Why Mkapa alimchukia sana Chachage Chachage (R.I.P)

Sidhani kama una uhakika na kauli zako,,,au naomba utufafanulie nini maana ya "Suluhisho" kwa upeo wako? Maana sielewi mtazamo wako unaelekea wapi kutokana na kutolitumia vyema hilo neno

wewe pamoja na watanzania zaidi ya milion 20 kazi ni kulalamika ,kulia , kutoa machozi na kadhalika hivi vilio vyenu havina suluhisho lake hata mkiwa nalo mnataka liwe lenu mnataka kupewa mshiko kwanza ndio msaidie hao ndio watanzania walio wengi ndio wapinzani hao na ndio kauli mbiu za wapinzani wengi

subirini enzi zetu zifike
 
Acha tulie, tulalamike na tutoe machozi kwa ajili ya kizazi kijacho na kwa maendeleo ya taifa zima....Hizi ndio kauli za kila siku za watu waliozaliwa na kurithishwa ubinafsi...

Tuna haki ya kila kitu acha kulia tu bwana mdogo,,but ipo siku hata mtutu tutashika kwa ajili ya kutetea mali ya watanzania dhidi ya mafisadi wanaotoresha mali zetu huko visiwa vya Jersey...
 
subirini enzi zetu zifike

Kwa mwendo huo zama zenu zitakua zimebaki bila chochote maana kila kitu kina maliziwa kuuzwa na kaka zako..Mbuga za wanyama wanaendelea kuziuza chini kwa chini, migodi yote imeshauzwa imebaki ikulu tu..sasa sijui zama zenu zitakua na nini cha kujivunia,,,itakua ni vita tu
 
Shy
wewe toka umeanza hapa jf mara ngapi umemshauri kikwete? au mara ngapi umemshauri Bennie?kama sio basi uliye kimya ukimya wako ni mbaya kuli hao wanaotoa kauli zao,kwani ukimya wakati mambo yanaenda ovyo ni unafiki.Watu wasio kwenye madaraka na hata walioko madarakani wana haki ya kulalamika juu ya jambo lolote linapoenda kombo kwa yule aliye na mamlaka wakati huo,sasa kama mkapa angekuwa anataka suluhisho basi angewaita kwamba jamani nimewasikia basi njooni tusaidiane mawazo,lakini je,amewahi kufanya hivyo?isitoshe katika jamii mtu tunayempa madaraka kama Rais hatutegemei awe tabula rasa(yaani hana kitu kichwani) hivyo tukimlalamikia ni njia ya kumwambia atumia ule uwezo alionao ambao sisi tulimwamini hadi tukampa madaraka ili atatue tatizo husika.Pia kama umesoma psychology shy,au hata falsafa utagundua kuwa wapo watu katika jamii wa madaraja na vipaji mbalimbali,wengine kazi yao kutenda,wengine kazi yao kuasa,kuonya na kukemea,wengine kulalamika,na wengine kusikia na kutenda ama kutekeleza.
Hivyo msomi kama chachage alikuwa na nafasi yake katika jamii nayo ni kupiga kelele,ili wenye mamlaka wasikie,na katika nafasi yake kama mtendaji yaani mhadhiri mwandamizi wa chuo kikuu cha dar alifanikiwa sana katika ufundishaji wasomo lake,ingekuwa aliboronga huko basi una haki ya kusema chachage hakufanya kitu.
 
NDIO MAANA NASEMA ULIKUWA UNAWEKA PROPAGANDA HAPA KWA MASILAHI YAKO ,MOD NAOMBA UFUNGE AU UFUTE HII MADA , AMELIA AMEONA HASIKILIZWI SASA HIVI ANAANZA KUTOA VITISHO NA HUYU ANAONEKANA NI MPINZANI JEURI

WENZAKO AKINA ZITTO WAMEWEKWA CHINI WAKAPEWA ONYO KALI SASA WAMESHAPATA SOMO SASA SIJUI WEWE UNATAKA NINI NA HIZO IMANI ZAKO TATA NA CHUKI DHIDI YA WATU WALIOVUJA JASHO KWA AJILI YA TAIFA HILI

YAANI NAFIKIRI KAMA NDIO TUNGEKUWA KATIKA KAMPENI HALAFU NDIO UKAFIKIA KUTOA KAULI KAMA HIYO

KWELI GUSA UONE NINI KINAENDELEA
 
Kwa mwendo huo zama zenu zitakua zimebaki bila chochote maana kila kitu kina maliziwa kuuzwa na kaka zako..Mbuga za wanyama wanaendelea kuziuza chini kwa chini, migodi yote imeshauzwa imebaki ikulu tu..sasa sijui zama zenu zitakua na nini cha kujivunia,,,itakua ni vita tu

VITA YA MANENO UMESHINDWA SASA UNATAKA VITA GANI TENA KAMA HII INAKUSHINDA ?
 
Shy
wewe toka umeanza hapa jf mara ngapi umemshauri kikwete? au mara ngapi umemshauri Bennie?kama sio basi uliye kimya ukimya wako ni mbaya kuli hao wanaotoa kauli zao,kwani ukimya wakati mambo yanaenda ovyo ni unafiki.Watu wasio kwenye madaraka na hata walioko madarakani wana haki ya kulalamika juu ya jambo lolote linapoenda kombo kwa yule aliye na mamlaka wakati huo,sasa kama mkapa angekuwa anataka suluhisho basi angewaita kwamba jamani nimewasikia basi njooni tusaidiane mawazo,lakini je,amewahi kufanya hivyo?isitoshe katika jamii mtu tunayempa madaraka kama Rais hatutegemei awe tabula rasa(yaani hana kitu kichwani) hivyo tukimlalamikia ni njia ya kumwambia atumia ule uwezo alionao ambao sisi tulimwamini hadi tukampa madaraka ili atatue tatizo husika.Pia kama umesoma psychology shy,au hata falsafa utagundua kuwa wapo watu katika jamii wa madaraja na vipaji mbalimbali,wengine kazi yao kutenda,wengine kazi yao kuasa,kuonya na kukemea,wengine kulalamika,na wengine kusikia na kutenda ama kutekeleza.
Hivyo msomi kama chachage alikuwa na nafasi yake katika jamii nayo ni kupiga kelele,ili wenye mamlaka wasikie,na katika nafasi yake kama mtendaji yaani mhadhiri mwandamizi wa chuo kikuu cha dar alifanikiwa sana katika ufundishaji wasomo lake,ingekuwa aliboronga huko basi una haki ya kusema chachage hakufanya kitu.

ALIKUWA NA HAKI NDIO LAKINI HUKO UBAONI NA WANAFUNZI WAKE SIO KATIKA MAJUKWAA YA KISIASA , ALITAKIWA AFUNDISHE WANAFUNZI WAKE NA WATOTO WAKE VYUMBANI NA MADARASANI SIO KUINGILIA KAZI AMBAZO HAZIMHUSU
 
Augustino you are too senior bwana na mwenye kukata issue kuanza kubishana na haka ka .............................................
Umesha sema imesha eleweka hakuna zaidi acha tu mkuu
 
MOD NAOMBA UFUNGE AU UFUTE HII MADA , AMELIA AMEONA HASIKILIZWI SASA HIVI ANAANZA KUTOA VITISHO NA HUYU ANAONEKANA NI MPINZANI JEURI

Naomba nirudie, sio lazima ushiriki kila mjadala unaoanzishwa eti kwa sababu unajua lugha za kukatisha watu tamaa,,ila kwangu umefeli bro... Hapa ni uhuru wa kuongea na kutoa maoni..

Na usijisikie your some one special than anyone hapa JF wpte tuko sawa,,topic zako hua naziona but sijawahi kuchangia hata moja coz hua sioni point..so can you do same kama unaona hii topic haiendani naupeo wako na utuache sie tuchambue mambo yenye ukweli.

Propaganda za kumwamrisha MOD afunge thread naomba uache sio vizuri hapa tunachanganua mawazo na ni muhimu ukaheshimu mtazamo wa wenzako usijione we ndio wewe sio vizuri bwana mkubwa
 
We shy unazungumza mambo usiyokuwa na uhakika nayo. Moja, ni ushauri na alternatives ngapi zilizotolewa kwa serikali chini ya uongozi wa mkapa kuhusu ubinafsishaji wa mashirika ya umma? Marehemu Nyerere hakutoa ushauri kuhusu ibinasfshishaji wa NBC? Je, huyo mkapa alisikia. Maana yeye alikuwa anawahusudu wazungu utani ndo Wazazi wake. Je, si mkapa aliyesema hataki NMB imfie mikononi mwake na kwamba inaendeshwa kwa hasara, kumbe ilikuwa hasara ya kupikwa ili waiuze kwa bei ya kutupa. Siye mkapa aliyekuwa akipewa ushauri yeye anawaambia wanaomshauri kwamba ni wavivu wa kufikiri na kwamba wana wivu?.

Ukipima mazuri aliyofanya mkapa na mabaya, ni wazi kwamba mabaya yamezidi mazuri. "Yeye alikuwa kuhadi wa soko huria" ndo maana alimchukia Chachage kwa sababu yaliyosemwa yalikuwa kweli tupu.

Kuna mambo mengi ambayo, alishauriwa lakini aliweka pamba masikioni.
 
Naomba nirudie, sio lazima ushiriki kila mjadala unaoanzishwa eti kwa sababu unajua lugha za kukatisha watu tamaa,,ila kwangu umefeli bro... Hapa ni uhuru wa kuongea na kutoa maoni..

Na usijisikie your some one special than anyone hapa JF wpte tuko sawa,,topic zako hua naziona but sijawahi kuchangia hata moja coz hua sioni point..so can you do same kama unaona hii topic haiendani naupeo wako na utuache sie tuchambue mambo yenye ukweli.

Propaganda za kumwamrisha MOD afunge thread naomba uache sio vizuri hapa tunachanganua mawazo na ni muhimu ukaheshimu mtazamo wa wenzako usijione we ndio wewe sio vizuri bwana mkubwa

Nyerere shabiki
Ignore the boy ana ganga njaa .Ana kurupuka huyu usipoteze muda wako kujibishana naye andika watu wa maana watakuja kukusema kwa heshima .Haa heshima jamvini hana kazi atakula wapi ?Sana sana anaongeza kasi ua u snitch
 
ALIKUWA NA HAKI NDIO LAKINI HUKO UBAONI NA WANAFUNZI WAKE SIO KATIKA MAJUKWAA YA KISIASA , ALITAKIWA AFUNDISHE WANAFUNZI WAKE NA WATOTO WAKE VYUMBANI NA MADARASANI SIO KUINGILIA KAZI AMBAZO HAZIMHUSU

Sasa naanza kuelewa upeo wako....
 
ALIKUWA NA HAKI NDIO LAKINI HUKO UBAONI NA WANAFUNZI WAKE SIO KATIKA MAJUKWAA YA KISIASA , ALITAKIWA AFUNDISHE WANAFUNZI WAKE NA WATOTO WAKE VYUMBANI NA MADARASANI SIO KUINGILIA KAZI AMBAZO HAZIMHUSU
Siasa ni moja ya wajibu wake hasa ukichukulia alikuwa idara ya siasa na utawala ya chuo kikuu,na duniani pote wanazuoni wa vyuo vikuu hutoa maoni kuhusu siasa za nchi chachage sio wa kwanza.
 
Ukweli unabaki kua ukweli....Chachage ndie msomi pekee hadi sasa ambaye aliinyooshea kidole serikali na upuuzi wake bila kuficha na bila unafiki...(Mtazamo wangu) wengine wamekua wanafiki na makuadi wa wanasiasa waliochangia kuzorotesha maisha ya watanzania kwa kuunga mkono utaratibu mbaya wa sera ya ubinafsishaji
 
Augustino you are too senior bwana na mwenye kukata issue kuanza kubishana na haka ka .............................................
Umesha sema imesha eleweka hakuna zaidi acha tu mkuu
Mkuu Lunyungu,
With due respect I concur!
 
Siasa ni moja ya wajibu wake hasa ukichukulia alikuwa idara ya siasa na utawala ya chuo kikuu,na duniani pote wanazuoni wa vyuo vikuu hutoa maoni kuhusu siasa za nchi chachage sio wa kwanza.

Yah, moja ya kazi ya Mwanazuoni hasa katika fani ya Marehem Chachage ni kutoa mtazamo wake kuhusu nini kifanyike katika nyanja flani..Na mitazamo yao hutolewa kupitia machapisho, mihadhara ya wasomi na pia katika mafundisho ya darasani.. Hata siku moja chachage hakupanda kwenye majukwaa ya siasa kama mwanasiasa bali kama mtaalam wa siasa..
 
Ndugu yangu SHY, wanaosema hivyo yaani "wanaolalamika bila kutoa suluhisho hawasaidii" wao mara nyingi wanakuwa na matatizo. Kama mtu akilalamika serikali kuwa na ufisadi, suluhisho ni kupambana nao na kuacha ufisadi, kama mtu akilalamika kuwa serikali ni chanzo cha watu kuwa maskini inachotakiwa kufanya ni kuwaondolea watu umaskini, pamoja na kwamba watu wanasiasa walioambiwa ukweli walimchumkia chachage mimi naona aliyokuwa anasema yalikuwa kweli.
Naona sasa yameanza kuonekana kweupe.
Sasa kama na wewe unasema hivyo ntakushangaa sana. Ukiingia madarakani ina maana una mbinu za kutondolea umaskini sio uulize sulihisho kutoka kwa aliye nje. Na yeye alikuwa free kusema kwa sababu hakuwa na political ambition, kwa hiyo hakuwa mnafiki kama walivyo wengine, ambao wanajua 1+1=2 lakini wanakubali kusema 1+1=3 just to please others so as wakapewa nafasi za kuteuliwa.

I salute you mkuu Bongolander.... haingii akilini ati..viongozi walioomba kazi kwetu wananchi..kututaka sie tuwape solution pale tunapowapa mrejesho kuwa kuna matatizo...kazi waliiomba ya nini kama hawana what it takes to do the job???...kwanini hawaachii ngazi wakawapisha wengine.... baadhi ya viongozi wamekuwepo madaraka kwa awamu karibu zote nne....hata kama ni kwa levels tofauti... kwanini hawaachii wengine tena wakaonyesha vipaji vyao na kututatulizia matatizo tunayoyalalamikia??...Tena wana bahati sana..maana hawapewi probation ili wakiprove failure tuwafukuze!!..laiti wanachi tungekuwa na uwezo huo..tungewafuta kazi wengi wao!
 
Yeye Alikuwa Na Haki Ya Kusema Hivyo Lakini Wasomi Wengi Wanasikitisha Sana Walivyokuwa Na Moyo Wa Kusema Makosa Ya Wenzao Wakati Hawatoi Suluhisho La Matatizo Hayo Wanayoyakosoa Kazi Ni Kukosoa Na Kuingia Mitini Akilazimishwa Basi Atakuja Kuomba Msamaha Yaishe Kwahiyo Alichosema Mkapa Namuunga Mkono Asilimia Mia Na Zaidi

Huyo Msomi Angekuwa Analalamika Nakutoa Suluhisho Sidhani Kama Mkapa Angemchukia

Shy hapa umekosea kama wanasiasa wengi wanavyokosea. Kusema wanalalamika na kukosoa wenzao bila kutoa suluhisho! hii si kweli. Nimeona na kushuhudia wasomi wengi wakikosoa mambo mengi na kutoa mawazo nini kiwe suluhisho, kwani wao kama wasomi wasio madarakani hawana uwezo wa kubadilisha kitu ila hao wanasiasa ndiyo pekee wenye uwezo wa kuleta mabadiliko. Sasa wewe unategemea baada ya kusema makosa wao wasomi wataleta suluhu ipi? unajua hata hapo tu alipokuwa akikosoa marehemu Chachage, Mkapa hakuweza kufurahia kukosolewa kwake je hata angekuja na suluhisho unadhani angeeleweka na kukubaliwa? Mi najua angeshia kuitwa majina mengi tu ya ajabu kama kawaida ya mzee Mkapa! Si unaua zake ndiyo zilikuwa hizo? mara 'maskini wa kufikiri' oh mara ana wivu sijui wa aina gani, n.k. Sasa wewe nawe umeingia kwenye porojo hizo hizo mkuu? Hapa jf tupo tunakosoa na kutoa suluhisho la matatizo luluki ya nchi yetu je si unaona nyie mnavyokuja na lugha hiyo hiyo? Hapa unasemaje mkuu? mko tayari kuchukua na mawazo yaliyo na suluhisho yanayotolewa na wadanganyika hapa jf?
 
Shy,
Mkuu kama ulikuwa ukijaribu kupima chuki ya wananchi kwa Mkapa basi umeipata vizuri na hiyo chuki ichukulie utakavyopenda kuiweka - iweke, lakini ukweli ni kwamba chuki ya wananchi inatokana na uongozi wake mbaya!.. wanamchukia kama vile tunavyochukia Majambazi sasa sielewi kama chuki hiyo huwa tunawaonea wivu majmabzi kwa kile wanachokipata na pili theory gani yenye soluiton ambayo Jambazi anaweza kuiona kuwa ni ya maana!
 
Shy kasome machapisho yafuatayo ambamo wanataaluma mbalimbali wanazungumzia masuala kadha na suluhisho, makala za Chachage pia zimo

1. WHY IS TANZANIA STILL POOR 40 YEARS AFTER INDEPENDENCE?
Editors: Prof. Saida Yahya-Othman
Dr. Martha A.S Qorro
Dr. Benjamin Mtinangi
Mr. Jenarali Ulimwengu

2. The Social Services Crisis of the 1990’s Strategies for sustainable systems in Tanzania
Editor Anna Kajumulo Tibaijuka

3. THE MULTI DIMENSIONAL CRISIS: Debate and Action
Editors: Dr. A. F. Lwaitama, Dr. E. P. Mtalo & Dr. L. Mboma

Available in the University Bookshop, University of Dar es salaam
 
Back
Top Bottom