Why is the midle finger so long? Logic reasons please!

Swat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,198
1,969
For any man or woman, the the middle finger is longer than others! Why and for what purpose!?.
 
Kazi ya Mungu daima haidhihakiwi
na kila alichoumba ni chema sana.
hicho kidole unachotaka kujua nadhani ulidhike
tu kuwa Mungu alipendezwa kiwe vile yaani kirefu zaidi ya vingine.

Kazi yake bila shaka chochote ufanyacho na kinaposhoriki ndiyo madhumuni ya Mungu.

""""""""Mungu ni MwemA""""""""""
 
Weka picha mkuu.
Jack-Wilshere.jpg
 
The middle finger is longer for the need of balance of the hand,,,mfano fikiria kama ukikunja ngumi halafu middle finger ikawa fupi ingekuwaje,,lakini vidole vinabalance vizuri baada ya kukunja ngumi kwani katikati ya kiganja panakuwa kama deep au kuna shimo,,thus the need for a longer finger,,,Mwacheni Mungu aitwe Mungu bwana.Mimi ni morphologist au mtaalamu wa maumbo na viungo,,,unaweza hata kuniuliza kwa nini pauchi ina shape iliyonayo.
 
Thats why you have useful brain, big up kwa logic.
 
Back
Top Bottom