Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

No research no right to speak,
Ndugu naomba reference ya research yako ku claim ulichokiandika, otherwise this post is useless.
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Naona unaota, maisha ni juhudi binafsi na ujinga ni wa mtu binafsi mkuu maisha hayana ufuasi wa chama,inaonekana bado hujui unaongea nini.Sijui huo utafiti uliufanyia Ufipa?
 
Mtaji wa CCM ni watu wajinga na wasiojielewa ukiacha wale wachumia tumbo aka wasaka tonge!!
 
CCM ni popular kwa vijana wanaopenda njia za mkato za kuingiza kipato kwa kuimba "iyena iyena"!
Nina binti yangu mmoja alichumbiwa na katibu wa CCM wa wilaya fulani,jibu alilompa ni kuwa "he is not a man enough" kwa sababu anaishi kwa kusifia tuu na kuwa anamsifia JPM kuliko hata yeye girlfriend wake.
 
Ulimpigia kura lowasa 2015?! Though I am not sure you had reached 18 then.
Huna hakika kama katimiza miaka 18 halafu unamuuliza kama alipiga kura 2015!!!! Una utimamu kichwani kweli? Kweli umedhihirisha ukweli wa maandishi ya mleta uzi,ujinga umetamalaki huko chamani kwenu.
 
Mliodeki barabara gari la lowasa lipite ndio tuwaweke kundi gani kama si wajinga mliopitiliza?!
 
Naona unaota, maisha ni juhudi binafsi na ujinga ni wa mtu binafsi mkuu maisha hayana ufuasi wa chama,inaonekana bado hujui unaongea nini.Sijui huo utafiti uliufanyia Ufipa?

Atajua anachoongea siku ujinga ukimtoka.
 
Kwani wewe ccm ilikukosea nini....?? Wewe mbona zwazwa sana........kubavu kabisa......ccm ilimlea baba ako na mama ako na bibi yako na babu yako.......kosa lao nini hapa...... Uko ulaya na Marekani watu wananunua magari ya mabilioni na inakadiriwa kutuma miaka miwili tu basi.. wakati kuna mtu hata uwezo wa kununua mkate wa dora moja hana...... Huna basi huna endelea kumuomba Mungu ili akupe na wewe..........acha siasa za kishamba ukivaa shati limechanika huo uzembe wako.....maana kuna vingi vya kufanya sio lazima uajiriwe lift up your head broo......serikali ilichokufanyia we waulize waliokuzaa wamekufanyia nini.........maaana inawezekana uko peke yako kama mtoto kwenu lakin hata shamba la futi ishirini kupanda majani ya maboga na matembele hawaja kuandalia......mh kicheko
Nilipoona Emoji sijakutofautisha na dada angu
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.

Kwa hiyo wale tulioimbishwa " ...kunja ngumi - zungusha!" na mgombea wa CCM aliyeuziwa nafasi ya URAIS na akina Mbowe na Lisu ndo Magenius wa nchi hii?
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Hata wenye uwezo mdogo shuleni ni CCM? Hata wasaka vyeo ni CCM?
Naendelea kuitafari ulichoandika hapa?
 
Ccm inapendwa na Makundi mawili moja ni wanufaika wa mfumo hapa wapo wakuu wa vyombo na idara zote, viongozi wa dini,na wote ambao bila ccm ni lzm wafe njaa,pili ni future less people (wanyonge) Hawa ni mtaji wa wanasiasa unawapa elf 2,sukari,t shirt ,kofia na khanga wao wanakupa kura then unapotea 5yrs unarudi tena kuwanunua.

Why wanyonge,mnyonge ni mtu hoehae asiye na mbele yaani aliyefikia level ya juu ya kukata tamaa ya maisha hivo mwingine akikosa au akitumbuliwa ujihisi nafuu ya kuhalalisha kushindwa kwake,ni mtu mwenye chuki na waliofanikiwa akiamini umasikini na unyonge wake umeletwa na tajiri,ili uwe mnyonge ni lzm uwe mjinga,maana mjinga uamini matumaini hewa ( propaganda) za wanasiasa.

Ukiuondoa ujinga umeiondoa ccm case study ni ngome za ccm huwezi pata watu wanaojielewa wakachagua kupigia kura mateso yao.Watu wanaojielewa Wana reasoning.
Ngome zao ni Singida,Dodoma,Ruvuma and the like
 
Kama anavyojiuliza mimi pia hujiuliza hivo kuwa CDM lazima uvute bangi maana ukiwaona ni wa aina moja tu vurugu ndo jadi yao no reasoning hata kizuri unapinga tu.
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Uzuri kwenye sanduku la kura huwa hakuna kura za wajinga, waliofeli maisha au wenye kipato bali kila kura huhesabiwa kwa haki sawa. Lakini katika maendeleo hamuwezi watu wote kuwa katika levo moja ya kipato bali utofauti lazima uwepo.
 
Na hapo ndio makosa ya demokrasia yalipo. Yaani eti Mimi na Kawe Alumni Bia yetu, Etwege, MOTOCHINI, na wengine wa aina hiyo tuna kuwa na sharti la mtu mmoja kura moja?
Ilitakiwa watu wa aina hiyo wawe kama ishirini ndio ihesabike ni kura moja ya mtu mmoja makini.
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Kwaiyo mamako na babako wapumbavu
 
Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Kama mimi ndio ningekua Rais,haya mamikopo ningeyafuta tu,na kuelekeza benki za biashara ziktoe mikopo ya elimu
Jukumu la kusomesha ni lako ,ona sasa stress zote unamalizia kwa serikali kisa mkopo utadhani serikali ilikusimamamia wakati unakojoa
 
Back
Top Bottom