Why do you learn English? Kwanini unajifunza Kiingereza?

t138

Member
Jan 18, 2022
22
9
Please reply with the reason why you are learning ( or want to learn) English language.

Jibu kwa kutoa sababu ya wewe kujifunza Kiingereza.
 
Nitaanza: nilijifunza English kwa sababu nilitaka kuelewa tamthiliya kama sunset beach, isidingo. Pia kuelewa movies. Na pia kuelewa mtu akiongea.

Kabla ya hapo nilikua najua 'this is Baraka', etc from standard 3 English book 📖
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Please reply with the reason why you are learning ( or want to learn) English language.

Jibu kwa kutoa sababu ya wewe kujifunza Kiingereza.
It was one of the subjects in primary school and later it was a medium of communication from secondary school to college.
 
Please reply with the reason why you are learning ( or want to learn) English language.

Jibu kwa kutoa sababu ya wewe kujifunza Kiingereza.

Nimejifunza kiingereza kwasababu ni moja ya lugha iliyoandikiwa vitabu vingi vyenye elimu nyingi isitoshe ni miongoni mwa lugha kubwa duniani inayozungumzwa na watu wengi hivyo ni rahisi kupata mtu unayeweza kuwasiliana naye katika njia mbalimbali katika shida na mahitaji mbalimbali, pia nilijifunza kiingereza kwakuwa ilinilazimu kwani ni moja ya somo la lazima shuleni katika kufundishia nk,

It is a subject in study in primary schools and secondary schools while in the latter it is also a medium of instruction in this case I was automatically forced, so to say, to learn the language.
 
Please reply with the reason why you are learning ( or want to learn) English language.

Jibu kwa kutoa sababu ya wewe kujifunza Kiingereza.
Not only English but all other foreign languages...! To me these are outfits.. While my native languages are underwears...! I both need them
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom