya.utume wake, na wasiwasi kwamba hutoweza kusoma kwasababu Chuki na HUSUDA imekujaa moyoni mwako dhidi ya hii jumuiya, ni wewe utafutika na kuangamia wakati jumuiya hii ikikua kama "Bush fire"--waila wewe utakuwa mtu wa kwanza duniani kupambana.na hii jamati ahmadiyya na ukafaulu kitu ambacho mababu zako walishindwa.

Wewe Qur'an huijui au unaisoma kama Kasuku, nenda kwanza kajifunze Qur'an ndipo uje kwenye mjadala pia acha HASADA kwani mtume mtukufu (Saw) alisema:-

اياكم و الحسد فان الحسد ياكل الحسنت كما تاكل النار الحطب

Yaani , Jiepusheni na husuda kwani husuda inakula WEMA kama jinsi moto unavyokula kuni.

Moto wa husuda unatafuna Wema wako,

Neno langu la mwisho, JAZA KICHWA CHAKO NA ELIMU YA DINI USIJAZE KICHWA CHAKO NA UPUUZI WA COPY PASTING za hovyo.
 
Mmh!!! Naomba utuonyeshe wapi huyu Mirza (khazab) wene katajwa kwenye Quran au hadeeth go to the point avoid Qadian rhtorics......tumesha yazoea kuongea mengi point hamna lete verse
 
Wewe huna nia ya kujua jambo kwani anayetaka kujua huwa anauliza kistaarabu bila KEJELI na MATUSI jinsi unavyouliza wewe, Sasa nakufundisha ustaarabu na Uisilamu na ungeuliza hivi; Je huyo Hadhrat Ahmad anayedai utume ametajwa ndani ya Qur'an ??--- swali la aina hiyo likiulizwa na mtu utajua mtu huyo anataka kujua na siye anayetafunwa na HASAD ya ushindani usiokuwa na mwisho moyoni, Ushindani uliojaa fanaticism za kijahili.
 
Mimi citaka kujua nalenga kusaidia wengine mnao potosha, mimi najua nyie ni waongo hamna ushahidi wowote kudhibitisha huyu Nabbi wenu Mirza khazab ndo maana umeanza kua mkali........ mbona aya za Qur'an ambazo hazina uhusiano na Mirza ulikua unazitoa haraka, zinazo muhusu huna, umekalia maneno mengi tu toa ushahidi tu hapo watu wasome.
 
Unawasaidia watu gani wakati wewe bado ni kaput Katika dini, jisaidie kwanza wewe mwenyewe ndipo uwasaidie wengine.

Unadai kuwa Hadhrat Ahmad( as) ni Muongo lakini wewe bado hujakanusha UONGO wako kwamba huwa tuna EDIT maandiko yake ili tumpe utume, nimekuambia lete maandishi asilia ya Hadhrat Ahmad (as) tuone hicho unachosema umeshindwa bali unaruka huko na huko kama kuku anayetafuta sehemu ya kutaga, unaruka mara katajwa wapi ndani ya Qur'an wakati Qur'an yenyewe huijui bali kazi yako KUKOPI na KUPEST huko na huko bila kutumia akili zako mwenyewe, inaonekana akili zako ni za kuvukia barabara na kula tu.
 
JUA NGUVU ZA ALLAH KUONYESHA NABBI WA UONGO.

Mirza Ghulam aliseme kwenye kitabu chake kwamba kifo cha kutokana na ugojwa wa mlipuko au kipindu pindu(cholera) ni kifo cha aibu na adhabu/laana ya Allah kwa mtu/Nabbi Muongo.

Mnamo tarehe April 1907, Mirza Ghulam Qadiani ali chapisha tangazo kwa ummah kuomba Allah dhidi ya Molana Sanaullah Amritsari, Allah amuue kwa ugonjwa wa kipindu pindu au mlipuko wa ungojwa wa aina yoyote kwasabb anapinga unabbi wa Mirza.

Allah katowa majawabu yake mnamo tarehe 26/Mayi_1908 Allah kashusha almauti ya Mirza Ghulam wakati Molana Sanaullah Amritasari bado iko hai iliendelea kuishi miaka 40 baada ya kifo cha Mirza.

Mtoto wa Mirza ghulam aitwae Mirza Bashir Ahmad, katoa taarifa za kifo cha Baba yake katika kitabu chake Seearatul Mahdi. anasema jioni Baba angu (Mirza) alitoka kwenye matembezi na mkewe, katika mji wa Lahouri India waliko kua wameenda kwa mapumziko (holiday) ila ucku walivo rudi Baba alianza kutapika na kuharisha kila baada ya dakika kadha alikua anakibilia chooni kujisaidia, mama aliamua kutegeneza choo cha mda ndani ya chumba, ili asiwe anatoka nje kwasabb alikua amaishiwa nguvu za kutembea, baada ya masaa kama nawili baba alianguka hapo hapo alipo kua anajisaidia na kufa.....inasadikika kwamba Mirza alikufa kwa kipindu pindu (cholera) na maiti yake ili safirishwa makwao Qadian kwa train ya mizigo ili hasiambukize ugonjwa kwa watu na elikua inanuka kutoka, Lahouri India aliko fia hadi Qadiani India aliko zikwa

Hi ndo ishara moja kwanini Wa islamu wanatambua Mirza kwamba alikua Nabbi wa uongo kapata kifo cha laana kubwa.

Kama kuna Qadiani yoyote hapa anapinga hi ajitokeze nitoe kitabu chao wenyewe Engilish version pdf 'seeratul mahdi' kiliandikwa na mtoto wake Mirza alie shuhudia kifo cha baba ake.......

Naomba tujikite kwenye hu mjadala ya ukweli wa Mirza khazab tusiamshwe.
 
Nakutahadharisha hutofika mbali kama utafika mbali na hizo copy paste zako za uongo,kejeli na kashfa kwa nabii wa Mungu nakuapia wewe ndiye utakuwa wa kwanza Duniani kufika mbali na kunusurika.
Tubia mapema na omba Maghfira kwa Allah kabla haijawa too late, huyo unayemtusi na kumkashifu ni mtume wake.
 
Acha jaziba na gadhabu jibu hoja vitisho vyako havina nafasi hapa, Mirza mwenyewe aliaibika na vitisho kama hivyo Mirza Tahir alikufa kwaajiri ya kutoa Mubahala za kimpimbavu watu alio tabilia kufa bado wapo yeye kasha kufa kitambo......mbinu za kutisha azitawasaidie nyie Maqadiani/Ahmadiyya, dhibitisha ukweli wa Mirza katika Dini ya Uislamu.
 
Mimi sina Jazba, ila nashikwa na huzuni ninapoona hatari inayokuja juu yako unapozidi kumkashifu na kumtusi nabii wa Mungu,

Mimi ninakutahadharisha tu kwani watu wengi wamefedheheka na kudhalilika walipojitia katika mapambano na matusi dhidi ya Hadhrat Ahmad (as), Mungu ndiye aliyemfunulia Wahyi huu kwa lugha ya kiarabu tafsiri yake kwa kiswahili ni hii: "Mimi nitamfedhehesha yule anayekufedhehesha na nitamsaidia yule anayekusaidia".

Wewe umeingia katika kundi la kumfedhehesha, ninaiona hatari ya wewe kufedheheka, tubu mapema na uache kukopi kashfa na matusi dhidi yake kutoka kwa wapinzani wake bali tumia akili zako mwenyewe kumuomba Allah kwa unyenyekevu katika Swala zako (kama huwa unaswali) akujulishe ukwel wa Hadhrat Ahmad (as), acha kibri na majivuno na mdomo mchafu unaokopi kutoka kwa mahasimu wa Ahmadiyya----- "Ahmadiyya forward ever never backward".
 
Hahahaha ........acha kukalilishwa mambo we kijana, Mirza khazab alikua Nabbi batili, Mungu kasha muaibisha na kumdhoifisha kila alicho bashiri ni aibu tupu, paka kifo chake aibu, nabbi uta fiaje chooni!!!! Acha masihara na Allah, pale aliko zaliwa (Qadiani India) paka leo wa Hindu ni wengi kuliko maQadiani, ma Qadiani/Ahmadiyya wako 7% na wa kristu wako 30% Waislamu ni 13% walio baki ni wa hindi na wa Budha, ushindi wenu uko wapi?

Mirza amefikisha miaka 130 tangu atangaze UNabbi wake na kikundi chake cha Ahmadiyya/Qadiani, hawana sehemu yote wametawala hata kijijini kwao viongozi wa Qadiani wote wako uahamishoni Uingereza (UK) wanatawaliwa na sheria za nchi ya kikuristu,

licha ya kujitangaza kwamba yeye pia ni Jesus son of Mary, ila wazungu wazaliwa wa uingereza hawajamkubali hajapata hata wazungu 10 kuingia kwenye Dini yake, huyu Mirza wenu kakataliwa kwao na kwa majilani wake ndo maana wana kimbilia Africa na Tz mahususi kwenye watu mbumbumbu kama nyie, mnaofuata Dini za watu msio zijiua, eti mnatafuta fursa kwenye Dini ya Uongo!!!!!
 
Similar Discussions

45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom