Why graduates can’t write English-

Muongo i can write English si umeona hapo :fencing:English is our third language after kilugha cha nyumbani na kiswahili
 
ahahahahaha...hapa patamu...anyway..kuwa mkweli kabsaaa...mie kiingereza/kizungu kilishanishinda toka zamaniii...ndio maana nikaamua kusoma sayansi wao waingereza wakasoma art subjects...maana kiingereza cha sayansi na hesabu hakina-longolongo miiingi...therefore, hence, simple like a,b,c....

hapana mi-habari ya future pati-sipo present tenses wala nouns, preverbs, adjectives... etc... sema huku niliko eti naambiwa niongee kiingereza...mie najua tu what is your name?...where r u comming from, ....

mambo ya kujieleza na kuandika yanatia-hasira plus kuaibishana bureee na milugha ya watu....mbona wachina hawajui kiingereza ila sio issue ...mie mtz ndio inakuwa tatizo az if sijui wimbo wa taifa?
 
Tuwe na siku ya kujadili mada kwa kiingereza tu hapa JF :becky:
 
Tuwe na siku ya kujadili mada kwa kiingereza tu hapa JF :becky:

ukisikia "ubaguzi wa lugha" ndio huo unaotaka uanze hapa jf....maana mkiisha anza kuchangia mada kwa kiingereza next-tyme mtachangia kwa ki-marekani na mwishoe kichina....
 
ukisikia "ubaguzi wa lugha" ndio huo unaotaka uanze hapa jf....maana mkiisha anza kuchangia mada kwa kiingereza next-tyme mtachangia kwa ki-marekani na mwishoe kichina....

Nafikiri ulielewa nimetumia Sarcasm nasikumaanisha ndio maana uliona hii alama :becky::becky:
 
Until English is organically adopted as a language of communication en masse, a tough feat in a country that already has one mostly sufficient and culturally more accessible lingua franca (namely Swahili) , this language (English) will remain a superficial imposition that is not real in the lives of most of the hoi polloi, nine out of ten Tanzanians. This statement is not to be confused with the uninformed anti-English school of thought bent on empty cultural pride, the statement is a mere espousing of natural facts.

Our problems with English are beyond the educational system, you can only log so much time in classes. Culturally English has a lot of obstacles, especially given the success of our sense of nationalism which may interpret efforts to learn English and it's use outside where it is absolutely necessary (talking to foreigners and formal events that require English) as kissing up to the ex-colonial masters and trying to be uppity. I remember seeing two friends of mine frowned at in a daladala because they were students practising their English.

English and Swahili are competitors, one cannot thrive without negatively impacting another, especially because they sprang from two vastly distinct sub branches of the language tree (Indo-European and Bantu/ Arabic ) and hardly carry substantial systemic similarities.
 
Naamini gaduate wa tanzania wote wanaweza kuandika kwa kizungu .lakini kwa usahihi kiasi gani ndio issue. Naamini vile vile syntax or semantic error problem tulizonazo kwenye maadishi haziathiri sana communication kiasi cha kufanya ujumbe usieleweke.

Kama kuna gaduate ambaye anaweza kuandika barua mfano ya maombi ya kazi ambayo si tu ina makosa ya kisarufi lakini pia hata mlengwa anashindwa kuelewa au kupata ujumbe uliokusudiwa basi hili ni tatizo kubwa.

Sababu gani tunashinwa ku master sarufi na fasihi za english kama ilivyo kama ilivyo kwa kiswahili au lugha zetu za mama sababu ziko nyingi na baadhi zimetajwa.

  • Unlesss unasomea linguistic then it will no be beasy ku master third language kwa kuandika na kuongea kwenye level ya juu
  • Mazingira yanalazimu kutumia lugha fulani na hivyo kudumaza kujiendeleza kwa lugha nyingine
  • etc
 
Kuna wa japan wa china wa rusi wa jerumani wa faransa you name them .......................je wapi maendeleo yao yametokana na kingereza?
Kwa bongo ukiona mtu anajitamba kwa kingereza defending mechanism kwa kutokuwa na utaalam mwingine .
Ila kwa msingi ya mawasiliano hope wengi waliojifunza kingereza wanaweza kuongea kingereza.Ufasihi no nesesito.
 
ahahahahaha...hapa patamu...anyway..kuwa mkweli kabsaaa...mie kiingereza/kizungu kilishanishinda toka zamaniii...ndio maana nikaamua kusoma sayansi wao waingereza wakasoma art subjects...maana kiingereza cha sayansi na hesabu hakina-longolongo miiingi...therefore, hence, simple like a,b,c....

hapana mi-habari ya future pati-sipo present tenses wala nouns, preverbs, adjectives... etc... sema huku niliko eti naambiwa niongee kiingereza...mie najua tu what is your name?...where r u comming from, ....

mambo ya kujieleza na kuandika yanatia-hasira plus kuaibishana bureee na milugha ya watu....mbona wachina hawajui kiingereza ila sio issue ...mie mtz ndio inakuwa tatizo az if sijui wimbo wa taifa?
daaaaaaaah kweli mzeeeeeeeeee..
 
Back
Top Bottom