Why I don't go to church

sjaona
Aksante sana kwa maswali yako maguuumu sana weye Mr Giniasi. Hapa JF kwa kweli hajawahi tokea jiniasi mwingine ka weye. Ila, samahani nijibu swali lako kwa swali; Je,unaamini kuwa mimi ninayesema nawe ni mtu au jini?? Umewahi kuniona? Je, unaamini nami nina kwetu? Umewahi fika huko??
Nadhani weye ni miongoni mwa hiki kizazi kinachojiita "Kipya" wakati kimezaliwa na kizazi kizee. Yesu yupo, alikuwepo na atakuwepo milele. Mbingu zipo na zilikuwepo na zitakuwepo kwa sababu Yesu amesema; Yoh. 10 : 27 Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata. 28 Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe.....
Mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wako nawe utaupata uzima wa milele bure na mbinguni tutakuwa pamoja milele


sijaona jibu hata moja kati ya nliyokuuliza hapo
 
Back
Top Bottom