Why gizzard is for the father only?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,338
6,463
In most of families of African origin when chicken is served the gizzard is taken by the father only or given to the very important male visitor. Why this part of chicken is only served to men in the family especially fathers?
 

Attachments

  • leg quarter with back bone and gizzard.JPG
    leg quarter with back bone and gizzard.JPG
    419.9 KB · Views: 37
  • leg quarter with back bone and gizzard bites.JPG
    leg quarter with back bone and gizzard bites.JPG
    453.3 KB · Views: 37
ha haaa haaaaaaa

yaani nimefurahi sana .... ninaipenda sana firigisi na ni tamu sana

big up mkuu ... naomba utujuze zaidi kuhusu vitoweo vingine
 
Mhhh wababa wa kiafrika walafi eti unakuta mama anaambulia vichwa miguu mgongo na sehemu za hovyo hovyo tuuu! Baba mapaja firigisi na vyote vizuri! lahaula lakwata
 
maisha magumu ndio yanatufanya waafrika tuwe hivyo. kwa sasa kama unavijisent vyako vya kubadilishia mboga unaweza kwenda market na kusomba hizo filigisi tu za kutosha, ama vipapatio tu, na ukipenda paja tu, bila kusahau viuno.

nashangaa kwa sasa mitaa furani unakuta watu wanauza mpaka utumbo wakuku , mikuu na vichwa. Na watu bila hiyana wanana nunua.
 
Back
Top Bottom