Why Kenyans Will No Longer Have To Travel To India For Cancer Treatment

Kile mnaambiwa kabla ya kukurupuka uwe unafanya utafiti kama nchi zingine Africa wanazo pia., mna expose a lot of your ignorance humu., mitanzania duh!
Onyesha Hospitali yoyote ya serikali Kenya iliyofanya Operation ya "Cochlear implant"
 
so kufanya hiyo implant inamaanisha hakuna hospitali hapa East Africa inawezi kufanya?., kilaza wewe., doing one successful operation isn't a measure eti nyie mababe., leta mgonjwa mwenye hilo tatizo Kenya ujionee

Kwa hiyo unataka kusema hajawahi kutokea huyo mgonjwa Kenya?
 
Kumbukeni kwamba Tanzania tunatibu wagonjwa wa Saratani bure bila malipo yoyote, hapa Ocean Road Cancer Institute Kuna vifaa vyote hadi PET scanner, vyote ni bure bila malipo.
Kubuka pia ocean road cancer institute has dedicated doctors kazi yao kubbwa na ubinifu ni kupasuwa vichwa za zezeta, badaye inplant a semi card.
The key component in the semi card configuration is to speed up zezeta mindset to always think about wali na chakula nzuru and chama cha madudu.
Thats my take.
 
Am not sure, mie sijasikia pengine unielezee wewe..,
Kaka Tanzania katika huduma za Afya tupo juu Sana hapa Africa, 98% ya watanzania Sasa hivi wanatibiwa hapa nchini ambao awali walikua wanapaswa kupelekwa nje ya nchi.

Kwa matibabu ya Cancer ninaweza kusema bila wasiwasi wowote kwamba hata South Africa hawatufikii(Public Hospitals)

Hiyo Cochlear implant kwa hapa Africa inafanyika South Africa, Egypt na Nigeria pekee, tunao wakenya na mataifa mengine yanayotuzunguka wanaoleta watoto wao wenye matatizo ya kusikia kwa ajili ya kufanyiwa hiyo procedure.

Kuhusu upasuaji wa moyo, hapo ndipo tunatamba hapa Africa
 
Wanaotibiwa tz ni walala hoi lkn mabwenyenye wa tz wanakuja kenya kw ajili ya matibabu mzee...
Kwanza karibia EA yote kimbilio lao kenya, we fukara utajulia waoi vitu km hvyo..maradhi yako makubwa tumbo la kuendesha
 
Pua ya Issack Rutto ilipelekwa South Africa
 
Wanaotibiwa tz ni walala hoi lkn mabwenyenye wa tz wanakuja kenya kw ajili ya matibabu mzee...
Kwanza karibia EA yote kimbilio lao kenya, we fukara utajulia waoi vitu km hvyo..maradhi yako makubwa tumbo la kuendesha

Kuna hili bango nimeliona Uganda, inapaswa liwekwe na Tanzania pia wafaidi kwa hii molecular imaging ya kwanza EAC yote

IMG_20211020_065002.jpg
 
Kuna hili bango nimeliona Uganda, inapaswa liwekwe na Tanzania pia wafaidi kwa hii molecular imaging ya kwanza EAC yote

View attachment 1981410
EA upande wa healthcare kw ujumla tuko vizuri mkuu, hawa majamaa walikuja kuturingishia hapa kw majengo wakisema hospitali kumbe yalibaki kuwa magofu hivi sasa ndio wanataka kununua vifaa kw zile hela za IMF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom