Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 5,674
- 2,349
Wajinga ndiwo waliwaoIla huku kwetu akina Gwajima wanakusanya 10% kwa waumini wao, wanajijengea nyumba za fahari, kununua ndege, kutembea na wake za watu, magari ya fahari, lakini kujenga kanisa wanaona ni hasara kwao.