FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Mamlaka ya duniani yanamwakilisha Muumba na sharti yAheshimiwe,ukisema tusitoke nje itakuwa sababu umewekewa nguvu duniani na mbinguni malaika wanajua,sababu umeapa,sasa Why uogope kuidhinisha kifo?
Sasa hapo tunapata Picha hauamini Vyombo vya mahakama huenda hubambika kesi watu hivyo ukanyonga wasio na hatia,
Lakini mbona kuna teknolojia imekuwa kuna DNA, finger print,satellite na kadhalika,kumbe kuna haja ya kupeleka polisi wetu nje kusomea tena wawe wengi ili uchunguzi uwe wa haki japo sina shaka na investigation yetu wapo makini sana ila msasa muhimu
Ukiangalia utawala wa king Henry wa 16 kama sikosei alietaifisha mali za Roma na kuanza kumiliki ardhi na kuipima alichukua maamuzi hayo ya kuidhinisha adhabu ya kifo japo kwa wakati huo walitumia shoka kutekeleza adhabu hiyo na alijifungia na kulia sana pindi alipoidhinisha ila pointing yangu hapa Anko Magu liombe bunge tubatilishe matumizi ya kitanzi na tutumie sindano kama USA na nchi zingine za Ulaya,wewe ni mtetezi wa haki za binadamu umemlilia sana Gadafi kipindi cha kampeni basi lililie na hilo mh.rais,
Nb:mh rais kuna msanii wa Mtwara ni mlemavu wa ngozi na kipofu alikuimbia wimbo mzuri wa chama uitwao ccm imetutoa mbali Akishirikiana na khadija Kopa sijawahi ona tungo nzuri kama ile ktk hotuba yako maarufu ya ntwara kuchele tungependa tumuone ni maarufu mkoni mtwara,japo ukuusikia ulikuwa hujafika bado,natumai ungemjaza manoti
Mh rais mstaafu Jakaya Kikwete na Benjamini Mkapa hawakunyonga pia.nadhani sababu ni kutokuiamini mahamama