Why ligi yetu haina mechi zenye ladha kama za champions league. Eg. Jwaneng, ud songo, rivers , zesco , mazembe etc

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,516
Habari wadau

Mimi ni shabiki sana wa soka la bongo.

Nimejaribu kuvuta kumbu kumbu sijapata kabisa mechi za mashindano ya bongo yenye ladha kama za caf champions league.

Jwaneng simpi sifa kwa kuifunga simba.

Ila nampa sifa kwa kupiga mpira mkubwa away bila kukata tamaaa mwanzo mwisho. Yaani ile spirit ya i have nothing to loose wameionesha kweli. Kama kufungwa nimeshafungwa kwa nini nibaki nyuma nizuie wacha nijipe raha ya kushambulia hata nikifungwa mengi poa tu

Mechi ambazo ni kali sana kwangu zote ni za mashindano ya caf.

Simba vs as vita ile ya niyonzima yupo simba

Yanga vs zesco ile ya kamusoko dakika za lala salama

Simba vs ud songo ile ya konde boy captain wa ud songo.

Yanga vs rivers ya juzi hapa taifa .

Simba vs mazembe ile ya boko anakosa penati.

Ukitazama burudani za mechi za caf unaona kabisa zinaongeza siku za kuishi za mshabiki. Hata king'amuzi kulipia unaona hujaibiwa na azam ama dstv

Ukitazama mechi hizo zote hizo mpira ni mtamu unatamani usiishe.. why ligi yetu haina mechi zenye ushindano wa level hizo.

Hivi ligi yetu kuna timu ishawai kufanya comeback ya 3-0 kweli?
 
Yani boko longtime anakosa penati cha ajabu hakomi tu kukimbilia mpira likitokea tuta.....
 
Tambua unazungumzia Ligi ya Mabingwa, ko ni ligi yenye mkusanyiko wa timu zinazojiweza/zenye uwezo toka mataifa mbalimbali.
 
Back
Top Bottom