Why Muslims fear Islamic Sharia and run away from their own countries?

Dispersion of people in West Africa is due to political instability.
It has nothing to do with religious matters especially Islamic religion.
Tunisia is not ruled by Islamic Sharia but people daily flee to western nations due to mass unemployment and poor social services due to poor governance.
You need to put things in their right perspective, having mentioned political instability in West Africa, you ought to have gone ahead stating that such instabilities are caused by militia Islamic groups fighting in the name of a desert god.
 
Mokaze usitupotezee naomba dalili kutoka Quran zinazo sema eti Muhammad (saw) kwamba ni mtume wa mwisho kwa kuleta sheria tu sio viginevyo...........sijui nyie ma Qadian nani anawalipa kupotoshwa waislamu na Imani yao na kuidhalilisha.

Kama hutaki kuelewa mimi sitakulazimisha uelewe, nasema hivi; kuna aina mbiki za manabii, nabii Mwenye kuleta sheria na nabii asiyeleta sheria, mfano Nabii Musa (as) alileta sheria inayoitwa Taurati au Taurati ni kitabu kikichokusanya sheria za nabii Musa (as), Mtukufu mtume Muhammad (saw) kaja na Qur'an kitabu chenye sheria , manabii wote wa bani Israel waliokuja baada ya Nabii Musa walikuja kufundisha Taurati (ya Musa)---- "wa atainaa Musa alkitabu wa kafainaa min baadihi bilrusul", yaani Tulimpa Musa kitabu na baadaye tukamfuatishia mitume"---- hao mitume waliomfuata nabii Musa hawakuwa na sheria walizofunuliwa minghairi ya Taurati japo walifunuliwa maelezo na ufafanuzi wa sheria za Taurati, mfano Zaburi ya nabii Daudi na Injili ya Nabii Isa (as).

Wakati ninyi mnasema Mtukufu mtume Muhammad (saw) ni mtume wa Mwisho sisi Waahmadiyya tunasema yeye ni mtume wa Mwisho kuleta sheria ya Qur'an na sio mtume wa Mwisho kwa WAKATI Kwani ukisema yeye ni mtume wa Mwisho kwa Wakati basi utakaribisha ikhitilafu katika aya za Qur'an zinazosema utume wa kusoma/kufundisha Qur'an utafika.
 
Tatizo lako umeenda kunukuu wapinzani wa Jumuiya ya Ahmadiyya, itakuwa ni jambo la kijinga mtu asiyekuwa Muisilamu kunukuu Wapinzani wa Mtume mtukufu (saw) ili kutafuta ukweli wa Mtume (saw)---- wewe sasa ndiye mbumbumbu kwani nimekuambia mimi ni Muisilamu wa Ahmadiyya sasa kama unajua vyema Ahmadiyya na umesoma vitabu vilivyoandikwa na Waahmadiyya wenyewe njoo tujadiliane na sio kunukuu maandiko ya upotoshaji yanayotawanya kila uchao kudhoofisha Kazi kubwa inayofanywa na waisilamu Ahmadiyya kujenga taswira ya asili ya Uisilamu iliyoharibiwa na wapinzani wa Uisilamu na Waisilamu majahili wenye siasa kali.

Niambie.ni kitabu gani cha Ahmadiyya (Ahmadiyya publication ) ulichowahi kusoma wewe mwenyewe sio hivyo ulivyonukuu kutoka kwa wapinzani wetu.

Mpinzani ataandika jema lolote la hasimu wake??!
Sasa unaona jinsi mnavo potosha waislamu nimekuomba utowe dalili yoyote katika Quran isemavyo kwa mtume ni wamwisho tu kwa ma nabii wa kuleta sharia kama nyie MaQadian/Ahmadiyya mnavo amini, unahamisha mada tena unasema wapizani wa Qadiani nyie ndo wapizani wa Uislamu, mmeva ngozi ya kundo kumbe nyie ni chui, mnaongopea watu kujifanya nyie miongoni mwetu kumbe sio.........Waislamu wengi tumesha jitambua tunawajua nyie Ahmadiyya/Qadiani ni Iblis na Dajjal, na ni fitina kumbwa katika Umma Muhammad (saw)
 
Au wewe leo unakana imani yako potofu kutoka katika (33:40 Qur'an) kwamba maneno جاتم النبيين sio mwisho wa manabii??!!, kwasababu kutokana na maneno hayo kueleweka vibaya kwamba ni mwisho wa manabii ndio maana Waisilamu wengi kimsingi kwakutojua maana ya neno "khatam" wanadai/mnadai kwamba utume umekoma katika dini ya uisilamu.
Mbona hiyo ch 33:40 sioni inapo sema kwamba mtume ni wa mwisho tu kwa kulete sheria.....mimi cijakuuliza maana ya neno khatama........tafuta unipe wapi Allah anamwambia mtume kwamba wewe ni wa mwisho kwa kuleta sheria ila ma nabbi wengine watakuja.......
 
@makozi inaonekana wewe hujasoma hata hivyo vitabu vya Mirza mwenyewe ndo maana nilikuuliza wewe gurupu lako la Ahmadiyya nilipi?

Mirza wrote this, I sincerely sought for a serious explanation:

"Our prophet is the seal of the prophets and there cannot come another prophet after him."(Shahadatal Quran p. 27,28, Roohani Khazain volume 6 page 323, 324, Azala Auhaam p31).

Kama wewe sio mptoshaji tu prove me wrong hapo.
 
Nikuulize, Kwa kauli hiyo ya Hadharat Ahmad (as) unakubali kwamba kasema kweli hivyo yeye ni mtu mkweli???
 
You need to put things in their right perspective, having mentioned political instability in West Africa, you ought to have gone ahead stating that such instabilities are caused by militia Islamic groups fighting in the name of a desert god.
That's not really.
There is which kind of islamic militia group in Tunisia,Algeria and Morocco?
Nigeria there is insecurity alot of armed men perform robbery and assaults ahead of Bokoharam.
On west Africa there are alot of Coup detats.
 
Nikuulize, Kwa kauli hiyo ya Hadharat Ahmad (as) unakubali kwamba kasema kweli hivyo yeye ni mtu mkweli???
Siwezi kumkubari huyu Mirza wenu khazab, kaandika mambo mengi inao gongana aeleweki, katukana Nabi wa Allah Essa (as) kamdhalirisha mtume (saw) kwambe yeye (Ghulam) iko juu yake, mtu kame huyu sie Waislamu tuna mpinga na kumchukulia kua adui wa Ummah ya uislamu.
 
Ahmadiyya/Qadiani ni Iblis na Dajjal, na ni fitina kumbwa katika Umm

Ndiyo maana Nimesema hutakiwi uwe na jazba, hasira kwani mtume mtukufu alituasa; "Jiepusheni na ghadhabu" kwani ukiwa na ghadhabu basi hekima na busara huondoka kichwani na kubakia maneno machafu tu.

Kwa wewe kujiita Muisilamu ukiwa na kinywa kichafu hivyo inabidi aje nabii kusafisha vinywa veynu ili uisilamu uwe safi kutokana na takataka za vinywa vyenu.

"Ita katika njia ya mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri"--- hiyo ni Qur'an tukufu.
tafuta unipe wapi Allah anamwambia mtume kwamba wewe ni wa mwisho kwa kuleta sheria ila ma nabbi wengine watakuja.......

Wewe hivi unayo matatizo gani???

Unataka kumpangia Allah aseme hivyo unavyotaka wewe eti aseme:-- "wewe ni wa mwisho kuleta sheria ila manabii wengine watakuja---"

Hivi Allah huwa anapangiwa na mtu kitu cha kusema???🤣🤣

Fungua akili yako, nasema hivi manabii wako wa aina mbili, wako wale waliokuja na sheria na wako wale wasiokuja na sheria, Mtume mtukufu Muhammad (saw) ni mtume aliyekuja na sheria ya MWISHO, Qur'an ni kitabu cha mwisho cha sheria kilichotoka kwa Allah kupitia kwa.mtume Muhammad (saw)----sasa mtu gani mwenye akili atapinga kuwa Nabii Muhammad (saw) ni nabii wa Mwisho wa sheria, sheria yake ya Qur'an itakwenda hadi siku ya Qiyama, hiyo ndio maana ya nabii wa mwisho wa sheria, ukipinga sio nabii wa Mwisho wa sheria maana yake anaweza kutokea nabii mwingine alete sheria mpya na dini mpya jambo ambalo litakwenda kinyume na Qur'an (7:35) ----- sasa hadi hapo utahitaji aya???🤣

Hadhrat Ahmad (as) Mwanzilishi wa jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya ni nabii wa kusoma/kufundisha Qur'an hivyo yeye anafuata sheria ya Qur'an yeye hana sheria mpya, yeye ni mtumishi wa Mtume Muhammad (saw), Muhammad (saw) is a master and Ahmad (as) is a slave in that regard.
 
Umeenda mbali na hoja. Naona mada hujaelewa rudi kwenye hoja.

Nchi ina waislamu wamekuja waislamu wenzao na wametangaza hawana tatizo ila kutawala kwa kufuata kitabu kitukufu cha dini ya kiislam. Watu wanaanza kukimbia mpaka kudandia ndege.
Makafir wameonekana wana msaada sana kwa hao waislam kuliko ma Ayatolah na wengine wanaofuga midevu na kujidai wana dini saaaaana.

Anzia hapo kujadili hoja hayo mengine ni mada nyingine.

Nakuachia home work na log out.

Mwanaume ni ndevu bwana, wewe ka huna huna tuu.
 
Ndiyo maana Nimesema hutakiwi uwe na jazba, hasira kwani mtume mtukufu alituasa; "Jiepusheni na ghadhabu" kwani ukiwa na ghadhabu basi hekima na busara huondoka kichwani na kubakia maneno machafu tu.

Kwa wewe kujiita Muisilamu ukiwa na kinywa kichafu hivyo inabidi aje nabii kusafisha vinywa veynu ili uisilamu uwe safi kutokana na takataka za vinywa vyenu.

"Ita katika njia ya mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri"--- hiyo ni Qur'an tukufu.

Wewe hivi unayo matatizo gani???

Unataka kumpangia Allah aseme hivyo unavyotaka wewe eti aseme:-- "wewe ni wa mwisho kuleta sheria ila manabii wengine watakuja---"

Hivi Allah huwa anapangiwa na mtu kitu cha kusema???

Fungua akili yako, nasema hivi manabii wako wa aina mbili, wako wale waliokuja na sheria na wako wale wasiokuja na sheria, Mtume mtukufu Muhammad (saw) ni mtume aliyekuja na sheria ya MWISHO, Qur'an ni kitabu cha mwisho cha sheria kilichotoka kwa Allah kupitia kwa.mtume Muhammad (saw)----sasa mtu gani mwenye akili atapinga kuwa Nabii Muhammad (saw) ni nabii wa Mwisho wa sheria, sheria yake ya Qur'an itakwenda hadi siku ya Qiyama, hiyo ndio maana ya nabii wa mwisho wa sheria, ukipinga sio nabii wa Mwisho wa sheria maana yake anaweza kutokea nabii mwingine alete sheria mpya na dini mpya jambo ambalo litakwenda kinyume na Qur'an (7:35) ----- sasa hadi hapo utahitaji aya???

Hadhrat Ahmad (as) Mwanzilishi wa jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya ni nabii wa kusoma/kufundisha Qur'an hivyo yeye anafuata sheria ya Qur'an yeye hana sheria mpya, yeye ni mtumishi wa Mtume Muhammad (saw), Muhammad (saw) is a master and Ahmad (as) is a slave in that regard.
Naomba tuelewane usitumie akili zako za kawaida kujibu masuali muhimu katika Uislamu sue waislamu hatuongee chochote bila kua na dalili....kama hilo la nabbi lime shidikana, nionyesha Wapi Mirza ghulam Qadiani a mebashiriwa kwenye hadeeth au Quran tukufu..........tatizo lenu Qadiani/Ahmadiyya hamnaga ushahidi mna potosha waislamu wasio jua dini yao kwasabb mnalipwa kwa hiyo kazi ya kugawanya wa uislamu
 
Mokaze kama wewe ni muislamu kweli kweli lazima ukubaliane na hadeeth za Mtume (saw).

Prophet Muhammad (saw) prophesied:

انه سيكون في أمتي كذابون ثلاثون كلهم يزعم أنه نبي و انا خاتم النبيين لا نبي بعدي.

"There will arise thirty liars in my Ummah. Everyone of them will claim to be a prophet. Though I am the last of the Prophets; there is no prophet to come after me." (Sahih Muslim).

(Further details if you need more hadeeth about finality of prophethood can come).

Kwahiyo Mirza ghulam Qadiani wa Ahmadiyya alie dai kwamba pia ni nabbi baada ya Mtume (saw) ni muongo/batili/mfutinashaji tu, Mtume alisha tabili dini kama hizo za Ahmadiyya kutokea.
 
They’re not happy in Gaza
They're not happy in Egypt
They're not happy in Libya
They're not happy in Morocco
They're not happy in Iran
They're not happy in Iraq
They're not happy in Yemen
They're not happy in Afghanistan
They're not happy in Pakistan
They're not happy in Syria
They're not happy in Lebanon
So, where are they happy?
They're happy in Australia
They're happy in England
They're happy in France
They're happy in Italy
They're happy in Germany
They're happy in Sweden
They're happy in the USA & Canada
They're happy in Norway & India
They're happy in almost every country that is not Islamic!
And who do they blame?
Not Islam...
Not their leadership...
Not themselves...
THEY BLAME THE COUNTRIES THEY ARE HAPPY IN!!
And they want to change the countries they're happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy
Sijawahi kusoma kitu cha namna hi long time, esp hapa JF.
Umeandika kitu cha kutafakarisha sana. Hongera, japo utatukanwa sana
 
Naomba tuelewane usitumie akili zako za kawaida kujibu masuali muhimu katika Uislamu sue waislamu hatuongee chochote bila kua na dalili.

Kama hutaki mimi nitumie akili za kawaida je unataka nitumie akili za kichaa??!!----Allah ndiye aliyetupatia akili za kutafakari mambo yote ikiwa ni pamoja na aya za kitabu chake, hebu msikie Allah anasemaje;

و ما كان لنفس ان يومن إلا بإذن الله ويجعل الرجس على الذين لا يعقلون

Yaani; "Na hawezi mtu kuamini ila kwa idhini ya Allah naye huwapa adhabu wasiotumia AKILI" (10:100) Qur'an .

kama hilo la nabbi lime shidikana, nionyesha Wapi Mirza ghulam Qadiani a mebashiriwa kwenye hadeeth au Quran tukufu........

Unataka kujua ni wapi Hadhrat Ahmad (as) muanzilishi mtukufu wa jumuiya ya Waisilamu Wa Ahmadiyya amebashiriwa kwenye Qur'an na hadithi??--- Hilo ni swali jepesi sana, ila kabla sijajibu napenda kujua imani yako juu ya kuendelea kwa utume katika dini ya Uislamu, je utume inaendelea au laa??--- (napenda kwanza tuondie hicho kizingiti) ndipo tuje kwa Hadhrat Ahmad (as).

tatizo lenu Qadiani/Ahmadiyya hamnaga ushahidi mna potosha waislamu wasio jua dini yao kwasabb mnalipwa kwa hiyo kazi ya kugawanya wa uislamu

Kwanza nilisha kufundisha na inaonekana huelewi au unajifanya kutokuelewa, Sisi ni Waisilamu wa Ahmadiyya na sio Maqadiani, Qadiani ni jina la mji alipozaliwa MTUME Ahmad (as) mwanzilishi mtukufu wa jumuiya ya Waislamu Wa ahmadiyya.

Unasema hatuna ushahidi wa madai yetu na tunalipwa pesa ili kuwagawa Waisilamu, jibu ni kwamba ushahidi upo ndani ya Qur'an na hadithi ila.mnapoletewa ushahidi mnakuwa wagumu kukubali kwasababu ya chuki iliyomo ndani ya nyoyo zenu, chuki iliyopandikizwa na masheikh wenu dhidi yetu, hamtumii akili zenu binafsi kuupeleleza ukweli kutoka kwa sisi wenyewe bali mnahangaika kutafuta "ukweli" kutoka kwa maadui zetu, ni lini adui ya mtu akaeleza wema wa hasimu wake??!!

Kuhusu kulipwa fedha ili kuwagawa Waisilamu ; hayo ni muendelezo wa madai yenu ya Uongo wa kila siku dhidi yetu, kwa taarifa yako kila Ahmadiya orodha ya kipato chake cha kila mwezi kimeorodheshwa na anatakiwa katika kipato chake achangie michango zaidi ya mitano kulingana na kipato chake, ni kutokana na michango yetu ndivyo jumuiya hii inaendeshwa, ni uongo mkubwa kusema kwamba eti huwa tunapewa fedha ili kufanya shughuli zetu, common sense tu haikubali, kama ingalikuwa tunagawiwa fedha mbona jumuiya hii ingalikuwa ni jumuiya kubwa kwa idadi ya watu kuliko jumuiya zote duniani, kwani nani hapendi pesa tena za bure?!!---- tafadhali ndugu mulwanaka nenda katika tawi, mkoa au katika kituo chochote cha waisilamu-Waahmadiyya na uwe huru kuuliza kwa Mwalimu au shk nk, wewe mwenyewe ili upate ukweli, usisikikize habari kutoka kwa maadui ambao chuki na husuda inatafuna nyoyo zao kuona Ahmadiyya ikikua kwa haraka sana (Alhamdulillah).
 
Tell me about Turkey, Somalia, Libya etc don't consider for one country Taliban they invaded and force people to follow their law
 
Ndiyo maana Nimesema hutakiwi uwe na jazba, hasira kwani mtume mtukufu alituasa; "Jiepusheni na ghadhabu" kwani ukiwa na ghadhabu basi hekima na busara huondoka kichwani na kubakia maneno machafu tu.

Kwa wewe kujiita Muisilamu ukiwa na kinywa kichafu hivyo inabidi aje nabii kusafisha vinywa veynu ili uisilamu uwe safi kutokana na takataka za vinywa vyenu.

"Ita katika njia ya mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri"--- hiyo ni Qur'an tukufu.

Wewe hivi unayo matatizo gani???

Unataka kumpangia Allah aseme hivyo unavyotaka wewe eti aseme:-- "wewe ni wa mwisho kuleta sheria ila manabii wengine watakuja---"

Hivi Allah huwa anapangiwa na mtu kitu cha kusema???🤣🤣

Fungua akili yako, nasema hivi manabii wako wa aina mbili, wako wale waliokuja na sheria na wako wale wasiokuja na sheria, Mtume mtukufu Muhammad (saw) ni mtume aliyekuja na sheria ya MWISHO, Qur'an ni kitabu cha mwisho cha sheria kilichotoka kwa Allah kupitia kwa.mtume Muhammad (saw)----sasa mtu gani mwenye akili atapinga kuwa Nabii Muhammad (saw) ni nabii wa Mwisho wa sheria, sheria yake ya Qur'an itakwenda hadi siku ya Qiyama, hiyo ndio maana ya nabii wa mwisho wa sheria, ukipinga sio nabii wa Mwisho wa sheria maana yake anaweza kutokea nabii mwingine alete sheria mpya na dini mpya jambo ambalo litakwenda kinyume na Qur'an (7:35) ----- sasa hadi hapo utahitaji aya???🤣

Hadhrat Ahmad (as) Mwanzilishi wa jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya ni nabii wa kusoma/kufundisha Qur'an hivyo yeye anafuata sheria ya Qur'an yeye hana sheria mpya, yeye ni mtumishi wa Mtume Muhammad (saw), Muhammad (saw) is a master and Ahmad (as) is a slave in that regard.
Maelezo mazuri mkuu naomba kuuliza.

Mitume ambao hawatokuja na sheria watashushiwa wahyi ?
 
@Mokaze kama wewe ni muislamu kweli kweli lazima ukubaliane na hadeeth za Mtume (saw).

Prophet Muhammad (saw) prophesied:

انه سيكون في أمتي كذابون ثلاثون كلهم يزعم أنه نبي و انا خاتم النبيين لا نبي بعدي.

"There will arise thirty liars in my Ummah. Everyone of them will claim to be a prophet. Though I am the last of the Prophets; there is no prophet to come after me." (Sahih Muslim).

Mimi ninakubaliana kabisa na hiyo hadithi na ipo wazi kabisa na haikomeshi utume kabisa bali inaendekeza utume na wala haihitajiki akili kubwa kuielewa hiyo hadithi japo maneno ya mwisho yanayosomeka; لا نبي بعدي (laa nabiya ba'adii) yanahitaji maelezo kidogo, na hapa ndipo kwa matatizo kwa Waislamu wengi, kwani hawasomi hadithi na Qur'an kwa tafakur, Qur'an Unasema Utume inaendelea utawaona baadhi ya Waislamu wakisema Mtume Muhammad (saw) ni wa mwisho kuja--- sasa hawaoni kuwa hapa wametengeneza ikhtilafu ndani ya Qur'an bila kujua.

Neno ba'adi (بعدي) linazo maana 3, 1-- in my absence, 2--after me, 3-- Contrary to me., maana kubwa iliyozoeleka ni #2 , sasa tuone maana nyingine ya neno بعد (ba'ad) ilivyitumika ndani ya Qur'an :-

تلك ايات الله نتلوها عليك فبأي حديث بهد الله و اياته يومنون---- yaani; Hizi ni aya za Allah tunakusomea kwa haki; basi ni hadithi gani watakayo iamini KINYUME na Allah na aya zake? (45:6) Qur'an .

Hapo sasa utaona neno ba'ad likiwa na maana ya "kinyume", hivyo sasa maneno لا نبي بعدي maana yake ni hakuna nabii kinyume nami au hakuna nabii atakaye kwenda kinyume na mimi, ukitafsiri hakuna nabii baada yangu utaleta ikhtilafi ndani ya Qur'an kwani kuna aya nfano (7:35) inasema mitume watakuja kuwasomamea/kuwafundisha watu aya za Qur'an.

Sasa nije kwa hadithi yenyewe, kwenye maneno mengine انا جاتم النبيين yaani; na mimi ni khatam an nabiyyin, neno khatam maana yake ni Muhuri au mbora, hapo sasa tutatafsiri; "na mimi ni mbora wa manabii", hivyo utaona hadithi nzima haijafunga utume/unabii kabisa bali ni tafsiri mbovu ndizo zinataka kutuaminisha kwamba utume umefungwa kitu ambacho ni kinyume na Mafundisho ya Qur'an.

Sasa nije kwenye hadithi yote, Mtukufu mtume (saw) alikuwa anajua fika katika umma wake watatokea Waongo 30 na kila mmoja atadai kwamba yeye ni mtume lakini hakusema kwamba KILA mtu atakaye dai utume ni Muongo!!---- tena kaweka hadi idadi ya Waongo 30 kwa maana kwamba Nabii mkweli anaweza kuwa wa 31, kifupi ni kwamba hadithi inataja waongo 30 na haijasema kwamba Kila atakayedai unabii ni Muongo!!, na hii ni tahadhari ili akitokea nabii mkweli tuweze kumtofautisha na muongo, in that regard The holy prophet was very brilliant messenger of Allah.

Hebu chukua mfano huu; Baba anaondoka nyumbani na anamuaga mwanaye huku akimtahadharisha kwamba; "Mwanangu usiache milango wazi nimesikia watakuja wezi kuiba hapa" ----- je kila mtu atakaye kwenda hapo nyumbani atakuwa ni mwizi???!!---- common sense inasema sio kweli kwamba kwamba kila atajayefika pale nyumbani atakuwa miongoni mwa wale wevi.

Hata hivyo Wataalamu wa hadithi waliifanyia kazi hiyo hadithi na hebu sikia walichosema:-

هذ الحديث ظهر صدقه فانه لوعد من تنباء من زمنه صلى الله عليه و سلم الى الان لبلخ هذ العدر و يعرف ذالك من يطالع التارايخ
(اكمل الاكمل جلد مصرى )

Yaani; Hadithi hii imedhihiri ukweli wake, maana lau wakihesabiwa waliodai utume toka wakati wa Swalallahu aleyhi wa salam (mtume mtukufu saw) mpaka sasa itatimia idadi hii, na jambo hili analijua anayesoma historia. (Ikmal alikmal kutoka Misri).

Aliyeandika hicho kitabu alifariki mwaka 828 Hijriyya.

Kwahiyo Mirza ghulam Qadiani wa Ahmadiyya alie dai kwamba pia ni nabbi baada ya Mtume (saw) ni muongo/batili/mfutinashaji tu, Mtume alisha tabili dini kama hizo za Ahmadiyya kutokea.

Kwa mujibu wa Qur'an hata mtukufu mtume (saw) na mitume wengine walishambuliwa kwa matusi na kejeli kutoka kwa wapinzani, nawe umejipambanua kushika tabia ya wapinzani wa mababii kwa kutoa kejeli dhidi ya Hadhrat Ahmad (as) na hii ni ishara ya ukweli wake watu wema wanaelewa lakini wapinzani Allah huwazidushia kiburi, chuki na hasira nyoyoni mwao.

Omba toba na msaada kwa Allah ili uutambue ukweli kiburi na majivuno na kauli chafu dhidi ya Hadhrat Ahmad (as) itakaribisha hasira ya Allah juu yako, ni Allah pekee anayeweza kumuongoza mtu mimi nafikisha ujumbe tu basi omba msaada kwake kwa unyenyekevu na subira na swala bila shaka Allah atakuongoza.
 
Kama hutaki mimi nitumie akili za kawaida je unataka nitumie akili za kichaa??!!----Allah ndiye aliyetupatia akili za kutafakari mambo yote ikiwa ni pamoja na aya za kitabu chake, hebu msikie Allah anasemaje;

و ما كان لنفس ان يومن إلا بإذن الله ويجعل الرجس على الذين لا يعقلون

Yaani; "Na hawezi mtu kuamini ila kwa idhini ya Allah naye huwapa adhabu wasiotumia AKILI" (10:100) Qur'an .

Unataka kujua ni wapi Hadhrat Ahmad (as) muanzilishi mtukufu wa jumuiya ya Waisilamu Wa Ahmadiyya amebashiriwa kwenye Qur'an na hadithi??--- Hilo ni swali jepesi sana, ila kabla sijajibu napenda kujua imani yako juu ya kuendelea kwa utume katika dini ya Uislamu, je utume inaendelea au laa??--- (napenda kwanza tuondie hicho kizingiti) ndipo tuje kwa Hadhrat Ahmad (as).

Kwanza nilisha kufundisha na inaonekana huelewi au unajifanya kutokuelewa, Sisi ni Waisilamu wa Ahmadiyya na sio Maqadiani, Qadiani ni jina la mji alipozaliwa MTUME Ahmad (as) mwanzilishi mtukufu wa jumuiya ya Waislamu Wa ahmadiyya.

Unasema hatuna ushahidi wa madai yetu na tunalipwa pesa ili kuwagawa Waisilamu, jibu ni kwamba ushahidi upo ndani ya Qur'an na hadithi ila.mnapoletewa ushahidi mnakuwa wagumu kukubali kwasababu ya chuki iliyomo ndani ya nyoyo zenu, chuki iliyopandikizwa na masheikh wenu dhidi yetu, hamtumii akili zenu binafsi kuupeleleza ukweli kutoka kwa sisi wenyewe bali mnahangaika kutafuta "ukweli" kutoka kwa maadui zetu, ni lini adui ya mtu akaeleza wema wa hasimu wake??!!

Kuhusu kulipwa fedha ili kuwagawa Waisilamu ; hayo ni muendelezo wa madai yenu ya Uongo wa kila siku dhidi yetu, kwa taarifa yako kila Ahmadiya orodha ya kipato chake cha kila mwezi kimeorodheshwa na anatakiwa katika kipato chake achangie michango zaidi ya mitano kulingana na kipato chake, ni kutokana na michango yetu ndivyo jumuiya hii inaendeshwa, ni uongo mkubwa kusema kwamba eti huwa tunapewa fedha ili kufanya shughuli zetu, common sense tu haikubali, kama ingalikuwa tunagawiwa fedha mbona jumuiya hii ingalikuwa ni jumuiya kubwa kwa idadi ya watu kuliko jumuiya zote duniani, kwani nani hapendi pesa tena za bure?!!---- tafadhali ndugu mulwanaka nenda katika tawi, mkoa au katika kituo chochote cha waisilamu-Waahmadiyya na uwe huru kuuliza kwa Mwalimu au shk nk, wewe mwenyewe ili upate ukweli, usisikikize habari kutoka kwa maadui ambao chuki na husuda inatafuna nyoyo zao kuona Ahmadiyya ikikua kwa haraka sana (Alhamdulillah).
Huja dhibitisha lolote polojo tupu kama wa Qadiani mlivo, njia ya muongo ni fupi sana.........unaulizwa masuali unayakwepa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom