The middle finger is longer for the need of balance of the hand,,,mfano fikiria kama ukikunja ngumi halafu middle finger ikawa fupi ingekuwaje,,lakini vidole vinabalance vizuri baada ya kukunja ngumi kwani katikati ya kiganja panakuwa kama deep au kuna shimo,,thus the need for a longer finger,,,Mwacheni Mungu aitwe Mungu bwana.Mimi ni morphologist au mtaalamu wa maumbo na viungo,,,unaweza hata kuniuliza kwa nini pauchi ina shape iliyonayo.
viroba @ work
offcourse :smile-big:
nice answer dude..
Weka picha mkuu.