Jolebatawi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 549
- 230
Watanzania tuwe makini sana na nchi yetu.
Mjadala wa kumjadili Dr Slaa nahisi sasa umepamba moto kila kona ya nchi hii ikiongozwa na wanaCCM.
Swali langu ni kwanini nchi hii maskini tusijadili masuala mazito kwa mustakabali wa kizazi hiki na kijacho??soko la ajira limekuwa gumu,,wakazi hifadhi ya ngorongoro wameanza kufa kwa njaa huku mfutakamba naibu waziri anasema hakuna atakayekufa kwa njaa,,huku gharama ya kesi ya dowans yafikia bilioni 54 na zaidi,,maambukizi ya ukimwi yanazidi kupaa sababu ya umaskini na mengine mengi yanayohitaji mjadala wa kitaifa.
Ndugu zangu kueni makini sana na CCM,wanapozidiwa na wapinzani wanavunja uongoz na kuweka wapya klisha wanaanza kuzunguka na kupiga kelele zisizo na tija,nakwakuwa watz ni wasahaulifu nao wanajikuta kwenye mkumbo wa ushabiki wasijue wanatuangamiza taratibu.
Mfano Nape anasema dr slaa ana kadi ya ccm,lakini katiba ya ccm inasema mtu akihamia chama kingine tayari amejiondoa ndani ya ccm ila anapotosha umma makusudi ili watu wasijadili masuala ya msingi waelekeze mijadala ya kipuuzi kwakuwa wananufaika na ujinga wetu watz.
Mtu anahama chadema leo na kwenda ccm na kusema chadema ina wenyewe,hizo ni za muishiwa hivi nani asiyejua ccm ndiyo vinara wa siasa za kujuana??eti chadema ya kikanda,hizo ni propaganda zilizopigwa siku nyingi sana je huyo mtu wakati anaingia chadema hakuzisikia hizo tetesi??iweje leo atuaminishe kuwa chama ni cha kikanda???kwani hilo ni jambo jipya kusikika ndani ya tanzania hii.
MWISHO:1.Wanaoikosoa chadema waje na hoja mpya tena zinazothibitika na zenye ushaidi wa kisayansi
** * * * * * * * 2.WATANZANIA KUWENI MACHO SANA NA WANAOJALI MATUMBO YAO KAMA AKINA NAPE
** * * * * * * * *KARIBUNI TUJADILI KWA HOJA