Why Kibaki Signed The Deal?

Halafu watu ooh, Kikwete this Kikwete that, Kikwete was just the messenger, duh!
 
Halafu watu ooh, Kikwete this Kikwete that, Kikwete was just the messenger, duh!

Mimi nakwambia, misifa tu! Halafu naona hata yeye kwenye speech yake ametamba kwamba alisaidia sana. Ndio hivyo lakini kwenye siasa lazima utumie nafasi kama hizi kuvuna ujiku, inaruhusiwa hii, lakini waerevu wanajua kilichotokea!
 
Maybe Its a high time tujaribu kuwa a little bit appreciative of the positives out of the whole SAGA. Tanzania comes out positively.

Tatizo letu kubwa ni kujaribu ku assess in the light of UCCM & UChadema and all these other associations of economic opportunist.

Give credit where its due.

OBJECTIVITY PLEASE
 
Mpendakwao,

Kikwete kama mwenyekiti wa CCM na rais wa Tanzania anakuwa siyo mkweli anapoleta half truth ya kwamba eti yeye ndiye kaleta muafaka Kenya wakati watu wote wanajua Annan katoa kauli nzito, wakubwa wa EU na USA wamempokea kwa vitisho vya kiuchumi, Kikwete kam rais wa AU katumwa tu kwenda kupeleka ujumbe, sasa kama mjumbe hauawi kwa sababu ya message, kwa kuwa message si yake na yeye anafanya delivery tu, kama message imefanya wonders kwa nini sifa apewe mjumbe? Mimi naweza hata kumpa Mkapa na Annan sifa zaidi maana wao ndiyo wamechakalilka toka January 10 wako huko, lakini Kikwete katumwa tu na wenye sauti zao na kwangu mimi hastahili credit kubwa, kama movie/sitcom guest appearance tu katokea dakika tano kama Janet kwenye "Good Times", sasa utampa Janet sifa kuliko JJ?
 
Heshima Mbele Mkuu,

Nakubaliana na wewe through and through, My key concern ni pale ambapo anything done by JK basi ni kujipendekeza , misifa, Ukilaza and so on....! . looking at your point of view, it is fair to argue in that context kwamba hat ile kufanywa mjumbe require a large degree of being a man of integrity, by the way the key actor Mr Annan mwenyewe kwa kauli yake takes the lead on
this kwa kurecognise contribution ya JK. So give credit where its due.
 
Wahenga wanasema, hakuna adui wa kudumu katika siasa. And again, siasa ni kama mchezo wa pata potea, mara zote mchezaji anayo matumaini ya kuvuna yaliyo mema.

Hebu soma haya niliyoyapata toka The Standard, March 2 2008:

Kiraitu: I will work with Raila

Energy minister, Mr Kiraitu Murungi, says he is ready to work with ODM leader; Mr Raila Odinga and members of his party in the Government.

The minister said he knew Raila since their days of political activism in the 190s, describing the Lang'ata MP as a good man.
"I have known Raila for a long time. We share an eventful long history since when we struggled to liberate the country from the dictatorial single party rule in the 1990s. I even represented him in court," said Kiraitu.

He fails to mention the fact that since he joined the gravy train of Kibaki, including the renown Angloleasing fiasco, he has never stopped to look back on his struggles credentials.

Who is next? Prof. Saitoti; Uhuru Kenyatta? Sitashangaa tukianza kusikia sifa kemkem za Raila kutoka kwa Kalanzo. That is the nature of Kenyan politics.

Yote haya yatakuwa ni mazuri kwa ODM ili wazidi kupata nguvu bungeni. But, if indeed, they are reform minded, as they seem to imply, they should be very mindful of such vigeugeus.
 
Mpendakwao,

Kikwete kama mwenyekiti wa CCM na rais wa Tanzania anakuwa siyo mkweli anapoleta half truth ya kwamba eti yeye ndiye kaleta muafaka Kenya wakati watu wote wanajua Annan katoa kauli nzito, wakubwa wa EU na USA wamempokea kwa vitisho vya kiuchumi, Kikwete kam rais wa AU katumwa tu kwenda kupeleka ujumbe, sasa kama mjumbe hauawi kwa sababu ya message, kwa kuwa message si yake na yeye anafanya delivery tu, kama message imefanya wonders kwa nini sifa apewe mjumbe? Mimi naweza hata kumpa Mkapa na Annan sifa zaidi maana wao ndiyo wamechakalilka toka January 10 wako huko, lakini Kikwete katumwa tu na wenye sauti zao na kwangu mimi hastahili credit kubwa, kama movie/sitcom guest appearance tu katokea dakika tano kama Janet kwenye "Good Times", sasa utampa Janet sifa kuliko JJ?

Mkuu,

Mbona Rice alitumwa na amani haikupatikana?

Tatizo hapa ni kwamba Wazungu wanataka waonekane wao ndio wamesaidia
wakatu ukweli unajulikana kwamba Waafrika wenzetu wamefanikisha peace nchini Kenya na tuwe tayari kuwapongeza.

Annan, Mkapa, Machel na rais wetu JK, wamesaidia sana.

Inasikitisha watu wanatoa kebehi hata kwenye mambo ambayo tumeshuhudia watu
wanakufa.
 
How Kikwete, new darling of the West, saved Kenya from collapse

By FRED OLUOCH
THE EAST AFRICAN

What influence and clout did the chairman of the African Union, Tanzanian President Jakaya Mrisho Kikwete, bring to bear on the Kenyan mediation process?

Those were the questions on the lips of most observers as the country celebrated last Thursday’s historic breakthrough in the protracted negotiations.

His intervention came at a time when the negotiations were on the brink of collapse. But Kikwete came into the scene with confidence, declaring that a deal was in the making — and sure enough, it was.

What did he tell President Mwai Kibaki and Raila Odinga?

One theory has is that he came to town with a terse message from US President George W. Bush to the effect that the power-sharing deal must be sealed by all means.

As chairman of the African Union, Kikwete has recently emerged as a key ally and kingpin of the US in the region.

Although this same message had already been passed to Kibaki by US Secretary of State Condoleezza Rice, who had visited Nairobi barely a week earlier, Kikwete’s intervention was bound to meet with a better reception in Nairobi considering that he came to the Kenyan capital wearing two hats — president of a neighbouring fellow member of the East African Community as well as chairman of the African Union.

His visit to Nairobi had added significance in the wake of thinly-veiled threats by the US government, the European Union and even the United Nations of an intervention in the country if the mediation talks failed.

It was US top diplomat Jendayi Frazer who early this month on the sidelines of a summit meeting of the African Union in Ethiopia first issued the threat that the international community would impose a solution on Kenya if the mediation process led by Kofi Annan collapsed.

If any such intervention was indeed being contemplated, the person who would have known its scope and full consequences would have been the chairman of the African Union.

Hence, the theory that Kibaki capitulated in the face of the threat of an AU-led military intervention in the Kenyan crisis.

It appears that the US and other Western powers were worried that without concerted and sustained pressure, the AU would treat the Kenyan crisis with the same lukewarm approach it has adopted on Zimbabwe.

Kikwete’s intervention indicates that the Tanzanian president, who came to power in 2005, is gradually becoming the linkman of the US in the region, having replaced Uganda’s President Yoweri Museveni.

Signs that the US now considers President Kikwete its chief regional ally came in September 2006 when it emerged, to Nairobi’s fury, that Kikwete had discussed Kenya’s “instability” with President Bush during a visit to the White House.

Kikwete’s rise as a regional kingpin has been bolstered by a high-profile anti-graft campaign he recently launched that has seen former powerful members of Tanzania’s ruling party, Chama cha Mapinduzi (CCM), fall one after another — allowing him to redraw power centres and reform the grand old party.

He dissolved the Cabinet after he had accepted the resignation of his prime minister, Edward Lowassa, and two other ministers, Nazir Karamagi and Ibrahim Msabaha, who were both implicated in a major corruption scandal.

The ministers and several other officials were accused of interfering with an energy contract to favour the US-based Richmond Company, contravening laws and rules on procurement.

Observers also saw the reshuffle as a move to dismantle corruption networks within CCM and reclaim party organs from the control of a wealthy clique.

Having been elected the new AU chairman on January 31 this year at the summit in Addis Ababa, Kikwete’s role in resolving the Kenyan political crisis has given the AU a much-needed shot in the arm after its dismal performance in Darfur and Somalia.

As with the defunct Organisation of African Unity, the AU Constitutive Act adopted in July 2000 in Lome, Togo, prohibits interference by any member state in the internal affairs of another.

But Article 4 (h) gives the Union the right to intervene in a member state pursuant to a decision of the assembly in respect of grave circumstances such as war crimes, genocide and other crimes against humanity.

It is instructive that despite accepting the AU-sanctioned mediation, the Kenyan government had earlier maintained that the country was not at war and that an internal solution could be reached, despite the fact that the political crisis in Kenya has had a huge impact on the economies of
Southern Sudan, Uganda, eastern Congo, Burundi and Rwanda.

The new deal involves the creation of the post of prime minister, which will put Kenya on the path to fully adopting a parliamentary system, a goal that has eluded the country for the past 15 years.

However, it is Kikwete’s emergence as an influential figure in the region that could spark a major realignment within the Great Lakes region. Until now, Uganda’s President Yoweri Museveni, who is also the Commonwealth chairman, was believed to be the darling of the West.

However, his victory in the disputed 2006 elections and the harassment of opposition figures before and after the polls dented his image as a reformer who had saved Uganda from sliding into total anarchy.

Similarly, his move to change the constitution to do away with the presidential term limit did not go down well in the West.

In the late 1990s, Museveni, together with the late Congolese president Laurent Desire Kabila, Paul Kagame (Rwanda), Meles Zenawi (Ethiopia) and Isaias Aferworki of Eritrea, were seen by the West as a “new breed” of leaders with the vision to move Africa forward.

While President Museveni still remains a strong ally of the West, President Kibaki has had a love-hate relationship with the West since he adopted his “Look East” policy.
 
Mbona Rice alitumwa na amani haikupatikana?

Tatizo hapa ni kwamba Wazungu wanataka waonekane wao ndio wamesaidia
wakatu ukweli unajulikana kwamba Waafrika wenzetu wamefanikisha peace nchini Kenya na tuwe tayari kuwapongeza.

Annan, Mkapa, Machel na rais wetu JK, wamesaidia sana......
Mkuu hatukatai kuwa hao Wanazuoni wetu ni wa kupewa pongezi,hasa kwa Kujenga Mazingira ya Utulivu na Mazungumzo kati ya Mwai & Odinga, lakini swala kuu hapa ni kwamba,Mwai anajua na kuyaona yanayoendelea kwa Bob!!(Zimbabwe)Sasa Jakaya aliwakilisha Huo Ujumbe wa Hao Wakubwa tu!!,kama utakumbuka ni Wiki ileile Makamu wa Mwai, Bw.Kalonzo alialikwa na Jk kwa Mazungumzo Ikulu ya Dar-es-salaam,vilevile Usisahau baada ya Kofi kuairisha Mazumngumzo kama leo,kisha kuwaeleza Wakubwa, kilichofuata ilitoka DEADLINE toka Juu,na cha kushangaza Kesho yake tu na Mapema Twaona Meza yawekwa Hadharani,watu wakusanyika Mkataba wa Ku-share madaraka watiwa Saini.

**Belive You Me,Mwai was Pressurized to agree on a Power sharing Deal otherwise face Sanctions from the WEST,if it was a qustion of fellow KENYANS dying,WHY did he have to wait for 2MONTHS!! for THEM just to Sign a Piece of PAPER & SHAKE HANDS??? He is a Politician,just like any other in Africa.**
 
Like other pundits, i honestly beleive that the mutual agreement ambao umefikiwa na wenzetu wakenya umepata nguvu zaidi kutoka nje,kuna makampuni lukuki ya wazungu ambayo yalikuwa ktk wakati mgumu esp ktk kipindi kile cha machafuko hayo ya kisiasa. Lakini pamoja na hayo we should give crdt to annan,ben na mama machel for their mercifully work, to be honest wamejitahidi, hili la Jk kuchukua ufagio inhali hajaplay part kubwa kivile sana, its amazing!!lakini as much tuanwavowajua politicians wetu, is nothing new!!,inshu ya nani aliibua richmond ni mfano mzuuuriii!!
 
Mkuu hatukatai kuwa hao Wanazuoni wetu ni wa kupewa pongezi,hasa kwa Kujenga Mazingira ya Utulivu na Mazungumzo kati ya Mwai & Odinga, lakini swala kuu hapa ni kwamba,Mwai anajua na kuyaona yanayoendelea kwa Bob!!(Zimbabwe)Sasa Jakaya aliwakilisha Huo Ujumbe wa Hao Wakubwa tu!!,kama utakumbuka ni Wiki ileile Makamu wa Mwai, Bw.Kalonzo alialikwa na Jk kwa Mazungumzo Ikulu ya Dar-es-salaam,vilevile Usisahau baada ya Kofi kuairisha Mazumngumzo kama leo,kisha kuwaeleza Wakubwa, kilichofuata ilitoka DEADLINE toka Juu,na cha kushangaza Kesho yake tu na Mapema Twaona Meza yawekwa Hadharani,watu wakusanyika Mkataba wa Ku-share madaraka watiwa Saini.

**Belive You Me,Mwai was Pressurized to agree on a Power sharing Deal otherwise face Sanctions from the WEST,if it was a qustion of fellow KENYANS dying,WHY did he have to wait for 2MONTHS!! for THEM just to Sign a Piece of PAPER & SHAKE HANDS??? He is a Politician,just like any other in Africa.**

Lakini kama ni kweli ujumbe huo huo ndio uliwakilishwa pia na Rice na tena alitoa na maneno makali sana bado baada ya hapo hali ikawa mbaya sana.

Kwa hili napongeza kwa asilimia 100 juhudi za Watanzania wawili ambao ni JK na Mkapa. Nampinga Mkapa kwenye mambo mengi sana, lakini kwa hili nampa tano.

Kwa JK kwenda na deal kupatikana na sifa kubwa sana kwa Tanzania. Hata Annan mwenyewe kaipongeza sana contribution ya JK sasa kwanini sisi ambao hatukuwepo tuanze kuona sio kweli?

Viongozi wengi walienda Kenya na wote walikuwa wanapewa messages mbalimbali na viongozi wa dunia lakini bado ngom a ilikuwa nzito.

Of course hili deal lisingeliweza kupatikana bila Raila na Kibaki kuamua kwamba sasa basi. Wote ni wahusika ambao wamechangia kupatikana kwa hiyo amani.

Kuna nchi nyingi sana za Afrika zingetaka kuwa ilipo Tanzania sasa, lakini sisi wenyewe tunajikandia.

Maneno ya Kagame kwamba kinachotakiwa ni mapinduzi ya kijeshi, yameonyeshwa sio kweli. Tunaweza kutatua matatizo yetu kwa amani.
 
1.Kwa hili napongeza kwa asilimia 100 juhudi za Watanzania wawili ambao ni JK na Mkapa....

2.Of course hili deal lisingeliweza kupatikana bila Raila na Kibaki kuamua kwamba sasa basi.......
Mkuu, kwa hilo la kwanza naomba kuuliza;mbona ya Nyumbani yanawashinda kutatua??? au mpaka tukatane mapanga ndo-umuhimu wa 'MWAFAKA' utajulikana,na hatimaye hizo BUSARA zao kutumika??

kwa hilo la pili,it was quite obvious;huwezi tawala Nchi iliyo gawanyika katika makundi makundi,Peace was imminent in the Country.

**Punda ni punda tu!!,hata ukamvalisha Nguo bado atabaki kuwa ni Punda.Sasa BWM amechangia kuifikisha Tz.hapo ilipo hii leo,ni kwa Usafi/Umahiri gani alionao eti akastahili Heshima/sifa kwa Amani ya Kenya??Tuache Unafki!!
 
Nadhani katika maandiko ya bibilia tunaambiwa kuwa "a prophet
is not welcome in his own home"...Unakumbuka hii kitu nanii?
 
Back
Top Bottom