Why Catholic seminaries excel in exams

Gangi Longa

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
275
135
DEOGRATIAS MUSHI, 7th February 2010 @ 05:27, Total Comments: 0, Hits: 31

LAST year’s Form Four national examination results were announced over the weekend. Just like in other years in the past, seminaries and other schools managed by the Catholic Church performed better than other schools.

Results of the two seminaries located in Kilimanjaro Region for example, have shown that 99 per cent of the examinees, scored division one.

These are Uru and Saint James seminaries. Any person who follows closely the Form Four and Form Six examination results every year would wish that his/her child goes to such schools, which academically (as well as morally) prepare students for various professions.

But that would not be easy as the following saying affirms: “If wishes were horses beggars would ride them”.

There is an example of a student from Dar es Salaam who joined Uru Seminary in Moshi some few years ago, but he could not last longer there, because he failed to observe the day’s schedule, that included waking up at 5.00am every day for prayers.

Another one at Maua Seminary had to pack his bag and return to the city, since he disliked farming activities that were part and parcel of students’ formation.

To study in any seminary or Catholic-run school for four or six years is not a simple matter as one might think, because students are expected to follow strict rules.

It involves a lot of sacrifices for one to make it to the end. John Paul, a city-based businessman at Kariakoo, says he went to Uru Seminary in Kilimanjaro region in early 1980s but he only stayed there for three years.

Why? The seminary life was so hard for him, that he had to quit and join an ordinary secondary school.

John says that he had grown up in Dar es Salaam where he was used to a particular style of life that could not match with the seminary life in Moshi.

But Beda Msimbe, who is the Production Editor with 'HabariLeo' newspaper in Dar es Salaam, says that seminary life was one of his best adventurous moments in his life.

He proudly says that seminary formation shaped his life for the better and he is reaping the benefits up to now. Msimbe went to St. Patrick Minor Seminary in Morogoro Region, where he studied both for his ordinary and advanced secondary education.

“Our preparation to begin seminary formation started when we were still in Standard One in our village. The local parish priest placed us into a special programme, which was aimed readying us for seminary life later,” he says.

This brings out the difference between Catholic-run secondary schools and a pure Catholic seminary.

Taking an example of the few Catholic-run secondary schools that excelled in this year’s proper selection of students, discipline, availability of trained teachers and enough text books are some of the reasons which helped the students perform well.

Such schools include Marian Girls in Coast region, Maria Goreti and Anuarite in Kilimanjaro region, and the famous Mbeya-based Saint Francis Girls’ Secondary Schools.

Some ordinary Catholic schools don’t perform as well, because of various factors, including wrong selection of the teaching staff and generally, unfavourable environment.

Most seminaries, especially those ancient ones like St James, Rubya, Likonde, Kaengesa, Maua, Nyegezi, Uru and Itaga have established for themselves a system, whereby boys to be enrolled in Form One have to begin the process from their particular neighbourhood group, famously known as Small Christian Community (SCC).

SCC normally gives recommendations as to whether the young man deserves to undergo seminary formation, which primarily has the aim of preparing him to become a Catholic priest, though majority of them leave once they have completed advanced level secondary education.

Once a particular parish accepts a boy to begin seminary formation after primary school, then the whole Catholic community in the neighbourhood starts observing his character, and if he is found misbehaving, then he won’t be accepted to continue with the formation.

The crucial time for a pupil interested in joining seminary life is when he is about to complete Class Seven, that he has to undergo an interview conducted by three different reputable priests in turns.

Normally fewer boys are selected after the interview to do written examination, after which those who excel to the expected standards are accepted to join seminaries.

At this juncture, there are favouritisms at times, when some priests show weaknesses of accepting some boys to join the seminary, not because they qualify, but rather because their parents are related or friends of theirs.

Unlike ordinary schools, there is normally a good studying environment in most seminaries, since there is a good trained staff dedicated to teaching, an equipped library, and of course good and sufficient food.

Life in any seminary is comprised of three different activities. These are studies, prayer and work (manual labour).

Any student who cannot fully participate in the three things is asked to leave the seminary with immediate effect, no matter how bright, prayerful or hardworking he might be.

Students wake up early for prayers, and then do a little bit of house chores before they begin classes at around eight O’clock.

The day’s schedule is so tense that it leaves no time for students to roam around without any substantial thing to do. Students rarely go for outings, and social activities are so balanced that they don’t leave room for the students to misbehave.

Mr Gasper Macha, who taught at Uru Seminary until 2008 used to say that to teach at a seminary is always exciting, because students are well selected intellectually, and are serious when doing class homework.

Father Aloyce Kinyange who has taught at St James Seminary in Moshi once told me that, for any school to excel, there is a need for good students’ selection, as well as recruitment of a good dedicated staff.

What shouldn’t be forgotten is that students who perform below standard in seminaries at the end of each academic year are asked to leave the seminary, and this ‘yardstick’ helps many students to avoid this trapping hole.

The challenge is – Can other secondary schools borrow a leaf from Catholic seminaries, to enable their students excel in examination as well?

http://www.dailynews.co.tz/feature/?n=7294&cat=feature
 
They eliminate under-achievers early, such that those who sit for the national exams are quiet few, normally not more than 20. And all get div 1. But with such studious environment, you would wonder why don't their students feature in the Top 10 list?
 
HII NI KWELI.....!
Nikiwa kama MWALIMU ambaye napenda sana kuona mwanafunzi akifanikiwa SEMINARY STYLE ndiyo jibu pekee la ELIMU ya TANZANIA....!
Nimewahi jaribu kufundisha shule mojawapo ambapo mwanafunzi ana nafasi/uhuru A.K.A DEMOKRASIA ambayo mwalimu hapaswi hata kumuuliza kama home work yake aliyompatia ameifanya ama la....! na pindi mwalimu akiuliza KUFUKUZWA kunamnyemelea....!
 
Pia kuna suala moja muhimu sana ambalo watu hawalizingatii ktk suala la elimu. Seminarini watoto wanakula misosi mizuri sana. Mdogo wangu ananieleza jinsi wanavyokula: maziwa,mayai,kitimoto(nyama),matunda etc ambavyo shule zetu za kawaida havipo hivyo. Mtoto hajala unamfundisha problems ktk linear programming ataelewa? Baada ya shule watoto ktk shule zetu za kawaida hawaeleweki wanafanya nini, ndipo wengine wanaenda kujihusisha na ulevi,uzururaji etc. Seminary mtoto anafuatiliwa hata wakati wa kulala wanahakikisha wote wamelala kwenye vitanda vyao. Nawapa big up RC kwa malezi bora ambayo matokeo yake wote twayaona.
 
They eliminate under-achievers early, such that those who sit for the national exams are quiet few, normally not more than 20. And all get div 1. But with such studious environment, you would wonder why don't their students feature in the Top 10 list?

Word UP!

what do you expect when carefully selected good students are continually scrutinized for four years to get better results?and those who fail to meet the standards are quickly distaptched to other schools?

no rocket science here..,those schools are not very exceptional compare to others.they just look for best students to save their faces.

It is not particularly the best way to improve education if you ask me.Kama hizo seminari wanafundisha vizuri waache kuchukua best students from best schools in std 7 and form 4.wawe wanachukua wale waliofeli na kuwa-turn good hapo nitawapa sifa.

same applies to marian,st.francis et al,praise goes to government school that tries so hard to deliver balanced education to all.

Huruma ziende kwa shule za kata who are trying so hard to educate "rejects" of our education system into useful individuals.
 
Hawa-excel kwenye mitihani tu. Nafikiri heading ni misleading.
 
Weka facts sawa.Seminari za RC hazichukui best performers of std 7 or form 4.Nilisomea serikalini kwavile nilifaulu serikalini darasa la 7 lakini ndugu zangu hawakufaulu darasa la 7 isipokuwa walifanya mtihani wa seminari na baada ya kufaulu wote walisomea seminari za RC.
Wanachofanya seminari za RC ni kuwachukua wanafunzi wanaofaulu mitihani yao ya seminari kisha wanakwenda preparatory course mwaka mmoja kama sikosie halafu wanaanza form one.Sasa ukianza form one ndipo kuna viwango vyao na ukipata chini ya hapo wanakuondoa.Na hata form 5 hawachukua division one tu.Wanachukua mpaka division 3.
All in all seminari za RC wanafundisha vizuri.
 
Kufeli darasa la saba hakumaanishi mtu si mzuri katika masomo. Kuna factors nyingi zinazochangia mtu kufeli au kufaulu baadhi zikiwa juhudi za kujisomea na kujifunza, uzembe, walimu wabaya, uwezo wa kifedha n.k.
 
They eliminate under-achievers early, such that those who sit for the national exams are quiet few, normally not more than 20. And all get div 1. But with such studious environment, you would wonder why don't their students feature in the Top 10 list?

Mkuu unazifahamu top ten za shule zilizokuwa na wanafunzai zaidi ya 35?
 
Weka facts sawa.Seminari za RC hazichukui best performers of std 7 or form 4.Nilisomea serikalini kwavile nilifaulu serikalini darasa la 7 lakini ndugu zangu hawakufaulu darasa la 7 isipokuwa walifanya mtihani wa seminari na baada ya kufaulu wote walisomea seminari za RC.
Wanachofanya seminari za RC ni kuwachukua wanafunzi wanaofaulu mitihani yao ya seminari kisha wanakwenda preparatory course mwaka mmoja kama sikosie halafu wanaanza form one.Sasa ukianza form one ndipo kuna viwango vyao na ukipata chini ya hapo wanakuondoa.Na hata form 5 hawachukua division one tu.Wanachukua mpaka division 3.
All in all seminari za RC wanafundisha vizuri.

Sio seminary zote zina pre-form one. Kwa experience yangu na uelewa wangu kuna seminary zifuatazo ambazo hazina pre-seminary,mfano maua seminary,uru seminary,st.james, na zinginezo ila zinafanya vizuri sana. Mdogo wangu alifaulu darasa la saba na akachaguliwa kwenda kwenye secondary ya kawaida,day school,akapiga chini tukampeleka semenary akawa kwenye first five kila term na results zake za form four na six zilikua safi sana.
Nakubaliana na wanaosema kwamba kufeli darasa la saba sio kigezo cha ukipanga/ukilaza wa mtu.
 
Pia kuna suala moja muhimu sana ambalo watu hawalizingatii ktk suala la elimu. Seminarini watoto wanakula misosi mizuri sana. Mdogo wangu ananieleza jinsi wanavyokula: maziwa,mayai,kitimoto(nyama),matunda etc ambavyo shule zetu za kawaida havipo hivyo. Mtoto hajala unamfundisha problems ktk linear programming ataelewa? Baada ya shule watoto ktk shule zetu za kawaida hawaeleweki wanafanya nini, ndipo wengine wanaenda kujihusisha na ulevi,uzururaji etc. Seminary mtoto anafuatiliwa hata wakati wa kulala wanahakikisha wote wamelala kwenye vitanda vyao. Nawapa big up RC kwa malezi bora ambayo matokeo yake wote twayaona.

sio seminari tu kwa ujumla shule za kanisa hata zenye wanafuzi zaidi ya 100 wanaofanya mitihani zinaongoza..mfano shule ya st marian imeanzishwa na cardinal pengo mwenyewe ,maria goretti,st fransis...[mbeya-kila mwaka ina feuture top ten]...na hata watoto wanaoongoza wanatoka huko.....

mimi nimepita seminari kwa muda...Malezi na sala yamepewa kipaumbele...utaratibu ni huo kwa shule zote za kanisa hasa katoliki....pia hawafanyi elimu biashara...hawachukui wanafunzi wengi kupita uwezo ..mfano kama wamekubali ratio kwa darasa ni wanafunzi 30 ..basi hata uwape pesa hawatampokea mtoto...

mfano nidhamu ya muda ninayoikumbuka kwa kipindi nilichokaa seminari ni kama hii..

kuamka-saa 11 asuibuhi kila siku
11;30 Mazoezi binafsi[lazima]
12;00-30-KUSALI IBADA FUPI KANISANI[kingereza,kiswahili,kilatini]
12:30-kazi za mikono
7:00 kujiandaa
7:20 kifungua kinywa
8:00 -darasani
10:00 -chai na karanga[bites] au kavu
10:30-darasani
12:00 kusali
12:15-darasani
13;00-CHAKULA
14:00-KULALA
15:00-DARASANI
16:30-CHAI/BISKUTI au any bite au kavu.
16:45-kazi za mikono
17:20-michezo na mazoezi ya viungo
18:30-usafi binafsi
19:00 - chakula
19:40-ibada
20:20- kujisomea
22:30-KULALA [WOTE]
23;00-TAA ZOTE KUZIMWA

utagundua kuwa mtu yeyote aliyepita hizi shule anaishi kwa ratiba...kila kitu kinatengewa muda mdogo ili kila kitu kifanyike kwa makini.....hata kama ni wakati wa mitihani ratiba ni ileile...tabia ya kukesha kusoma kule hamna..they call that poor time management.....ule msemo wa wakati wa mtihani kuwa 'ngombe hanenepi siku ya shughuli ..umeanzia kwenye hizi shule"" wao wanahitaji masaa mawili tu ya maandalizi binafsi usiku.....kwani maandalizi ya mtihani wa form four wao huyafanya kwa miaka minne...hawahitaji kuhangaika siku ya mwisho.....au kidato cha sita wanapoingia tu wanajiandaa kwa mtihani wa mwisho!

hizi shule za kanisa zitaendelea kutesa ..kama tunapenda tunaweza kuiga ya macheche!
 
Weka facts sawa.Seminari za RC hazichukui best performers of std 7 or form 4.Nilisomea serikalini kwavile nilifaulu serikalini darasa la 7 lakini ndugu zangu hawakufaulu darasa la 7 isipokuwa walifanya mtihani wa seminari na baada ya kufaulu wote walisomea seminari za RC.
Wanachofanya seminari za RC ni kuwachukua wanafunzi wanaofaulu mitihani yao ya seminari kisha wanakwenda preparatory course mwaka mmoja kama sikosie halafu wanaanza form one.Sasa ukianza form one ndipo kuna viwango vyao na ukipata chini ya hapo wanakuondoa.Na hata form 5 hawachukua division one tu.Wanachukua mpaka division 3.
All in all seminari za RC wanafundisha vizuri.

seminari chache zinafanya pre- kama ile DON BOSCO..nyingine nyingi na hata shule za kawaida za kanisa ...zina historia nzuri tu ukienda tanga kuna kifungilo..,au weruweru enzi inaitwa ASUMPTA...enzi kina migiro wako pale...tangu zama...all in all shule za kanisa wanazingatia despline zaidi ya yote ..sasa unakuta wale wenye despline pia wana akili...
 
Mkuu unazifahamu top ten za shule zilizokuwa na wanafunzai zaidi ya 35?

Katibu huyo alizitaja shule 10 bora zenye watahiniwa zaidi ya 35 kuwa ni Shule ya Wasichana Marian na St. Mary’s Junior Seminary, zote za Bagamoyo; St. James Seminary, Uru Seminary, Anwarite Girls, Maua Seminary na St. Mary Goreti, zote za Kilimanjaro; nyingine ni Don Bosco Seminary ya Iringa; St. Francis Girls ya Mbeya; na Feza Boys ya Dar es Salaam.

Aidha, alizitaja shule 10 bora zenye wanafunzi chini ya 35 kuwa ni Feza Girls; Thomas More Machrina na Hellen’s za Dar es Salaam; Mafinga Seminary na Bethelsabs Girls za Iringa; na St. Joseph-Kilocha seminary ya Kilimanjaro.

Nyingine ni Queen of Apostles Ushirombo ya Shinyanga; Dungunyi Seminary ya Singida; Rubya Seminary ya mkoani Kagera; na Sengerema Seminary ya Mwanza.

Alisema nafasi ya kwanza kwa mtahiniwa aliyefanya vizuri imekwenda kwa msichana Imaculate Mosha kutoka Marian Girls wakati mvulana bora ni Gwamaka Njobelo wa Shule ya Sekondari Mzumbe.
 
http://www.fezaschool.org/

FEZA wamekuja juu kwa kipindi kidogo tu. Naona wako serious na elimu. Enzi zile Dar ilikuwa ni Mzizima, St Anthony na Loyola. Sahivi shule inayoongoza Dar na kushika nafasi ya juu nchini ni FEZA.
 
Seminari za 1980's na za sasa hivi ni vitu viwili tofauti wandugu!sasa hivi ukienda kifungilo na mtoto unakuta interview kuna watu 1000 na wanatakiwa 50.what do you expect?natural selection.waliofaulu sana ndio wanaochaguliwa..,ndio maana ni jambo la kawaida kuona watu wamechaguliwa form five korogwe girls unawakuta Marian,kifungilo etc..,

focourse sio kosa lao hizi shule..,hali hii ya wanafunzi/wazazi kuzipenda hizi shule inatokana na ukweli kuwa walijenga misingi imara ya shule zao.Kitu ambacho pimbi lowasa na wenzie hawakukifikira wakati wanajaza makapi ya shule za kata.

Either way,if i have two students with same results one from Seminary,one from Government school(the old ones),and one from Lowasa production.I will have to give my due respect to this Lowasa-shule ya kata boy/girl for he/she has learned to excel in the most difficult of environments.which is very unlikely.

Swala la kuwa na 65% failure rate sio jambo la kulichekea hata kidogo,na solution sio wazazi kupeleka watoto seminari.tunatakiwa tuboreshe public schools.
 
http://www.fezaschool.org/

FEZA wamekuja juu kwa kipindi kidogo tu. Naona wako serious na elimu. Enzi zile Dar ilikuwa ni Mzizima, St Anthony na Loyola. Sahivi shule inayoongoza Dar na kushika nafasi ya juu nchini ni FEZA.

Hawa nao ndio walewale..,

asilimia kubwa ya wanafunzi wao ni wale best achievers kutoka shule nyingine..,

wanasheria za ku-repeat mwaka kama mwanafunzi hajafikisha wastani flani,

wana-entrance examination kwa wanafunzi woote wanaotaka kujiunga hapo.

Those measurements are simple point outs kuwa waalimu wa feza hawastahili sifa zozote zile kwani tayari walikuwa na best students before the exam was ever done!

How would ou expect a student who had all A's in form two to get all D's in form 4?

while i do not condem what they do,i do not applaud it either..,we need schools that will turn our average kids into good students,by giving them the right education.

So far kazi hii inafanywa na government schools kama Azania,Jangwani,Korogwe,Msalato, etc

zile za kata zimejichokea..,hazina mbele wala nyuma,waalimu hakuna wanafunzi kichwani hamna kitu..,uwezo wazazi hawana(few or no tuition)..yani hata wakipata div 3 wanatakiwa wafanye sherehe.
 
Back
Top Bottom