Why is once-peaceful Tanzania detaining journalists, arresting schoolgirls and killing opposition leaders?

Unajua wewe unauliza maswali ya kipumbavu jaribu kukua kiakili nani kakwambia tufurahie haya hata kama ukichukia ipi nguvu yako ya kuutokomeza ikiwa huna uwezo wa kujiamulia jambo lako? 60% ya bajet ya taifa hili tunategemea wao unaruka vipi? Hukuona jinsi makonda alivyokanwa na serikali ktk sakata hilo

Pia kuna wengine wanazaliwa wakiwa na hizo tabia unamfanyaje? Jikite ktk kukuza familia yako ktk maadili na mwenendo yako usitegemee mtu atakuja kukuangalizia familia yako wakat dunia inaendeshwa na wachafu.
Unajua wewe unauliza maswali ya kipumbavu jaribu kukua kiakili nani kakwambia tufurahie haya hata kama ukichukia ipi nguvu yako ya kuutokomeza ikiwa huna uwezo wa kujiamulia jambo lako? 60% ya bajet ya taifa hili tunategemea wao unaruka vipi? Hukuona jinsi makonda alivyokanwa na serikali ktk sakata hilo

Pia kuna wengine wanazaliwa wakiwa na hizo tabia unamfanyaje? Jikite ktk kukuza familia yako ktk maadili na mwenendo yako usitegemee mtu atakuja kukuangalizia familia yako wakat dunia inaendeshwa na wachafu.[/QUOT maswali ya kipumbavu hujibiwa na wapumbavu zaidi.
 
Back
Top Bottom