Why indians are not successful business people in scandinavian country?

babayah67

JF-Expert Member
Mar 28, 2008
493
79
I happen to live and sometimes visits Finland, Sweden, and Norway. In all the countries, I never come across a well successful business men/woman of Indian origin. The only business you can see them doing is small kioskis selling chocolate and cigarates or owning kababu kioski. Why????? The situation is contrary to if you go to UK, Canada, or Africa and Amerika. WHY IS IT SO????
 
Are you an Indian or you want to be one? If not, worry about your own.That's more beneficial' I suppose.
 
Uhindi, uzungu,udini!!!!!!!!!!!!!!!???????????? vya nini hapa. Kama unaandika dissertation yako fanya kimyakimya.
 
Wahindi wanatuharibia nchi mnabisha? kila ufisadi wamo, Richmond, kagoda(Rostam) Kilimo kwanza ( Manji),EPA,jeetu,subhash, Radar.vithlan..pia ni wakwepa kodi wakubwa na wavamizi wa maeneo ya wazi.
 
I happen to live and sometimes visits Finland, Sweden, and Norway. In all the countries, I never come across a well successful business men/woman of Indian origin. The only business you can see them doing is small kioskis selling chocolate and cigarates or owning kababu kioski. Why????? The situation is contrary to if you go to UK, Canada, or Africa and Amerika. WHY IS IT SO????

BECAUSE there is no corruption in Scandinavian countries. Indians do well wherever there is corruption.
 
Msikwepe hoja.....................bila shaka ni kwasababu hakuna rushwa na kodi ni kali sana na hazina msamaha!
 
Huwa wanaanza hivyo hivyo kidogo kidogo na viduka vyao ambavyo utavidharau. Jaribu kuangalia progress yao baada ya miaka ishirini mpaka thelathini utashangaa!

Hata UK walivyokwenda mwanzo katika miaka ya sitini walikuwa na viduka kama hivyo na angalia leo walivyo matajiri.
 
BECAUSE there is no corruption in Scandinavian countries. Indians do well wherever there is corruption.

You got it very correct Bongolander, correction index is very low in scandinavian countries, most Indians prevail in their businesses bse they are very corrupt. They cant do it in scandinavian countries.
 
Wahindi wanatuharibia nchi mnabisha? kila ufisadi wamo, Richmond, kagoda(Rostam) Kilimo kwanza ( Manji),EPA,jeetu,subhash, Radar.vithlan..pia ni wakwepa kodi wakubwa na wavamizi wa maeneo ya wazi.
Wanawaharibia nchi au ni nyie mnajiharibia wenyewe????Mbona nchi yao iko juu???TAFAKARI kabla hujasema....Rushwa mnaipenda waTz wenyewe msiwasingizie wahindi banaa..Hizo richmond or EPA ni za wahindi??La pili waTZ wavivu mnapenda mtelemko kubalini matokeo msisingizie refa.
 
You got it very correct Bongolander, correction index is very low in scandinavian countries, most Indians prevail in their businesses bse they are very corrupt. They cant do it in scandinavian countries.
Jamani hii JF mashindano ya matangazo ya fujo tupu na racism au nini?

Wahindi wamefika Ulaya nje ya Uingereza karibuni tu. Wengi wao kama wakimbizi. Kwa hiyo wanaanza chini kabisa. Hata Uingereza wengo wao bado maskini. Lakini wanasogea mbele. Wengine huoni madukani. Maana vijana kutoka Uhindini wanatafutwa sana kama mabingwa wa kompyuta duniani. Hujui kama makampuni kama Barclays au VISAcard wana idara kubwa na call centers online Bangalore ambako ni wahindi wanaotoa maelezo kwa wateja kote duniani. New York unaweza kumkodisha mwalimu wa tution kwa njia ya skype anayewasaidia vijana wasogee mbele shuleni. Mwalimu wa wapi? Mumbai.

Rafiki mmoja Mhindi kutoka mji wa TZ kusini (alikuwa na karahana bora ya magari mjini; sababu mojawapo kwake kuondoka ilikuwa kutembelewa kila wikendi na Bwana Labour manisipaa na baadaye wa wilaya kudai hongo "soda ya Jumapili" na hongo nyinginenyingine kila mahali) alienda Uingereza. alianza kazi kule kama mekanika magari, alilala na familia katika chumba 1 kidogo, alifanya kazi barabarani maana hakuwa na pesa ya kukodisha jengo. Alipuuza bima na gharma zake hakuenda hoteli siku 1 akipika mwenyewe (hali nyama ila wakatii mwingine kuku, hanywi bia aun pombe). Alifanya hivi miaka 5 bila sikukuu. Baada ya miaka mitano alifungua karahana.
Swali tena?

(NB: nahisi pia ya kwamba vioski vingi alivyoona babaya si Wahindi lakini wahamiaji wengine kama vile Waturuki, Waarabu n.k.)
 
Hakuna ubishi wahindi ni wala rushwa wakubwa, na nchi za nordic hakuna rushwa kiwango hicho
 
Mr. Kipala, ni kweli kabisa hata hapa Tz wale waliokuja mwanzo walikuwa wanafanya hivi hivi na leo ni matajiri. Sisi tukipata kidogo tu tunataka mtaani kote, halafu Dar na mpaka kijijini tuonekane tuna fedha. Tunakula mpaka mtaji.

Ni kweli wakipata mshuko wa corruption basi wanautumia lakini kwa asilimia kubwa ni juhudi zao wenyewe.
 
Kwa Sweden naweza kukwambia kuna discrimination, kama wakiona jina lako sio la Kiswede mambo yako yanakuwa magumu kufanikiwa.
 
Jamani hii JF mashindano ya matangazo ya fujo tupu na racism au nini?

Wahindi wamefika Ulaya nje ya Uingereza karibuni tu. Wengi wao kama wakimbizi. Kwa hiyo wanaanza chini kabisa. Hata Uingereza wengo wao bado maskini. Lakini wanasogea mbele. Wengine huoni madukani. Maana vijana kutoka Uhindini wanatafutwa sana kama mabingwa wa kompyuta duniani. Hujui kama makampuni kama Barclays au VISAcard wana idara kubwa na call centers online Bangalore ambako ni wahindi wanaotoa maelezo kwa wateja kote duniani. New York unaweza kumkodisha mwalimu wa tution kwa njia ya skype anayewasaidia vijana wasogee mbele shuleni. Mwalimu wa wapi? Mumbai.

Rafiki mmoja Mhindi kutoka mji wa TZ kusini (alikuwa na karahana bora ya magari mjini; sababu mojawapo kwake kuondoka ilikuwa kutembelewa kila wikendi na Bwana Labour manisipaa na baadaye wa wilaya kudai hongo "soda ya Jumapili" na hongo nyinginenyingine kila mahali) alienda Uingereza. alianza kazi kule kama mekanika magari, alilala na familia katika chumba 1 kidogo, alifanya kazi barabarani maana hakuwa na pesa ya kukodisha jengo. Alipuuza bima na gharma zake hakuenda hoteli siku 1 akipika mwenyewe (hali nyama ila wakatii mwingine kuku, hanywi bia aun pombe). Alifanya hivi miaka 5 bila sikukuu. Baada ya miaka mitano alifungua karahana.
Swali tena?

(NB: nahisi pia ya kwamba vioski vingi alivyoona babaya si Wahindi lakini wahamiaji wengine kama vile Waturuki, Waarabu n.k.)

There is no racism here. When we are talking of corruption we are talking of a giver and a receiver. That does not mean that we locals are not corrupt, we are corrupt ad that is is why Indians who are good at giving kickbacks are thriving and surviving. KUna watu wanajua kuwa mhindi kazi yake ni kutoa rushwa kwa hiyo kila akionekana lazima atafutiwe sababu ya kutoa rushwa, wao ndio waliotufundisha rushwa na kutuzoeza rushwa. Kwenye nchi za Scandinavia hakuna utamaduni wa kupokea rushwa. UK wamejijenga kwa sababu ya fraud, wana abuse sana sytem ndio maana wako vile.
 
I happen to live and sometimes visits Finland, Sweden, and Norway. In all the countries, I never come across a well successful business men/woman of Indian origin. The only business you can see them doing is small kioskis selling chocolate and cigarates or owning kababu kioski. Why????? The situation is contrary to if you go to UK, Canada, or Africa and Amerika. WHY IS IT SO????

Wahindi wanaanzi mbali na wavumilivu saana na wanachapa kazi sana huku wakinusa pesa. Kwa hiyo watafika tu kwenye utajiri kama walivyofika sehemu zote zingine duniani. Hakp Kaduka kadogo dogo na kamgahawa ndiyo katakuwa kanazaa millions millionaire. Wanepenyeza sehemu zote..

Ukitaka kuwa kama wao aacha tabia zetu ... ukipata ndio kwanza baa inakuwa nyumba mpaka unanunua na kiti huko..chupa mbili baridi mbili moto weka na nyama ya kuchoma na beebi tooss me.... na uzembe kesho yake! ...
Jaribu dawa ya kihindi uoene matokeo!
 
If the system is corrupt esp in tax avoidance and evasion you will have in big number. Veve nambie teja iko toa lisiti ya VAT at bila lisiti chukua kwa bei a chini
 
Jamani msichanganye mambo. Scandinavia sio wahindi ambao ni wengi. Kuna mapakistani kila kona na hawa wameshamiri kwa biashara na umafia. Kama umekaa Scandinavia kwa muda mrefu (na sio kupita tu) bisha!
 
Hakuna ubishi wahindi ni wala rushwa wakubwa, na nchi za nordic hakuna rushwa kiwango hicho

Tajama iko ivi - sisi ote dugu moja tu lakini bana mahindi iko janja.
Kamana kaji fanya kaji tu NA pana lalamika LALAMIKA DOMO DOMO KUBWA TU OVYO ATI.
kama rushwa tupia pata machele yako iko wote bega bega. Tofauti bili VeVe penda lala TU kula ote paka maliza. SISI MAHINDI kula kudogo kudogo andika dani ya daftari... Dunia hii nani kataja VEVE lima paka machele, harage, hata buji kuwa mingi tu?.. WACHA CHUKIA MAHINDI OVYO BANA..
 
Tuna tatizo moja hapo kwetu watu wanashindwa kabisa kutofautisha kati ya Wahindi na Wapakistani. Wote tunawaita wahindi, na Wapakistani wanapenda sana kujificha migongoni mwa jirani zao hao.
 
MpendaTZ apo umepatia
 
Back
Top Bottom